dawa za kulevya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Mrisho ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kosa la kukutwa na Dawa za Kulevya aina ya Cocaine

    Tarehe 23 Septemba 2025, Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa hukumu ya kifungo cha maisha jela dhidi ya Hemedi Juma Mrisho maarufu kama Horohoro, baada ya kupatikana na hatia ya kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya. Itakumbukwa kuwa mnamo tarehe 31 Oktoba 2023, katika eneo la Boko Magengeni...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polisi Mara Wakamata Bangi Kilo 1,103 na Mirungi Kilo 65

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linawashikilia watu 192 kwa tuhuma za kujihusisha na usafirishaji na uuzaji wa dawa za kulevya, uvuvi haramu na utengenezaji wa pombe haramu aina ya gongo, kutokana na oparesheni maalum zilizofanyika kwa nyakati tofauti katika mkoa huo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kilo 33,077 za Dawa za kulevya zakamatwa

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imesema katika kipindi cha Mwezi Julai na Septemba 7/ 2025 Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imefanikiwa kukamata kilogramu 33,077.613 za dawa za kulevya aina mbalimbali, kilogramu 4,553 za mbegu za bangi pamoja na...
  4. W

    JamiiForums Tanzania SERIKALI ya Awamu ya Sita kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanikiwa kumtibu bure rapa wa muziki Chid Benz

    Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro (Chid Benz) ambaye kwa miaka kadhaa alitumbukia kwenye uraibu wa dawa za kulevya, hivyo kudhoofika kiafya na kushindwa kutekeleza majukumu yake. Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo amesema,Chid Benz ni miongoni mwa Watanzania milioni moja ambao wamepatiwa...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Chid Benz aruhusiwa kutoka Sober House

    Msanii Mkongwe Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro maarufu kama Chidi Benzi ameruhusiwa kurejea uraiani na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupamba na Dawa za Kulevya wakishirikiana na Baraza la Sanaa la Taifa walioshiriki kumpeleka katika Nyumba ya Matibabu kwa walioathirika na Madawa ya Kulevya (Sober...
  6. McLaren

    JamiiForums Tanzania Tani 18.5 za dawa za kulevya zakamatwa, zilikuwa zinaingizwa kama mbolea

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata Shehena kubwa ya dawa mpya ya Kulevya aina ya Mitragyna speciosa, yenye Mifuko 756 yenye uzito wa jumla wa kilogramu 18,485.6, sawa na takriban tani 18.5 Shehena hiyo ilipatikana ikiingizwa nchini kama Mbolea. Kamishna...
  7. Manyanza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Drug abuse: Dawa za kulevya, maana yake, aina zake, vyanzo vya kutumia dawa za kulevya, madhara yake na ufumbuzi wake

    NB: lengo la ujumbe ni kutoa elimu kwa wasomaji sio kutoa tiba kwa muathirika wa dawa za kulevya. Kwa muathirika wa dawa za kulevya anatakiwa kufika katika hospitali au vituo vya afya vyenye kutoa huduma hiyo. Drug Abuse ni kutumia dawa za kulevya au kemikali kwa njia isiyo sahihi, mara nyingi...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mtanzania, Subiro Mwapinga akabiliwa na Mashtaka Marekani kwa Mipango ya kusambaza Silaha za Kijeshi kwa genge la biashara ya Dawa za Kulevya

    Raia mmoja wa Tanzania ametajwa miongoni mwa watuhumiwa wanne wa kigeni wanaodaiwa kupanga kusambaza silaha za kijeshi zenye thamani ya dola milioni 58 sawa na Sh145 bilioni fedha za kitanznia kwa moja ya magenge hatari zaidi ya biashara ya dawa za kulevya duniani Subiro Osmund Mwapinga...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Tanga linawasaka waliotelekeza boti lenye shehena ya dawa za kulevya aina ya Mirungi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linawatafuta watu wawili ambao bado majina yao hayajafahamika baada ya kutoroka na kutelekeza boti ambayo ilibeba shehena ya dawa za kulevya aina ya mirungi kutoka nchini Kenya kuja Tanzania kupitia Bahari ya Hindi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius...
  10. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Vijana la Kupinga na Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya lafana jijini Dodoma Katika Ukumbi wa Mabeyo

    Mamia ya vijana kutokamaeneo mbalimabli katika mkoa wa wa Dodoma wamekusanyika katika Ukumbi wa Generali Mabeyo jijini Dodoma kushiriki Tamasha la Vijana lililolenga kutoa elimu kuhusu madhara ya matumizi na biashara ya dawa za kulevya. Tamasha hili lilifanyika kwa heshima ya kuadhimisha kilele...
  11. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Je? Hali ya Wizara ya Kilimo kuhamasisha kilimo cha mazao mbadala katika maeneo waliyokuwa wanalima dawa za kulevya ipo je huko ulipo?

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, imeendelea kuchukua hatua madhubuti za kupiga vita kilimo cha dawa za kulevya kama bangi na mirungi. Rais Samia amesisitiza kuwa kilimo hicho si tu kinahatarisha afya ya wananchi bali pia kinadidimiza...
  12. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Kamishna Aretas Lyimo apongeza ushiriki wa vijana katika wiki ya mapambano dhidi ya dawa za kulevya

    Mara baada ya kufungwa kwa mashindano mbalimbali yaliyoandaliwa katika kuadhimisha Wiki ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya Duniani, Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini Tanzania, Aretas Lyimo, amesema kuwa Tanzania imeonesha dhamira ya kweli kwa...
  13. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Leo Jumapili, Tarehe 22/06/2025 Kuelekea Kilele Cha Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya

    Mchezo wa mpira wa miguu – hatua ya fainali unatarajiwa kufanyika kwa shamrashamra kubwa katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Makatifu John (St. John’s University), jijini Dodoma. saa tisa Jioni. Tukio hili ni sehemu ya kampeni endelevu ya kuhamasisha jamii, hususan vijana, kuhusu madhara ya...
  14. K

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kilo 50 za dawa za kulevya zakamatwa Kanisani kwa Mchungaji Gwajima

    Jeshi la Polisi limekamata kilo 50 za dawa za kulevya ndani ya jengo linalomilikiwa na Kanisa la Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, katika operesheni ya kushitukiza iliyoendeshwa mwishoni mwa wiki. Tukio hilo limeibua maswali mazito kuhusu uhalali na maadili ya baadhi ya...
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Makundi Hatari Zaidi ya Biashara ya Dawa za Kulevya Duniani

    Baadhi ya makundi hatari zaidi ya wauzaji wa dawa za kulevya duniani yanajulikana kwa uhalifu uliopangwa, ukatili wa hali ya juu, na ushawishi mkubwa wa kimataifa. Makundi haya yanaathiri afya ya umma, usalama, na utawala. Haya ni baadhi ya makundi maarufu zaidi: 1. Sinaloa Cartel (Mexico)...
  16. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania DCEA yakamata kilogram 4,568 za dawa za kulevya, yazuia tani 14 za kemikali bashirifu kuingia nchini

    Mwezi Machi na Aprili, 2025 Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwakushirikiana na vyombo vingine vya dola imefanya operesheni Katika mikoa ya Dar es Salaam,shinyanga, Tabora, Tanga, Songwe, Mbeya na Arusha na kufanikiwa kuzuia tani 14 za kemikalibashirifu zilizokuwa...
  17. Just Pray

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye umri wa miaka 28 anaswa akiwa ameficha dawa za kulevya gramu 300 sehemu za siri

    Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa na kuwekwa rumande baada ya kukutwa na takriban gramu 300 za dawa za kulevya aina ya cocaine, kufuatia msako wa pamoja wa vyombo vya usalama nchini Kenya, uliolenga njia zinazotumiwa kusafirisha mihadarati kutoka maeneo ya kaskazini mwa Kenya...
  18. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Wakazi wanne wa Wilaya ya Same wamefikishwa Mahakamani wakidaiwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi

    Wakazi wanne wa Wilaya ya Same wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi jana tarehe 28 Machi 2025, wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi, wakidaiwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi zenye uzito wa jumla ya kilogramu 518.57. Watuhumiwa hao, Nimkaza Mbwambo, Prosper Lema...
  19. Pfizer

    JamiiForums Tanzania DCEA yamnasa Kinara wa Mirungi, yateketeza Ekari 285.5 Same

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola, imefanya operesheni maalum wilayani Same, mkoani Kilimanjaro kuanzia tarehe 19 hadi 25 Machi 2025. Katika operesheni hiyo, ekari 285.5 za mashamba ya mirungi zimeteketezwa na watuhumiwa saba...
  20. Just Pray

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya aliyekamatwa na dawa za kulevya Vietnam kunyongwa Machi 17, 2025

    Margaret Nduta Macharia (37), raia wa Kenya aliyekamatwa mwaka 2023 nchini Vietnam na dawa za kulevya kilogramu mbili za Cocaine, anatarajiwa kunyongwa hadi kufa kesho Jumatatu Machi 17, 2025. Kwa mujibu wa tovuti ya Daily Nation, Margaret aliyepewa hukumu hiyo Machi 6, 2025 alisema alipewa...
Back
Top Bottom