Ukiishi Dar, ni rahisi sana kua chizi!

Ukiishi Dar, ni rahisi sana kua chizi!

Dar nlipakmbia tokea 2019 nikazamia mwanza maisha at least basic needs ni uhakika si ya kuumiza kchwa kama nlipokuwa dar bt ni muhimu sn mtu kuish dar tena kwa muda mrefu ndpo uende mikoan unakuwa na exposure kubwa sn pia hata utafutaji wako unakuwa wa hali ya juu kuliko raia ambao hawajafka town.
 
Watu wa daslamu huwa mnajidanganya sana kusema mnawazidi wa mikoani utafutaji
 
Dar nlipakmbia tokea 2019 nikazamia mwanza maisha at least basic needs ni uhakika si ya kuumiza kchwa kama nlipokuwa dar bt ni muhimu sn mtu kuish dar tena kwa muda mrefu ndpo uende mikoan unakuwa na exposure kubwa sn pia hata utafutaji wako unakuwa wa hali ya juu kuliko raia ambao hawajafka town.
Kwahiyo mkuu,wewe hapo Mwanza unawazidi watu wote kwa utafutaji ambao hawajafika au kuishi Dar?
 
Back
Top Bottom