dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kumhamishia Chalamila Dar es Salaam, Umelipokeaje?

    Usiku wakati tarehe 15 Mei 2023 ikielekea ukingoni Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu iliachia "PDF" ya Mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa ambapo wakuu wa mikoa minne waliguswa na mabadiliko aliyoyafanya Rais Samia Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza akitoka Dar es...
  2. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Chalamila karibu Dar, jiji hili linataka mtu mtata na mwenye matata kama wewe

    Jiji la Dar es Salaam ndilo jiji lenye amsha amsha kuliko jiji lingine lolote. Ndilo jiji lenye bandari kubwa nchini, uwanja wa ndege mkubwa, barabara za kutoka sehemu zote nchini huishia Dar. Dar ni jiji la maraha na karaha pia. Matapeli, vibaka, majambazi, wezi, na machanguduoa pia. Mitume...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kweli jiji la Dar es salaam leo linahitaji kiongozi aina ya Chalamila? Majukumu ya mkuu wa mkoa ni mepesi hivyo?

    Watu milioni kumi wanapaswa kukabidhiwa viongozi wanaweza kuwa na maono makubwa kuweza kuwasaidia wafikie malengo. Chalamila siyo mtu sahihi katika jiji la DSM, maendeleo kwa ulimwengu wa sasa yanahitaji thinker's siyo commedian. Ulimwengu umebadilika sana . Kutoka kuwa na wakuu wa mikoa...
  4. nyboma

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Amos Makalla ahamishiwa Mwanza, Chalamila apelekwa Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo: 1. Bw. Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. 2. Bw. Adam Kighoma Malima amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa...
  5. Kilimbatzz

    JamiiForums Tanzania Ombi: Makalla Dar ishamshinda. Mama mrudishe Makonda

    Sijawahi kupenda mambo binafsi ya Makonda,ila naikubali kazi yake ya Uongozi na Uchapakazi Sina haja ya kuweka resumé yake hapa kwani kazi zake zinaishi Kama Mama hatojali,mrudishe Makonda
  6. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Na wewe njoo Dar ili tuone kama utakuwa unatuma hela nyumbani!

    Kwakuwa mnalalamika sana, Basi na nyie njooni Dar es Salaam ili tuone Kama mtakuwa mnatuma hela Nyumbani.
  7. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Hivi Dar kuna nini kinachowamaliza wanaume?

    Dar kuna nini lakini mbona wanaume wanaukimbia uanaume wao sana sana wakiwa Dar? mbona nasikia kuna mzunguko mkubwa sana wa Hela, sasa inakuwaje tena wasihangaike kutafuta?
  8. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna safari za boat kutoka Dar mpaka Tanga?

    Wakubwa bila kuongeza maneno mengi, mwenye majibu tafadhali
  9. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Maandamano Dar: Baraza la Wanawake Chadema [BAWACHA]

    --- Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) wameandamana mpaka nje ya Ofisi ndogo za Bunge Dar es salaam kushinikiza Spika wa Bunge, Dkt.Tulia Ackson kuwaondoa Wabunge 19 ambao waliapishwa kuwa Wabunge huku wakidai hawakuteuliwa na Chama hicho. Video: BAWACHA wakifanya maandamano Baada ya ofisi...
  10. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Nashauri serikali iutazame uwanja huu Tanzania sio Dar Es salaam pekee

    Hapa ni Dimba la kisiba Rungwe. Tungekuwa na serikali yenye maono ungejengwa uwanja mzuri sana hapo na hoteli kubwa sana hapo. Tungepata fedha mingi sana. Mpaka sasa hatuna uwanja unaoweza kupiga mpira usiku miaka yote ya uhuru tuliyo nayo. Karibuni Greencity
  11. kukumsela

    JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda kasi, kweli timu ya Simba ni yakuzomewa kutoka Mtwara hadi Dar?

    Ameandika Ahmed Ally === Mara kadhaa utasikia shabiki anasema sisi tunaumia kuliko Wacheza ji au Viongozi. Ndugu zangu ilimradi sote tuna damu ya Simba basi wote tunapitia maumivu, kinachotokea ni tofauti ya mtu na mtu kuhimili maumivu. Ndo maana wengine wanalia, wengine wanazimia, Wengine...
  12. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania BAWACHA kuandamana leo Dar es Salaam

    Baraza la wanawake CHADEMA (BAWACHA) wametangaza kuandamana leo Dar es Salaam kuishinikiza serikali kuwaondoa bungeni wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA maarufu kama COVID 19. Ni nini maoni yako. Karibuni.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Dar: Mitaro ya kupitisha maji Sinza hali mbaya

    Kwa kifupi, Dar es Salaam sehemu nyingi hali ya mazingira ni mbaya sana na hiyo inafanya ugonjwa wa Kipindupindu kuendelea kututesa. Tazama hapo ni Sinza, Barabara ya Mori, mitaro ina uchafu hadi inatia kinyaa. Sijui wahusika kama wanalifahamu hili.
  14. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Hivi Dar kuna baa za members only?

    Naomba kuuliza. Hivi Dar kuna baa ambazo wanaruhusiwa kuingia wanachama wa baa hiyo tu?
  15. D

    JamiiForums Tanzania Sina namna nakuja Dar

    Naamini wengi wenu ni wazima, wenye changamoto kama mimi poleni, tuombeane kheri. Wakuu nina mpango wa kuja mjini Dar kutafuta pesa. Mimi nipo mkoa X kwa sasa ila hali yangu kiuchumi ni tia maji tia maji. Kwa umri huu wa ukijana wa makamo kuendelea kua tegemezi na kunufaisha wengine sasa...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ipi ni changamoto kubwa katika maeneo haya Jijini Dar es Salaam? Mengine yanaogopwa

    Tuweze kushare uzoefu wa maisha maeneo haya kwa wale ambao wamewahi kuishi. Kwa upande wa mambo ya usalama, maadili, madili, utulivu, makuzi, tabia n.k. Wadau wanaweza toa uzoefu wao katika upande wa umalaya, matumizi ya Bangi/Maddawa ya kulevya, uhalifu, mapenzi ya jinsia moja, ubakaji na...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Haya ni maeneo Hatarishi sana kiusalama na maadili Dar es Salaam

    1. Kinondoni - Ushoga,Ushoga,Ushoga Umalaya na Madawa ya kulevya, uhalifu 2. Magomeni na Mwananyamala - ushoga, umalaya na madawa, uhalifu 3. Ilala - ushoga , madawa, umalaya,uhalifu 4. Sinza - matumizi ya madawa x2 na umalaya, Ushoga kwa mbaliii, uhalifu 5. Temeke -...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Jezi ya Timu yangu pendwa ya Marumo Gallants FC zinapatikana Duka gani hapa Dar es Salaam?

    Nataka nianze Kuivaa/ Kuzivaa mapema nikiamini kuwa Watanifurahisha na wataenda Kunifungia Midomo Wapuuzi na washamba fulani kutokea Zuzu Nation barani Afrika.
  19. TODAYS

    JamiiForums Tanzania LATRA waruhusu Mabasi kuanza safari saa 9 Usiku

    Nadhani ni suala la muda tu, maana kuna mambo hayaepukiki kwenye dunia hii inayokwenda kwa kasi ajabu. Ilianza saa 12 mara saa 11, sasa ni saa 9 kutoka popote pale ndani ya Tanzania kuelekea mikoa mingine ili mradi ukidhi vigezo hasa kigezo cha LATRA kukuruhusu. Mamlaka ya usafiri ya udhibiti...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Nani anamjua fundi wa kufunga Gearbox ya Nissan patrol Dar es Salaam

    Nina gari ambayo inahitaji kufungwa gearbox mpya lakini simjui fundi mwenye ozoefu na muaminifu hapa Dar ; wengi wa mafundi ninaowafahamu sio professional kwani sio waaminifu Ingawa unawalipa hela nzuri tu. Sasa kama kuna mtu anamfahamu fundi muaminifu na mzoefu anaeweza kuja kunifungia...
Back
Top Bottom