Mgombea wa uraisi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan amesema awali katika Mkoa wa Dar es Salaam kulikuwa kunachangamoto ya umeme lakini kutokana na kazi kubwa iliyofanyika, hadi kufikia sasa katika mkoa huo nishati ya umeme inapatikana kwa saa 24
“Si muda mrefu uliopita tulikuwa na kilio cha umeme kukatika katika, umeme kuletwa kwa zamu umeme kutokutosheleza sasa hivi Dar es Salaam, umeme ni 24/7 na ukizimwa kuna matangazo kwa nini umeme umezimwa,”- amesema Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan
Dkt. Samia ameyasema hayo Oktoba 22, 2025 Dar es Salaam kwenye muendelezo wa kampenzi zake kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025