dawa za kulevya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Saudi Arabia inakaribia kuwa lango kuu la Dawa za Kulevya

    Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya (GDNC) imeeleza hayo baada ya kunasa tembe milioni 47 Dawa za Kulevya aina ya za Amphetamine ambazo zilikuwa zimefichwa kwenye shehena ya unga, ikiwa ni jaribio kubwa zaidi la kusafirisha dawa hizo. Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Vidonge hivyo...
  2. goroko77

    JamiiForums Tanzania Pamoja na yote, Makonda alipambana sana na wazambazaji wa dawa za kulevya

    Mnyonge mnnyongeni ila haki yake apewe huyu bwana makonda aliweza San kupamban na wazambazaji wa dawa za kulevya na ama hakika dawa ziliadimika na kupotea kbsa kipindi hicho wauuzaji walikimbia nnchi nakutokomea kuziko julikana. Nilimuona makonda kwa macho yangu akibubujika machozi ktk kanisa...
  3. Princely G

    JamiiForums Tanzania SoC02 Dawa za kulevya na athari zake katika maisha

    Andiko langu litakua na sehemu tatu kuu, sehemu ya kwanza dawa za kulevya na maana yake. Sehemu ya pili urahibu wa dawa za kulevya na athali zake. Sehemu ya tatu namna ya kuepukanana na hili janga. DAWA ZA KULEVYA. Dawa za kulevya ni aina ya kemikali zitumikazo katika mwili wa mwanadam kwa...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Siku ya Kimataifa ya kupambana na Dawa za Kulevya kama nchi tujitathmini

    Tunapo elekea kwenye kilele cha maadhimisho ya kimataifa ya kupambana na madawa ya kulevya ambapo kilele ni tarehe 1/7 na trh. 2/7, kama nchi tunapaswa tujitathimini hali yetu kama nchi, Je vita ya kupambana na madawa ya kulevya insaidia kupunguza au hali ni mbaya? Nini kifanyike ili kukomesha...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaotumia dawa za kulevya waongezeka maradufu

    Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limesema idadi ya wanawake wanaotumia dawa za kulevya mkoani humo, imeongezeka maradufu kulinganishwa na wanaume. Akisoma taarifa ya mwenendo wa vitendo vya matumizi ya dawa za kulevya mkoani Mwanza katika utangulizi wa Siku ya Kupambana na Dawa za Kulevya, Mrakibu...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Kamishna Jenerali wa DCEA asema wamekamata Dawa za kulevya kilo 877

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imesema katika kipindi cha Januari hadi Mei 2022, imekamata kilo 877.217 za dawa za kulevya, imezuia uingizaji wa kilo 122,047.0855 na lita 85 za kemikali bashirifu nchini. Kamishna Jenerali wa DCEA, Gerald Kusaya ametoa takwimu wakati...
  7. Waziri2025

    JamiiForums Tanzania Arusha: Vinara waliokamatwa na gunia 15 za Mirungi wachomolewa usiku wa manane Polisi

    Wafanyabiasha vinara wa dawa za kulevya aina ya Mirungi kutoka Nchini Kenya waliokamatwa na magunia 15 mei 14 mwaka huu katika Mji wa Namanga, wanadaiwa kuachiwa katika mazingira ya utata, usiku wa manane huku gari lililokuwa likisafirisha mihadarati hiyo likitoweka kituo cha polisi ...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya pombe na dawa za kulevya

    Shalom wapendwa Kumekwa na ongezeeko kubwa la Watoto wa wachungaji na maaskofu kuharibikiwa kutokana na utumiaji wa mihadarati na ulevi wa kupindukia. Hii inatokana na vita kali ya Shetani ili kudhoofisha nguvu ya Kanisa. Utumiaji wa dawa za kulevya na Pombe kupita kiasi huja na dalili...
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Askari mbaroni kwa madai ya kusafirisha dawa za kulevya

    Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kusafirisha kilo 120 za mirungi. Kamanda wa Polisi Mkoa Kilimanjaro, Simon Maigwa alipoulizwa na Mwananchi kuhusu madai ya tuhuma hizo alisema anaifuatilia na hakutaka kuingia kwa undani juu ya ukamataji huo...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene: Matumizi ya dawa za kulevya yamekuwa 'fashion'

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, Sera na Uratibu, George Simbachawene amesema kwa sasa, si ajabu kukuta pengine matumizi ya Dawa hizo yanafanywa hata na watu wenye nafasi kubwa, akieleza "Hali hii iliendelea tutakuwa na Taifa gani kesho?" Akiwa Bungeni, Simbachawene amesema ameamua...
  11. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Marekani yamshikilia kiongozi wa Yakuza kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya

    Marekani imemkamata kiongozi wa kundi la yakuza la Japan na wanaume watatu wa Thailand, wakiwatuhumu kwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroini na methamphetamine na kujaribu kupata makombora ya kutoka ardhini hadi angani yaliyotengenezwa na Marekani kwa ajili ya makundi yenye silaha huko...
  12. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Wawili wanaswa wakisafirisha dawa za kulevya aina ya Heroin gramu 70.77

    Jeshi la Polisi mkoani Arusha linamshikilia mfanyabiashara Abdi Hamis (27) mkazi wa Ngarenaro na Ally Said (25) dereva na mkazi wa Olasiti baada ya kukamatwa wakisafirisha dawa za kulevya aina ya Heroin gramu 70.77 kwa kutumia gari Na. T 949 DQA lenye tela Na. T. 253 CXR. Kamanda wa Polisi wa...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dawa za kulevya KG 187 zakamatwa mkoani Arusha

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikiria Ndg. Elia Mwambo (45) Mkazi Mkazi wa Ngaramtoni Arusha kwa tuhuma za kusafirisha Dawa za kulevya yanayodhaniwa kuwa ni Mirungi yenye uzito wa 187 kg. Akitoa taarifa hiyo kamanda wa Jeshi la polisi Mkoani Arusha ACP. Justine Masejo amesema mtuhumiwa...
  14. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Ukihusika na dawa za kulevya Zanzibar kifungo cha maisha jela

    Baada Rais wa Zanzibar, Dr. Hussein Ali Mwinyi kuidhinisha sheria mpya ya kudhibiti dawa za kulevya, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Dkt. Saada Mkuya, leo Ijumaa Februari 4 2022 amezungumzia sheria hiyo ambayo imeanza kutumika. “Kama Kamishna Mkuu au Afisa ambaye...
  15. Trick mirik

    JamiiForums Tanzania Shuhuda: Chanzo cha moto soko la Karume ni mateja, waliangusha mshumaa wakati wanatengeneza mihadarati

    Cloudsfmtz "Chanzo cha moto ni mateja ambao tupo nao sokoni Karume ambao wao wanajihusisha na kuuza viatu, unajua pale sokoni kuna moja ya banda ambalo wao huwa wanalitumia kutengeneza mihadarati yao ambayo huwa wanatumia mishumaa kuitengeneza na siku hiyo mshumaa ulianguka na kuanza kuungua"...
  16. elmagnifico

    JamiiForums Tanzania Binti aliyebebeshwa dawa za kulevya na mchumba wake wakati wa safari ya kwenda kutambulishwa ukweni

    Jumapili nilikuwa nasikiliza kipindi cha njia panda cha Clouds nikasikia story yam dada flani anayeitwa Mansura. Mansura ni mwenyeji wa Moshi, alikuja kuishi Dar mwaka 2013 wakati alipojiunga na chuo cha Bandari. Kama mnavyojua mabinti wa chuo, Manstura alikuwa ni sista du wa ukweli. Siku moja...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Jela miaka 40 kusafirisha dawa za kulevya

    MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara imewahukumu watu wawili kati ya watatu kifungo cha miaka 40 jela na kulipa faini ya Sh. 1,517,853,318 baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya. Hukumu iliyotolewa na Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam aliyeteuliwa...
  18. ItsMi

    JamiiForums Tanzania Tuungane kupiga vita matumizi ya dawa za kulevya

    Kwanza niseme kutoka moyoni kwamba sisi vijana tumekuwa ni tegemezi kubwa sana kwa jamii lakini kwa bahati mbaya wengi wetu hatuthamini ukubwa huu tuliopewa na jamii zetu. Sasa lengo ni kwamba sisi tunatakiwa kuwa mstari wa mbele kulipinga hili na sio vinginevyo Tunapoona vijana wenzetu...
  19. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gari lililobeba masista wa Katoliki lapatikana na mafurushi ya bangi, lita 35 za chang'aa

    Inaripotiwa kuwa gari hilo kulikuwa na abiria watatu ambao ni masista wa kanisa la Katoliki ambao walikuwa wanaelekea kwa nyumba moja ya watawa iliyokuwa katika mtaa wa Karen. Dereva alipoona kwamba hangeweza kuendelea kuwakimbia wapelelezi ambao walikuwa wamemuandama kweli aliamua kutoka kwa...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kesi 678 za Dawa za Kulevya zashikiliwa Zanzibar

    Na Abubakari Akida,MOHA Jumla ya Kesi 678 za Dawa za Kulevya zimekamatwa na Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Kupambana na Dawa za Kulevya katika kipindi cha miaka mitano kuanzia mwaka 2018 mpaka Agosti mwaka 2021 huku jamii ikiaswa kutambua dawa za kulevya ni uhalifu kama uhalifu mwingine ili...
Back
Top Bottom