Car4Sale Brand New Howo Tipper for sale in Dar

Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Jul 10, 2011
4,020
5,857
Hello comrades,

Brand new howo tipper available with 0 kilometer, for lower price of only 160m plus registration.
Come and grab it quickly.

Only one unit left.
 

Attachments

 • IMG-20230711-WA0047.jpg
  IMG-20230711-WA0047.jpg
  144.2 KB · Views: 13
 • IMG-20230711-WA0048.jpg
  IMG-20230711-WA0048.jpg
  133.7 KB · Views: 12
 • IMG-20230711-WA0049.jpg
  IMG-20230711-WA0049.jpg
  133 KB · Views: 10
 • IMG-20230711-WA0042.jpg
  IMG-20230711-WA0042.jpg
  139.6 KB · Views: 10
Corolla axio available for only 12.5m
CC 1490
MILEAGE: 89500KM
Available in Dar
 

Attachments

 • IMG-20230523-WA0006.jpg
  IMG-20230523-WA0006.jpg
  57.8 KB · Views: 7
 • IMG-20230523-WA0003.jpg
  IMG-20230523-WA0003.jpg
  57.5 KB · Views: 6
 • IMG-20230523-WA0005.jpg
  IMG-20230523-WA0005.jpg
  53.2 KB · Views: 11
Hello comrades,

Brand new howo tipper available with 0 kilometer, for lower price of only 160m plus registration.
Come and grab it quickly.

Only one unit left.
Hapo ilipo siyo kiwandani..ilifikaje hapo na ikawa na 0 km...kuwa mkweli
 
Kweli ni lower price!

Scania tipper 340HP ya mwaka 1999 na mileage ya 522,000Km ni 20,000€ ukiweka na kodi ni 120M hadi mkononi.


Sasa gari ya mwaka 1999 unafananisha na gari ya mwaka 2023? Yaani hili wewe hujaliona kwamba ni utofauti mkubwa?
 
Sasa gari ya mwaka 1999 unafananisha na gari ya mwaka 2023? Yaani hili wewe hujaliona kwamba ni utofauti mkubwa?
Nafikiri umeleta tangazo huku umejiandaa kulumbana kiasi hata huelewi comments.

BTW:Mimi nimekubaliana na wewe kuwa 160M kwa OKm tena ya 2023 ni very cheaper maana kwa Scania ya 1999 na 500,000km tofauti ya bei ni 40M pekee.
 
Inaonekana unawahi sana kubaha na kupanick ukikutana na maswali chokonozi

Kiongozi nimejiunga jf since 2011 more than 12yrs now, nawajua vizuri watu wa humu, angalia huyo jamaa alivyowasilisha hoja yake. Nilipost gar juzi watu wakalalamika gari ya zamani kwanini ina km chache sasa nimepost gari mpya mtu bado analeta ubishani wa kitoto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom