dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. Jo Assistant

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu ya Galaxy S8 plain used Dar es Salaam kwa bei nafuu

    Habari wadau, Nauza simu yangu kwa mtu anayetaka kuinunua hapa Dar es Salaam. Nakupa na chaja yake bure. Simu ipo rooted na unaweza kutumia line 2 za simu. Kama utataka nikufungulie social media accounts (Instagram, Facebook, X, nk), nitakufungulia bure. Pia kama utataka links za websites za...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania DAWASA: Changamoto ya Umeme Mdogo imesababisha baadhi ya maeneo ya Dar kukosa Maji, maboresho yanaendelea

    Mamlaka ya Majisafi na Uhifadhi wa Mazingira (DAWASA), imesema inaendelea kufanya maboresho katika maeneo yenye Changamoto ya kukosa Maji katika Jiji la Dar es Salaam ikiwa ni pamoja na maeneo ya Segerea. Taarifa iliyotolewa na Everlasting Lyaro ambaye ni Afisa wa Mamlaka hiyo aliyezungumza na...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dar: Watu 7 wapofuka Macho kwa kujitibu Ugonjwa wa 'Red Eyes' kienyeji

    Wizara ya Afya imesema idadi ya watu waliopata upofu jijini Dar es Salaam kutokana na kutibu ugonjwa wa macho mekundu kwa njia za kienyeji wamefikia saba kutoka wanne. Februaru 8, Mkurugenzi wa Tiba, Wizara ya Afya, Profesa Paschal Ruggajo alisema watu wanne waliougua ugonjwa huo wamepata upofu...
  4. GANJIBHAAI

    JamiiForums Tanzania Kama tunajenga expressway Dar to Dom kuna kila sababu ya kujenga race circuit, uwanja wa golf wa kisasa pamoja na winery katikati ya Dom na Moro

    Tanzania ni nchi iliyojaliwa madhari za kuvutia pasina shaka , kuanzia kaskazini kwenda kusini, magharibi mashariki, sijawahi kupata kigugumizi kusifia juu ya uzuri wa nchi yangu! Kwa kuzingatia hoja yangu kwa tuliopata fursa ya kusafiri kwa njia ya barabara Dom-Moro-Dom tunaweza shuhudia hili...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu 2 vya Tanzania ndani ya Top 10 kwa Ubora wa Elimu Kusini mwa Jangwa la Sahara. UDSM haimo

    Ni Vyuo Vikuu maarufu zaidi barani Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara? Vigezo vifuatavyo vya uteuzi: Kukodishwa, kupewa Leseni au Kuidhinishwa na Shirika linalotambulika linalohusiana na Elimu ya Juu katika kila nchi. Kutoa angalau Digrii za miaka mitatu au Digrii za Uzamili au za Udaktari...
  6. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Yanga vs CR Belouizdad ianze saa tisa Dar kama Mamelodi anavyoruhusiwa kucheza na Waarabu Afrika Kusini

    Waarabu mchawi wao jua tu Mamelodi na makali yake ila akiona kapangiwa waarabu tu. Mechi huwa anaweka saa tisa Pretoria. Jua kali maana anajua jua Waarabu hawaliwezi.
  7. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kitunda, Dar es Salaam

    Kiwanja kinauzwa KITUNDA DAR ES SALAAM, kiwanja hiki ni kikubwa mita 30*40 bei milioni 23 tu...! Unaweza ukajenga nyumba 2 za wastani... na car parking kidogo ikabaki. Barabara ya mtaa inafika hadi kilipo kiwanja. Kiwanja hiki kipo karibu kabisa na barabara ya Lami kama hatua 700 hivi kutoka...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Shughuli ya kuaga mwili wa Hayati Edward Lowassa Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kwenye shughuli kuaga mwili wa Edward Lowassa inayofanyika leo tarehe 2/23/2024 katika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam. https://www.youtube.com/live/aF_0GKdRJYI?feature=shared Salamu kutoka kwa viongozi mbalimbali Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye...
  9. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rais Samia tupia jicho Wizara ya Ardhi Kanda ya Dar es Salaam, unahujumiwa

    Kwanza Kabisa nikupongeze kwa kazi nzuri unayofanya ya kuwaletea Maendeleo wananchi wako wewe Binafsi Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan bila kujali ni kwa kiasi gani unaangushwa na baadhi ya wasaidizi wako. Sasa sikia haya na uyafanyie kazi. Miezi kadhaa iliyopita Waziri wa Ardhi Nyumba na...
  10. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa sukari umekithiri Jijini Dar es Salaam. Je, hiyo iliyoagizwa haijafika bado?

    Za asubuhi wananchi wenzangu, Leo katika mahangaiko naingia ofisini Kariakoo nakuta hamna sukari, nikaingia mtaa wa pemba kwenye maduka ya jumla nipate hata sukari ya kuanzia wiki aisee nimekuja pata sukari soko la kisutu baada ya kutembea dk 45. Je, sukari imeenda wapi na hiyo iliyoagizwa...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Mtaa wa Mshikamano -Mbezi Louis (Dar) hatuna huduma ya maji na Mamlaka zipo kimya

    Huku Mbezi Louis maeneo ya Mtaa wa Mshikamano Jijini Dar es Salaam hakuna maji ni mwezi sasa (Hadi muda naandika andiko hili Februari 10, 2024). Mara chache yanayoka usiku mwingi, Watu wanasumbuka kuamka mida hiyo na kukuta maji yanayotoka ni machafu balaa. Imagine kukaa mwezi mzima maji...
  12. C

    JamiiForums Tanzania MaIsha ya dar vs mikoani

    Kwema wakuu, Hasa kwetu sisi vijana ambao bado tunatafuta, we unaona wapi bora kati ya dar es salaam na mikoani. Karibu
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dar: Kutana na Kijana wa miaka 24 anayetoka kimapenzi na Bibi wa miaka 80 Tanzania

    Catherine, mama wa watoto 5 alipoteza mume wake miaka michache iliyopita na alihitaji kupendwa. Akiwa anaendelea na shughuli zake za kila siku, alikutana na George ambaye ni mtoro wa shule na mwendesha boda boda na kila kitu kikabadilika.
  14. AY 5225

    JamiiForums Tanzania Budget ni 650,000/= ninahitaji iPhone yoyote yenye macho matatu

    Heshima yenu wakuu. Nina shida na second hand iPhone asap na budget yangu ni 650k so probably naweza kupata japo 11 pro max, and if I am fortunate enough basi brother au sister mmoja anaweza kunitunuku hata ka 12 kwa bei hiyo hiyo kama offer. Be it as it may, nipo Unguja rn ila nitakuwa Dar...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta salon ya kiume ya kununua hapa Dar

    Habari, Nahitaji salon ya kiume ya kununua hapa Dar. Mwenye anayo anicheki. Ahsante.
  16. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam ibadilishwe jina iitwe Bandari ya Samia

    Kwa vile huyu ‘mama’ yetu amekuwa ndo Rais bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania [kama siyo Afrika na hata dunia nzima], mimi naenda mbali zaidi na kutaka awekwe tu kwenye noti. Mimi napendekeza jina la Bandari ya Dar es Salaam libadilishwe na iitwe Bandari ya Samia/ Port of Samia. Mama kaleta...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dar na Pwani zaongoza kwa kuwa na Wagonjwa wa Red Eyes, Mikoa 23 yabainika kuwa na maambukizi

    Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Huduma za Tiba kutoka Wizara ya Afya, Profesa Pascal Ruggajo, mikoa inayoongoza kwa ugonjwa wa Macho Mekundu (Red Eyes) ni Dar es Salaam na Pwani, ambapo Dar es Salaam imefikia wagonjwa 6,412, Pwani wagonjwa 4,041, Dodoma 363, Morogoro 307, Mtwara 193, Shinyanga 193...
  18. BigTall

    JamiiForums Tanzania Nimezunguka baadhi ya mitaa sijafanikiwa kupata Sukari Dar, kuna nini kinaendelea?

    Wazee nimezunguka mitaa kadhaa ya Kawe na Mbezi Beach na maeneo mengine ya karibu na hayo Dar es Salaam, siku mbili hizi kwa ajili ya kutafuta sukari lakini sijafanikiwa kupata kwenye maduka yote niliyoenda. Kwani hii hali ipo pia mitaani kwenu? Sukari iko wapi kwani? Au baada ya Serikali...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hitilafu ya Umeme yawakosesha Maji wakazi wa Dar na Pwani

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia wananchi wa mikoa ya Dar es salaam na Pwani kuwa kumekuwa na ukosefu wa huduma kutokana na hitilafu katika mfumo wa umeme wa Gridi ya Taifa. Taarifa hiyo imetolewa leo Jumamosi Februari 3,2024 na kitengo cha...
  20. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuwa mbali na Dar inaonekana kama adhabu kwenye bidhaa ya mafuta?

    Kama Azam anaweza kuuza energy Mtwara kwa bei sawa na Dsm, TBL anauza bia Bukoba kwa bei kama Dsm, Mwananchi anauza gazeti Mbeya kwa bei sawa na Dsm, EWURA wanashindwa nini kuwa na bei moja ya mafuta Tanzania nzima? Kwanini kuwa mbali na Dsm igeuke adhabu?
Back
Top Bottom