Baa zenye pisi kali aka wadangaji Dar

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,435
13,421
Wajuzi naomba ntililike na uzi
Kuna zile baa za mfano kitambaa juliana .wavuvi sijui elements hizo mengi ni mashindikanaa lakini kuna chimbo za kijanja za kula pisi mq banker .manesi .watumishinwa uma naomba ntaje zsngu
The hood
Hii ipo sinza mori ukienda uliza ka spiri t and wine shop haka asee kuna midada imepaki ndinga zao kali ina makalio balaa na videmu classic noma mida mizuri kuanzia saa 2 usiku
Tiriple 9
Haka kapo nyuma ya lion hotel hapa kuna vyuma unaweza changanyikiwa japo chunga kuna demu anaitwa mina ananywele kama msomari ana matako mwembamba ni jikedume ashawala sana jicho walevi
Dance club
Hapa ni survey asee nenda weekend saa 6 usiku wanachuo wamevaa uchi uwe tu na viingeleza vingi ila pia pana mashoga sana hawa ukimpiga bia mbili onesha demu yeyote umemla
Tiffany hotel
Hii iko posta bia ni elfu 5 kaka hapo mademu wa grade 1 tanzania utawakuta usipaogope ww ingia minya ghorofa ya 9 hutajuta hapo hadi mawaziri wapo
Mizizi pub
Hii iko masaki hapa pisi nyingi chotara au wamekaa mbele kiujumla ni watoto wa kishua wa masaki na mikocheni hapa ndo niko namalizia bia hapa de france nielekee hapo nkaboreshe kiingereza changu
 
🤣🤣🤣masiha amezaliwa
Hallelujah
Kazi ya kuwatafuta makahaba iendelee hapo daslam,kila la kheri mkuu ktk tasnia hiyo👌
Kwenye dini huko siko kabisa .mambo ya mjadala kuwa wa watoto wa ibrahimu wanapigana vita unasema huwezi kula xmas .wakati wakongo xmas toka uzaliwe wanauwawa unakula raha.dini ni ulevi haramu
 
Ila uzinzi ni ulevi halali🤣🤣🤣
neno uzinzi walileta hao wadini
Ili kuzuia msizaane mkawa wengi mkawazidi nguvu.kiafrika uzinzi ni kulala na mke wa mtu tu .illa mm na miaka yangu 40 nimekulilia hali unipe utamu ukanihurumia yatima wa watu ukaona unipe na wote hatujaingia ndoani hiyo ni ubinadamu sex iliumbwa ku beutify life ni zawadi toka kwa mola.kibaya ni kukubaka bila ridhaa yako
 
Back
Top Bottom