Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.
Kwa muhula wa pili nimefuatilia namna Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinawanyonya na kuwaibia vijana wanaowabakisha mara baada ya kuhitimu masomo kwa ufaulu mzuri ili kusaidia ufundisha
Najua moja ya comment itakuwa ni kutoka kwa Mallerina ananiambia "tafuta hela wewe friji halizimwi"🤣
Anyway,
Kama hauna pesa ya uhakika na unashi mzizima usijuhishishe na tasnia ya mapenzi yale yalio ya uhakika kwa maana huu mji hata demu wa yombo vituka anataka treatment ya level ya ibiza.
Wakuu
====
Katika miaka ya hivi karibuni, Serikali ya Tanzania kupitia DART (Dar Rapid Transit) imekuwa ikifanya jitihada kubwa za kuboresha mfumo wa usafiri wa umma jijini Dar es Salaam kwa kununua magari ya mwendokasi. Hata hivyo, licha ya uwekezaji huo mkubwa, changamoto bado ni kubwa —...
Madalali wanaofanya shughuli zao katika maeneo ya Masaki na Oysterbay, Dar es Salaam, wameiomba Serikali iingilie kati kutokana na kuingiliwa kwa biashara yao na raia wa kigeni, hasa Wachina, wanaodaiwa kufanya biashara ya udalali wanapoingia nchini.
Akizungumza na Swahili Times, Kaimu Katibu...
Wazoefu wa Masafa marefu na vigari vidogo.
Wakuu ile RUNX mpya ya majuzi nataka niende nayo Mwanza kwa ajiri ya mapumziko kikazi, vipi nitatoboa nayo 1200 kilomita??
Nitatumia muda gani?
Speed natakiwa kutembelea ngapi?
Anyways
1.Tyre zote mpya
2. Service bado inadai 2000Km
3. Kila kitu kipo...
We’re so excited to share this moment with you! ❤️✈️
Air Tanzania will start to fly direct from Dar es Salaam 🇹🇿 to Lagos 🇳🇬from 15th August, 2025. To us, this is more than just a flight route. It’s a beautiful bridge between two cultures, two nations… and two hearts.
Since our wedding...
Kama hali ya barabara katika eneo lenye soko la kimataifa la Kariakoo ndio hii, basi ni hatari.
Hali ikoje maeneo mengine ya ndani ndani Dar es Salaam na mikoani?
Kuna kero kubwa sana kwenye kufanya application ya Chuo cha DIT Campus ya Dar es Salaam upande wa Bachelor kuna Step 3, ukifika unaambiwa uweke Index Number ya Form Six, hata ukiweka mfumo haukupi option ya kuendelea hata ukiendelea unakurudisha hiyo stage.
Kiufupi kuna changamoto na mbaya...
Duh haya maisha sio poa sikutegemea kama dar es salaam jiji lenye kila aina ya starehe , kwamba na penyewe uchawi upo , yaani kuna uchawi balaa,sio poa hususani maeneo ya Mbagala, Chanika na chamazi dar nimeishi maeneo mengi ila sio kwa hayo maeneo yaani uchawi ndo ulipo lala, bora hata mikoani 😜
Kwa Nini Dar es Salaam Inaonekana Kama “Imeshafeli” kuwa jiji la kisasa(world class city) dar inaachwa mbali kiubora,mpangilio na miji kama windhoek(namibia) na gaborone(botswana) sababu ya mipango mibovu na kutokuwa na udhibiti wa ujenzi.
1. Miji Imejaa Kupita Kiasi
Mamilioni ya watu (zaidi...
Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam, Mbezi ,wakupiga nae stori, mambo ya maisha..n.k. jinsia wa kiume, Nina umri wa miaka 28,dini Mkristo ,Mimi ni fundi mitambo.
Karibu PM / Inbox nikupe namba
Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam, Mbezi ,wakupiga nae stori, mambo ya maisha..n.k. jinsia wa kiume, Nina umri wa miaka 28,dini Mkristo ,Mimi ni fundi mitambo.
Kwa maelezo zaidi njoo pm
"Usalama wa chakula kwa kuanza tunaanza kufuatilia uzalishaji wa chakula ili kujua ukoje katika maeneo mbalimbali ya nchi. Tunapozungumzia usalama wa chakula huwa na mihimili Minne
"Kwanza upatikanaji, je chakula kipo? Pili uwezo mfano mkoa wa Dar es Salaam hauna tatizo la usalama wa chakula...
Dar es salaam Vijana wengi ni Maskini ila wanamiliki iPhone na wanajua kunyoa na kuvaa vizuri and that's what give them confidence..
If you visit here hangaika na kilichokuleta.
Ukishaanza kupunguza tamaa za fashions unakuwa umekuwa sehemu moja muhimu sana.
Tufanye kazi hawa viongozi...
Hello all,
Natafuta kiwanja Dar es Salaam. Malengo yangu ni kujenga nyumba ya vyumba sita vya kukaribisha wageni wa mda mfupi (ex : Airbnb…)
Wapi Dar es Salaam naweza pata kiwanja kizuri kwa bei nafuu for my project?
Natanguliza shukran wakuu.
Nahitaji usafiri wa gari binafsi kutoka Ngara Kagera kwenda Dar es Salaam.
Nasafiri mimi na mke wangu
Natamani usafiri uwe Jumatano au Alhamis.
Nitachangia nauli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.