dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Dar: Wanafunzi wa kike sekondari za Kinondoni wanaanza ngono mapema sana

    Binafsi nazijua shule mbili ambazo karibu kila msichana wa kuanzia form two ana boyfriend ndani ya shule au nje ya shule wakiwemo na watu wazima pia ambao sio wanafunzi. Kuna idadi kubwa sana ya wasichana wa sekondari ambao wanadanga na kujiuza kwa wanaume. Ile sheria ya ubakaji ya mwaka 98...
  2. JamiiForums Tanzania Reli ya DAR (Treni ya Mwakyembe) kubinafsishwa rasmi

    Serikali imesema Reli ya Dar es Salaam (Dar -Commuter Rail) maarufu kama treni ya Mwakyembe ni moja ya miradi inayokusudiwa kuendeshwa na sekta binafsi ikiwa ni utaratibu wa kutekeleza Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/26. Waziri wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu...
  3. JamiiForums Tanzania Mbwembwe za DP World, kwa kuanzia tu wanawekeza Dola milioni 500 bandari ya Dar

    DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu. Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo...
  4. JamiiForums Tanzania Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) – Hospitali ya Dar Group yaboresha huduma za matibabu ya moyo

    Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group Dkt.Tulizo Shemu akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa mashine mbili za kisasa za kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiogram – ECHO) zilizofungwa...
  5. JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi, Bandari ya Dar es Salaam

    Karibuni.
  6. JamiiForums Tanzania Kumbe kinshasa imejengeka na kupangika vyema kuliko Dar?

    Kuna jamaa yangu ameenda Kinshasa kwa shughuli zake.sasa kanirushia picha za huo mji,ebana kumbe Kinshasa iko vizuri kuliko miji mingi tu hapa Africa ikiwemo Dar yetu.
  7. JamiiForums Tanzania Jiji Gumu kama Dar kuna watu wanaishi kwa mshahara wa laki 1 na elfu tu kwa mwezi

    Dar ni ngumu sana, Mnawezaje kuishi kwa elfu 4 kwa siku mkiwa na familia? Kuanzia kodi, nauli, kula kutwa mara 3, kuugua na kuuguliwa, mambo ya shule n.k Gharama zote hizi mtu anaziweza kwa 120,000?
  8. JamiiForums Tanzania Anahitaji lobbist/negotiator wa kike dar.

    Masuala ya marketing, lobying, negotiations yana watu maalum wenye sifa maalum zaidi ya vyeti. Kiukweli hata mwonekano, kujiamini na lugha ni kati ya sifa hizo. Nahitaji lady wa kumpa kazi maalum kwa malipo maalum. Kigezo cha kumchanganya target kwa urembo kisidharaulike!
  9. JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar: Ushindi wa Marekani dhidi ya miungano ya kikomonisti

    Marekani ameendelea kuwa mwiba mkali dhidi ya miungano ya kikomonisti. Kumbukumbu zinaonyesha alivyofanikiwa kuisambaratisha USSR kupitia mtu wao Gorbachev. Kwa ukanda huu wa Afrika na mashariki ya mbali alikuwa amebakiza China na Tanzania. Hatimaye, mbinu iliyoboreshwa kutoka ile ilivyotumika...
  10. JamiiForums Tanzania Kwenu Wazee Wa Dar: Bandari unaenda hiyoo

    Wazee wa Dar walikuwa na nguvu sana enzi hizo. Nakumbuka Tibaijuka aliondolewa uwaziri kwa nguvu zao. Hili la Bandali mnalionaje? Mnataka Bandali iende tuu ? NB. Ni marufuku mtu kulinganisha mkataba wa bomba la mafuta na Bandari. Bandari ni yetu na mafuta sio yetu
  11. JamiiForums Tanzania Je wajua: Mbunge Jumanne Kishimba ndiye mmiliki wa Dar Free Market na Imalaseko Supermarket

    Licha ya elimu yake ndogo ya Darasa la 7, Mzee Kishimba alianza biashara akiwa na miaka 14 baada ya kuacha shule na kukimbilia kuchimba madini ya Dhahabu katika mikoa ya Kanda ya Ziwa. Kwa sasa amejijengea jina kubwa Bungeni kwa miongoni mwa Wabunge wanaotoa hoja za kipekee sana na michango...
  12. JamiiForums Tanzania Umewahi tembea umbali gani mrefu kwa miguu ndani ya jiji la Dar es Salaam?

    Nakumbuka siku moja nikiwa Msasani alitokea kijana mmoja akaniomba nimtembeze kwenye mtumbwi. Ila kwa bahati nzuri kukawa na boti linaenda Kigamboni siku hiyo, basi bhana nikamuunganisha akaniambia tuende wote mpaka taifa tukaangalie na Mpira kati ya Yanga na Mbeya city. Alifurahi sana...
  13. JamiiForums Tanzania Bandari inapigwa Mnada wewe unashangilia Yanga?

    Masikio yote ya watanzania yako DODODMA cha kushangaza kuna maandamono ya wanayanga kupokea timu yao, nchi inauzwa wewe unashangilia yanga seriously. Badala ya kuketi kwenye TV uone mjadala wewe umeenda barabarani. hisia zangu zote zinaniambia huu ullikuwa ni mpango maalumu lakini pia ni...
  14. JamiiForums Tanzania Ni nini msimamo wa CCM kuhusu kuuzwa kwa bandari ya Dar es Salaam kwa Waarabu?

    Ndg zangu Watanganyika bila kuwasalimia ninakumbuka kuwa ACT wazalendo na Chadema wametoa msimamo wao kuwa bandari yetu Isiuzwe kwa warabu au wajomba wa Samia huko Oman. Je, ni nini msimamo wa CCM? Au wao kukaa kimya Ndio wameshakubali bandari iuzwe? CCM njooni JF Leo tar 10.6.2023 kabla...
  15. JamiiForums Tanzania Safari za Reli ya SGR Dar Moro zanukia Kuanza Julai 2023

    NAIBU WAZIRI ATUPELE MWAKIBETE ASEMA SAFARI ZA DAR - MORO KUPITIA RELI YA SGR KUANZA JULAI, 2023 Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imepokea mabehewa sita ya reli ya kisasa ya (SGR) ambayo yamewasili kutoka nchini Ujerumani tayari kwa kuanza majaribio mwezi ujao. Naibu Waziri Mhe...
  16. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ni Kiarabu maana yake Bandari!

    Kazi kwenu si mlikataa kubadiliaha jina sasa “wenyewe” wamekuja kuchukuwa Bandari yao, jina letu la Mji wetu ni Mzizima na siyo Dar es salaam kwanza (Dar es slaam) jina baya hata kulitamka ni shida, …
  17. JamiiForums Tanzania DAR iko overrated, Majority ya watu wanaishi maisha ya ovyo sana

    Vijana wengi na watu wa mikoani, na pengine kwa kukosa Exposure hudhani Watu wanaoishi Dar wanafaidi sana pengine kwa Maisha mazuri, hali ya hewa nzuri na pesa za kukidhi kila mahitaji Yao. Lakini asilimia kubwa ya watu Dar es salaam wanaishi mazingira magumu sana, Chumba kimoja kilichojaa ndoo...
  18. N

    JamiiForums Tanzania "Plasduce Mbossa: Hakuna Mkataba wa Miaka 100 katika Bandari ya Dar es Salaam"

    Plasduce Mbossa, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari, athibitisha kutokuwepo kwa mkataba wa miaka 100: "Upotoshaji ulioenezwa kuhusu mkataba wa miaka 100 ni wa kushtua, hakuna sehemu yoyote katika mkataba iliyotaja kipindi hicho kirefu. Watu wanaosambaza taarifa hizo walikuwa na...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Kagame alisema kuwa mkinipa bandari ya Dar es Salaam nina uwezo wa kulisha Tanzania nzima angefanyeje?

    Ubinafiswaji kwangu naichukulia kama tabia ya wavivu. Bandari tuwape JKT waiendeshe. Kweli hatujui source of income kwetu ni ipi? Dah Mwafrika ni hasara kwa Mungu nahisi!! Miaka 60 ya uhuru hatuwezi kuendesha mambo yetu mpaka tuwapigie magoti watu wengine?
  20. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kiwanja Dar es Salaam

    Wakuu habari za majukumu, Wakuu nauliza kwa Dar naweza pata wapi kiwanja kizuri walau sqm 600 kwa hapa Dar es Salaam kwa bajeti ya 9m mpaka 15?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…