dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dereva malori anaepita njia ya KIGOMA via UVINZA kuja Dar anahitajika

    Habari ndugu? Nina mchele Kigoma Malagarasi(Musoma) nahitaji namba za dereva muaminifu anibebee kuja Morogoro. Zipo gunia 8 za kilo 100. Karibu Pm. NITALIPIA
  2. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata malighafi za kutengenezea sabuni ya maji jijini Dar es salaam?

    Habari wana JF, nataka kumfungulia mwanangu duka la kuuza sabuni za maji. Tayari ameshapata knowledge on how to prepare it kupitia Social Media. Kilichobaki ni mahali pa kupatia malighafi za utengenezaji kama vile: (a) Sulfonic Acid (b) Slesi (c) Soda ash (d) Alca 2 ____________________H2O (e)...
  3. JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitangazia taifa msiba wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi leo Februari 29, 2024. Rais amesema "Ndugu wananchi, kwa majonzi makubwa nasikitika kutangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana tusing'ang'anie Dar

    Hodi wadau, mimi ni mgeni kiuanachama ila ni mwenyeji kiusomaji. Leo Nina hoja yangu. Kama takuwa nimewakwaza watu samahanini sana, hoja yangu ni hii, Kuna maisha nje ya Dar, huku mikoani kuna fursa za kutosha kwa mfano ukibahatika kufika Mpanda unaweza kushangaa vijana wadogo wanavyovuna...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada: Sehemu safi naweza oga Dar es Salaam

    Hope mmeamshwa salama. Ningependa kujuzwa kama kuna sehemu safi Dar wanayotoa huduma ya bafu / kuoga tu (bila kujali kama mtu amelala hapo kwao). Kama zipo za karibu na Ubungo, ingependeza zaidi. Natanguliza shukrani
  6. JamiiForums Tanzania Westpoint Oven lita 63 inahitajika Dar es Salaam

    Kama kichwa kinavyo jieleza. Westpoint Oven lita 63 inahitajika Dar es Salaam. Kama unayo dukani kwako taja bei yako na location ya duka lako bila kusahau mawasiliano yako.
  7. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Korea ya Kusini upo sehemu gani hapa Dar es Salaam

    Habari wakuu, Nahitaji kufika ubalozi wa Korea ya Kusini mida hii. Naombeni location, nimejaribu kutafuta Google naona picha picha.
  8. JamiiForums Tanzania Waswahili bwana yaani Treni ya SGR Dar hadi Moro ni masaa 2 na dakika 20 mnafurahi na kushangilia!

    Kwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya watu wenye akili na yaliyoendelea. Yaani Dar hadi Moro zimetumika Saa 2 na dakika 20 halafu mazuzu tokea jana na leo inashangilia tu wakati kwa wenye hizo Treni za SGR katika...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba msaada Luxury Buses kutoka Dar kwenda Kigoma

    Naomba msaada Luxury Buses kutoka Dar kwenda Kigoma
  10. JamiiForums Tanzania Kadogosa: Tumetumia umeme wa 336,000 kwenda na kurudi Dar - Morogoro

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema Treni ya Reli ya Kisasa (SGR) imetumia umeme wa Sh336,000 katika safari ya abiria ya majaribio kutoka jijini Dar es Salaam mpaka Morogoro na kurudi leo Februari 26, 2024. “Miundombinu ya treni ya umeme ni gharama kubwa...
  11. JamiiForums Tanzania Watoto kufanya ukahaba jijini Dar es salaam. Tatizo ni nini?

    Kumekuwa na idadi kubwa sana ya watoto wa kike wanao jihusisha na biashara ya ukahaba. Wengi wao kimuonekano wanapaswa kuwa wanafunzi wa sekondari. Je tatizo linaweza kuwa nini na nini kifanyike kuokoa kizazi? Au hatujui madhara ya kuwa na kizazi cha makahaba. Ukahaba ni roho moja chafu...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Treni ya mwendokasi ya kutoka Dar mpaka Morogoro mbona bado kizungumkuti?

    Sasa yapata miaka mitatu tangu tuaminishwe kuwa treni ya mwendo kasi toka Dar mpaka Morogoro ingeanza huduma yake lakini mpaka sasa hakuna kinachoendelea. Ninaomba majibu kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa TRC. Atoke waziwazi kupitia luninga kuelezea umma ili tufahamu tatizo liko wapi.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Serikali ya mtaa wa Mwenge, Dar es Salaam mnanufaika vipi na huyu mtu aliyefunga mtaa wa Zayumba mbele ya Kibo Bar?

    Ni miaka mingi huyu mtu amefunga huu mtaa, ambae amepangisha watu barabarani, barabara yetu ya kupita, na kapangisha watu, mbele kajenga fremu na kajenga banda la chips, kaweka mama ntilie, na katengeneza umiliki wake. Huu mtaa kiuhaalisia ukitokaa sinza hii barabara ya Africa sana kuja TRA...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa kiwango cha wachezaji hawa, Dar Young Africans tujiandae na maumivu mapya

    Kama ilivyo ada na taratibu za football basi Yanga wajiandae. Wachezaji kama Aziz Ki Diara na pacome itakua ngumu kubaki nao msimu ujao.
  15. JamiiForums Tanzania RC wa Dar, Albert Chalamila atoa maelekezo barabara zijengwe usiku na mchana

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa maelekezo ya kuhakikisha ujenzi wa Barabara Jijini Dar es Salaam zinajengwa kwa usiku na mchana ili kuondoa changamoto zilizopo ikiwemo Barabara ya Kibamba hadi Mbiji Magohe na Mpiji Magohe hadi Mbezi. Aidha, Chalamila ameongeza kuwa...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Mgao Wa Umeme ofisi za Tanesco

    Ingependekeza ofisi zote za Tanesco zisiwe na umeme kama vile wananchi wanavyoteseka kwa mgao wa umeme usiokwisha, labda hii itawafanya mabosi wa Tanesco watoke maofisini na kufanya kazi kuzuia mgao wa umeme usitokee. Wakati wananchi hawana umeme na biashara zao zinadorora wao Tanesco...
  17. JamiiForums Tanzania Ukiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wewe ni kuwa vuvuzela la siasa, kazi yako kubwa ni 'kutrend'

    Kiukweli sifa za kuwa mkuu wa mkoa zimebadilika sana hususani kwa Dar es Salaam. Yaani mkuu wa mkoa an amajukumu kuliko hata Meya, Mkurugenzi na wengine ambao wapo kwa ajili ya majukumu yao. Imekuwa sifa siku hizi kuwa trend sana mpaka ukiwauliza watoto wadogo kuwa kazi za wakuu wa mikoa...
  18. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Wakazi wa Dar kuzoa takataka ni ajira

    Wanchi wa Mkoa wa Dar es Salaam, wametakiwa kuchangamkia fursa ya Takataka zilizopo kwenye mitaa yao, kwani zinaweza kuwa chanzo cha mapato na kuondokana na tatizo la ajira ambalo ni janga kwa watu wengi. Hayo yamesemwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila wakati anafanya ukaguzi...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Ndege moja ATCL kwa safari za Arusha-Dar ni sababu zilizopo hazitoshi?

    Hivi ni kweli kuwa Airtanzania hawana ndege? Kiasi kwamba wanaweka kandege kamoja tu Arusha to Dar hata siku busy kama Ijumaa?
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania yasaini mkataba wa Tsh. Bilioni 988 na Benki ya Dunia kuboresha miundombinu ya Dar

    Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia zimesaini mkataba wenye thamani ya Euro milioni 361.1 (sawa na takribani shilingi bilioni 988.093) kwa ajili ya kutekeleza Awamu ya Pili ya Mradi wa Kuendeleza Miundombinu Dar es Salaam {Dar Es Salaam Metropolitan Development Project Phase II (DMDP II)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…