dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania Msaada wa sehemu ya kupata Dola kwa Dar

    Habari ndugu zangu humu jukwaani, naombeni machimbo wapi ntapata dollar. Nimezunguka sana kwenye benki lakini nimekwama, hakuna kabisa. Sehemu gani naweza kupata dola ndugu zangu? Nahitaji kuagiza mzigo Japan.
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta part time job za jioni kwa mkoa wa Dar es Salaam

    Age 25, mkazi wa kigamboni. On serious note natafuta kazi za jioni / night shift. Mwenye connection au idea ya sehemu kind naombeni connection ya Kazi. Huku uraiani sio poa mambo ni tight kinoma ni bora kupata mia ukajua umepata kwa jasho lako kuliko kuwa mifuko iliyotoboka. Asanteni.
  3. JamiiForums Tanzania Dar: Wanawake wa Kinyerezi wazindua jukwaa lenye lengo la kumuinua Mwanamke kiuchumi

    Wanawake wa Kata ya Kinyerezi Jijini Dar es Salaam wamezindua rasmi Jukwaa la Wanawake ikiwa ni hatua ya kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika kumuinua Mwanamke kiuchumi. Jukwaa hilo limezinduliwa na Lutta Rucharaba ambaye ni Katibu wa Mbunge wa Segerea, Bonnah Kamoli, jana ya Agosti...
  4. JamiiForums Tanzania Uhaba wa mafuta unaisogelea Dar, bei ya Petroli kwa Kibaha yapanda kutoka Tsh. 2,700 hadi 3,700 ghafla

    Changamoto ya uhaba wa Petroli sio jambo geni tena kwenye masikio ya watu hapa Bongo, lakini binafsi nilikuwa sijaona changamoto hiyo kwa Dar na maeneo ya karibu na Mji huo. Kila siku tumekuwa tunasikia mikoani tu kuwa uhaba wa mafuta na mara bei inapanda, inadaiwa kuna mgomo wa kimyakimya...
  5. JamiiForums Tanzania Wiki ya asasi za kiraia yazinduliwa Dar es Salaam

    Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Faustine Ndungulile amezitaka asasi za kiraia kuwa vinara wa kutoa mtazamo mbadala kuhusu miswada inayowasilishwa ili kuwasaidia wabunge kufanya maamuzi sahihi. Ndugulile amesema kazi hiyo kufanywa katika hatua za awali kabla ya muswada kuwa kwenye hatua za mwisho...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kuzaliwa na kuishi Dar ni fursa. Upo tofauti na wazaliwa wa mikoa mingine, usijichukulie poa

    Kuzaliwa na kuishi Dar ni fursa, upo tofauti na wazaliwa wa mikoa mingine, usijichukulie poa Mfano: Mbagala inafanana kiukubwa na mkoa wa KILIMANJARO, Manyara na Singida, pia imechangamka zaidi Dar is everything, ukishindwa kuwa tajiri, wewe ndio mwenye tatizo. NB: NI MTAZAMO TU, TUSIJENGE CHUKI
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini bia ziuzwe ghali zaidi Dar es salaam kuliko mikoani?

    Mikoani Safari ni 1,500 huku Dar Safari ni 2,500 mpaka 3,000, WHY? Bia zote za TBL ni bei juu Dar kuliko mikoani ambapo nilitegemea kinyume chake kwasababu Dar hakuna gharama za usafirishaji ukilinganisha na mikoani, This is stupid!
  8. JamiiForums Tanzania Bwawa la umeme likikamilika sitegemei Dar iwe na barabara za giza hata kwa bahati mbaya

    Kwa sasa Tanganyika inatumia Takriban Megawatt 1,500 za umeme, ukijumlisha na zile Megawatt 100 wanazopewa bure wala urojo inakuwa MW 1,600. Bwawa la Nyerere likikamilika litazalisha Megawatt 2,100, na kufanya jumla ya Megawatt kwenye Gridi ya Tanganyika kuwa 3,700. Kwakuwa umeme unaozalishwa...
  9. JamiiForums Tanzania Hii ngoma nimeisikiliza leo kutoka Moro mpaka Dar, inahamasisha na kutia hasira za kupambana, Isikilize !!

    Ni ngoma fulani hivi ina mdundo wa pekee niliokuwa nausikia kwenye spika za gari yangu, kubwa zaidi ni uzuri wa mirindimo ya vinanda uliokwenda sambamba na sauti za wasanii hawa zilizobeba ujumbe fulani very inspirational(wale wapambanaji wataelewa nachomaanisha); Ngoma inaitwa HAYATABIRIKI...
  10. JamiiForums Tanzania Ukiwa na Gari hapa dar hakuna sehemu utaiona Mbali

    Toka nimeingia jiji la dar kutoka mkoani miezi michache iliyopita, Hatimaye nimenunua gari yangu ya kwanza hivi karibuni ikabidi kwanza niitest chombo kwa kutembea sehemu mbalimbali nikiwa na mwenyeji wangu hapa dar. Aisee kila sehemu naona ni karibu mno tofauti na nilivyofikiria na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Huduma gani zinazotolewa kibiashara na Makampuni mbali mbali ndani ya Dar es salaam ungetamani ziboreshwe?

    Hellow members, kama kichwa cha uzi kinavosema. Je, ni huduma gani inayotolewa kibaishara na kampuni au taasisi flani ndani ya jiji la Dar es salaam ungetamani iboreshwe? Taja jina la huduma, kampuni inayotoa hizo huduma, kero na maboresho ungetamani yafanyike. Karibuni.
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Rais Ruto Wafanya Mazungumzo Dar es Salaam

    Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Kenya, William Ruto kando ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa JNICC - Dar es Salaam
  13. JamiiForums Tanzania Picha: Dar es Salaam waonesha uhalisia suala la bandari nchini. Viongozi wajitafakari sana

    Habari zenu wana JF na wazalendo wenzangu wote mliopo humu kwa ujumla, Ndugu zangu wana JF, hapa nchini au duniani tunapozungumzia Mkoa wa Dar es Salaam basi ni ukweli ulio wazi kwamba ni kama vile tunakuwa tumeizungumzia Tanzania nzima. Nasema hivi kwa sababu kuu mbili. 1. Dar es Salaam ndio...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata nguruwe wa nyama kwa Dar?

    Habari ndugu zangu Nataka kuanza biashara ya kuchinja nyama ya nguruwe na kuuza kwa bei ya jumla nyama mbichi Wapi nitapata nguruwe kwa Dar au Pwani?
  15. JamiiForums Tanzania SoC03 Selo/Lokapu Haziwezi Kuwa Safi Ikiwa Dar es salaam Inanuka

    Mwaka 1993,Wilaya ya Musoma (Mjini) kwa Mara ya kwanza iliweza kuwa Mji uliokuwa ukiongoza kwa Usafi nchini Tanzania,baada ya hapo imebaki historia na sifa zote kuanzia hapo ilijichukulia mji wa Moshi unaopatikana Kaskazini mwa Tanzania, Mkoani Kilimanjaro. Siku zote unapokuwa mtu wa kwanza...
  16. JamiiForums Tanzania Simba kuanzia Hatua ya 2 CAFCL, kukutana na mshindi wa mechi kati ya Power Dynamos na African Stars

    Droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika imepangwa, Simba itaanzia Raundi ya Pili kwa kucheza na mshindi wa mechi kati ya Power Dynamos (Zambia) dhidi ya African Stars (Namibia) Yanga itaanzia Raundi ya Kwanza kwa kukipiga na ASAS ya Djibouti, timu itakayoshinda itaingia Raundi ya Pili na kukutana na...
  17. JamiiForums Tanzania Dar: Asalimisha Bastola na risasi kwa Polisi, adai uhalifu haulipi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kusimamia mifumo ya kiusalama ikiwa ni pamoja na kushirikisha wananchi katika kuzuia, kubaini, na kupambana na vitendo vya kihalifu kuanzia ngazi ya mtaa. Katika hatua hiyo Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na wananchi wema limefanikiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ripoti TCRA: Dar yaongoza kwa idadi kubwa ya Watumiaji wa huduma za Simu Tanzania

    Katika kipindi cha miaka 5 kumekuwa na ongezeko la Watumiaji 16,327,131 wa Huduma za Simu Nchini kutoka 47,685,232 mwaka 2019, sawa na 88% ya Idadi ya Watu hadi 64,088,651, sawa na 101.5% ya Idadi Watu Mikoa yenye Idadi kubwa ya Watumiaji wa Huduma za Simu Tanzania Bara ni Dar es Salaam...
  19. JamiiForums Tanzania Ni vipi vyuo bora kwa diploma ya pharmacy Dar es salaam

    Wakuu habari za jioni. Miezi kama mitano iliyopita nilikuja kuomba ushauri wa kozi ya kusoma nikapata michango mingi ya wana JF niwashukuru sana kwa hilo. Kiujumla nimedhamiria kusoma diploma ya pharmacy na nilikuwa nataka kusoma MUHIMBILI. Leo nimeingia website ya NACTE kufanya maombi lakini...
  20. JamiiForums Tanzania Wapi zinauzwa mashine hizi hapa jijini Dar Es Salaam-mist duster-power sprayer

    Nauliza wapi zinauzwa mashine hizi za kumwagilia dawa za kuua wadudu kwenye mimea kama vile mikorosho, zinatumia mafuta zinaitwa mist duster-power sprayer, hubebwa mgongoni na hutumia petrol ili kusukuma maji/dawa kwa nguvu hadi kufikia umbali mrefu bila shida.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…