We nae,, kama hujui maisha ya Mtanzania yalivyo.Sasa si uhame kuna mtu amekulazimisha kukaa huko. Jf imekua ya hovyo sana.
Povu la nini hapo? Kwanza hapo siyo kwenu ila unaona umefika. Bwege kweliSasa si uhame kuna mtu amekulazimisha kukaa huko. Jf imekua ya hovyo sana.
Nadhani uzi uishie hapa mbali na hapo ajitahifi akajenge mbutu maporini hakuna joto kama changanyikeni za uswazi.......A.C na feni. Over
Hili swali linawahusu Wanadarisalama wote? Yaani mpaka wale Wanadarisalama wa Mbezi Beach, Mbweni, Msasani, Oysterbay, Masaki, Mikocheni, nk.Umofya kwenu!
Husika na kichwa cha mada hapo juu.
Wenzangu mnaishije ? Hii hali mimi hapana .
Ninayo lakini hali bado mbayaMkuu si ununue fan tu
Dar yoteHili swali linawahusu Wanadarisalama wote? Yaani mpaka wale Wanadarisalama wa Mbezi Beach, Msasani, Oysterbay, Masaki, Mikocheni, nk.
Au ni wale Wanadarisalama pekee waishio Keko, Manzese, Mbagala, Gongolamboto, Mburahati, nk?
HapanaUnalijua joto la ngokoro na nguzo nane ShyCity?