Jinsi watu wa mikoani tunavyofanyiwa tunapoagiza bidhaa toka kwa watu wa Dar es Salaam

Zingzingzing

JF-Expert Member
May 13, 2014
655
604
Habari za asubuh ndugu wana jf.
Leo nimekuja kutoa mikasa miwili mitatu jinsi watu wa mikoani tunavyofanyiwa pale tunapoagiza bidhaa toka huko dar es laam.

KISA CHA KWANZA niliwah ona page 1 ya facebook & instagram ambayo inapost nguo nzuri sana za dukani hasa mashati, kwakua nilipenda basi nikachukua namba yao nikaagiza shati 4 kutokana na picha ya shati nilizozipenda basi nikawatumia whatsap waone zile shati 4 alafu wanitumie mzigo had mkoa nilipo.

NIkawatumia pesa kamili ya mzigo ila pesa ya usafiri nililipa nilipochukua mzgo. Kuja kutahamaki katika zile shat 4 nilizotuma picha anitumie ni shat 1 tu ndio niliyochagua na nyingine 3 ni shati tofauti kabisa yani mara nyingne oversize,nyngne ipo vile, nilivyompigia hakuweza kupokea tena simu.
KISA CHA PILI, nilipata mtu anayeuza simu dar , nikaagiza simu samsung a24 , ram 6 ,rom 128, nilimtumia pesa kamili ya simu na pesa ya transport, ila nilipopokea simu nilikuta ni RAM 4 rom 128, japo ni simu mpya na ni nzuri ila alileta ulaghai kwenye Ram kadr ya tulipokubaliana, nilipompigia nae hakuwa na jibu.

Hivyo basi, wafanyabiashara wa daslama, tunaomba muwe mnaenda ndani ya makubaliano, sio kila mtu anaweza kufika dar au ana ndugu dar.
 
Dah aisee unajiamini sana yani unamtumia mtu pesa afu kitu, ukipate kwa kesho yake hiyi tabia sio ya kujaribu hata kama muuzaji ni rais wa nchi mtu akishakaa dar na akili yake inakuwa ya kitapeli huu mji acha tu waone hivyo hivyo watu wake
 
Habari za asubuh ndugu wana jf.
Leo nimekuja kutoa mikasa miwili mitatu jinsi watu wa mikoani tunavyofanyiwa pale tunapoagiza bidhaa toka huko dar es laam.

KISA CHA KWANZA niliwah ona page 1 ya facebook & instagram ambayo inapost nguo nzuri sana za dukani hasa mashati, kwakua nilipenda basi nikachukua namba yao nikaagiza shati 4 kutokana na picha ya shati nilizozipenda basi nikawatumia whatsap waone zile shati 4 alafu wanitumie mzigo had mkoa nilipo.

NIkawatumia pesa kamili ya mzigo ila pesa ya usafiri nililipa nilipochukua mzgo. Kuja kutahamaki katika zile shat 4 nilizotuma picha anitumie ni shat 1 tu ndio niliyochagua na nyingine 3 ni shati tofauti kabisa yani mara nyingne oversize,nyngne ipo vile, nilivyompigia hakuweza kupokea tena simu.
KISA CHA PILI, nilipata mtu anayeuza simu dar , nikaagiza simu samsung a24 , ram 6 ,rom 128, nilimtumia pesa kamili ya simu na pesa ya transport, ila nilipopokea simu nilikuta ni RAM 4 rom 128, japo ni simu mpya na ni nzuri ila alileta ulaghai kwenye Ram kadr ya tulipokubaliana, nilipompigia nae hakuwa na jibu.

Hivyo basi, wafanyabiashara wa daslama, tunaomba muwe mnaenda ndani ya makubaliano, sio kila mtu anaweza kufika dar au ana ndugu dar.
Epuka kufanya biashara na mtu usiyemjua utajiokoa na mengi sana.. Wewe umepigwa vitu vidogo sana, kuna wengine wengi tu wamepigwa mpaka magari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mtoa mada hua una bet bila kujijua😀😀😀
Huko kupata mizigo yako kwenyewe basi mikeka yako ilitema
Wangekufyagia kabisa usipate chochote kile
Vijana wa dar wanajiona kama ndio wenye Tanzania yao vile
Kuna mtu nilikutana nae fb muda kidogo tukazoeana akataka kunitumia pesa nimnunulie nguo afanye biashara eti
Alinikuta maisha ya chuo yashanipiga sielewi ila akanikuta nna imani nikaona hapana kwakweli
Nikamwambia dada gift usimuamini mtu unaekutana nae mitandaoni mie sio mwizi ila hata mimi pia usiniamini
Ukija dar ntakupeleka kila unapopataka
Dar kuna vijana wa hovyo sana na pia utu kwasasa umekua haba mnooo
 
Tatzo mkuu huku mikoan simu ya laki 5 ,uko dar n lak 4 na 20 labda, na sio rahisi kumfaham/ kujuana na mwenye duka la simu uko dar, kwahyo unajikuta unaagiza kwa mtu wa jf tu.
Nimara million ukatafta cm ndogo yake ambayo inanunulika huko huko ulipo kwa pesa ikutoshayo
Mzee utakuja kulia siku moja kama huku huku dae mtu unaenda dukani kununua cm na unapigwa
Sikwambii wewe umekaa zako kigoma unatuma tu muamala
Sema mzee unajiripua sana kwakweli ila iko siku mkeka wako utachanika usiseme huku ambiwa
 
Mkuu hii siwez rudia
 
Back
Top Bottom