Natafuta epoxy resin kwa mwanza na hata dar es salaam

Maffada

Member
Joined
Dec 6, 2019
Posts
67
Reaction score
75
kama kichwa kinavyojieleza natafuta epoxy resin nipo mkoani ila karibu na jiji la mwanza kwa huu mkoa nimetafuta bila mafanikio.

Sasa nauliza kama naweza kupata mwanza na hata dar es saam ikiwezekana ni vizuri kama nikajulishwa na bei yake ahsante
 
Google epoxy resin price in Tanzania, utaona wauzaji mbalimbali.
 
Back
Top Bottom