dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Hili bango linatukebehi wana Dar

    Kwa hali hii ya maji, hili bango la kampeni ni kama kebehi kwetu sisi wananchi.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Mtazamo Wangu Juu ya Kupunguza Tatizo la Ukosefu wa Maji Jijini Dar es Salaam

    ✅ 1. Uboreshaji wa Miundombinu ya Maji Mabomba mengi ni ya zamani na yanavuja, hali inayosababisha upotevu mkubwa wa maji. Serikali na DAWASA wanapaswa kukarabati miundombinu hiyo na kupanua mtandao wa maji hadi maeneo ya pembezoni kama Chanika, Mbagala, Bunju, n.k. Pia, ujenzi wa matanki ya...
  3. Think2

    JamiiForums Tanzania Unakimbilia Dar kuchoma mahindi nyuma unaacha madini, shame on you

    Bei ya DHAHABU Leo tarehe 13/12/2025 kwa gram 1 ni kama ifuatavyo: ◼️Soko la Dunia TSH 344,033/= ◼️Bei za masokoni kwetu: 309,630/= ◼️Bei za kwenye centre huko migodini TSH 302,749/= Just 1 gram tu . Unakimbilia dar kuuza mahindi ya kuchoma unaacha mali zimbu kbs wewe
  4. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar es Salaam Amani ni muhimu kuliko Maji

    Kwa sasa, Jiji la Dar es Salaam linakumbwa na adha ya Maji, nawashauri Amani ni muhimu zaidi kuliko Maji, lindeni sana Amani kuliko Maji Nawasilisha
  5. The Father of All

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tangu aongee na 'wazee' wa Dar mbona Rais Samia haonekani?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Ukweli ni upi? Nini maana ya Mwigulu kusema kuwa hata akiwa waziri mkuu wa wiki moja yatosha? Je, anaumwa? Je,ameaga kama wanavyosema wasiomtakia wala kututakia mema? Je, anatafakari kamba mpya au kutubia madhambi ya kuuawa kwa Gen Z wetu? Yuko wapi Samia?
  6. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania DAWASA yaanza fufua visima kupunguza nakisi ya maji Dar es salaam

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza kufufua na kuhuisha visima virefu vya maji ili kupunguza nakisi ya maji ndani ya mkoa wa Dar es Salaam na mikoa jirani. Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Mkama Bwire ameyasema hayo siku Ijumaa Desemba 12, 2025 katika...
  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Polisi, TISS na JWTZ vipi kwenye nyumba zenu na za ndugu zenu hapa Dar kuna Maji?

    Katika ulimwengu huu kosa vyote ila kamwe usikose akili. Katika ulimwengu huu kubali kukosa vyote ila sio kukosa utashi wa kukataa udhalimu na kusimamia kutetea haki na ukweli. Wakati Wananchi wanapambana kutaka mfumo bora wa uchaguzi ili wapatikane Viongozi sahihi, wenye akili wanaowajibika...
  8. BABA TUPAC

    JamiiForums Tanzania Maeneo ambayo yatakuja kukua miaka ijayo hapa Dar

    Salam wakuu, Miaka kidogo nyumba maeneo kama Madale, Goba na Mapinga ilikuwa ni kama porini tu, viwanja vilikuwa vinapatikana kwa bei ya chini sana kwasababu hakukuwa na miundo mbinu yoyote ile lakini kwasasa bei za maeneo hayo ni kubwa sana. Kwa kulitambua hilo, ningependa kufahamu maeneo...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Dar es salaam kuna watu walitamba ila walikuwa wa kawaida sana

    Miaka ya 2004 kushuka chini kulikuwa na watu wa kawaida sana waliotamba kwa umaarufu pamoja na majina yao. Nakumbuka wachache ila mtaweza kuongeza. Mimi namkumbuka Baba Rama mwenye mikokoteni iliyokuwa na jina lake, ilikuwa maeneo ya kuanzia Urafiki, Manzese, Kagera, Tandale na Mabibo...
  10. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wakazi wa Dar waomba Amani iendelee kudumishwa kwani inastawisha Shughuli za Kiuchumi

    Wakazi wa Dar es Salaam wametoa wito wa kuzingatiwa na kudumishwa kwa amani nchini, wakisema ndio msingi wa ustawi wa maisha ya watu. Wamesisitiza matishio ya vurugu yanavyoathiri shughuli za kiuchumi na biashara, hasa Desemba ambayo mara nyingi huwa mwezi wenye faida. Mfanyabiashara wa vifaa...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Siwezi shangaa Dar kukosa maji maana hata sehemu zenye maziwa maji hakuna

    Hawa watawala ndio wameishia uwezo wao. Sio dar kuwa na ukosefu wa maji au matatizo ya kukosekana maji. Hata sehemu zilizozungukwa na maziwa maji yana kosekana Nchi imekosa ubunifu wa kutatua shida za maji.
  12. M

    JamiiForums Tanzania KERO Guys, hii ni vita ya uchumi, maadui zetu wamesababisha uhaba wa maji Dar. Who are you? They think they are still our masters?

    Guys, guys, guys this is economic sabotage, maadui zetu wanatuonea wivu sababu ya maumbile yetu na rasilimali tulizonazo. Tanzania ina bahari, maziwa, mito, mabwawa ila maadui zetu wanasababisha mpaka sasa miaka 64 ya uhuru maji si ya uhakika. Guys, natamani mfunguke mjue hii ni economic...
  13. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Shughuli za kawaida zarejea Dar es Salaam

    Wananchi wamejitokeza kwenda kwenye majukumu yao ya kila siku leo 10 December 2025. Kutokea mitaa ya Tandale mpaka soko la Kariakoo shughuli zinarejea taratibu. Idadi ya watu sio kubwa sana kama siku zingine. Wafanyabiashara kadhaa wanaonekana kuja kazini kwa kuchelewa Idadi inaendelea...
  14. stakehigh

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dar ni mji wa kufikirisha sana, imagine leo hakuna vichaa wala ombaomba walioonekana barabarani

    Ila Dar ni mji wa maigizo sana, imagine leo hakuna vichaa wala ombaomba walioonekana barabarani
  15. Scott junior

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam

    Ila Dar es Salaam mji wa maigizo sana, hakuna vichaa wala ombaomba barabarani.
  16. Babumawe

    JamiiForums Tanzania Mliokimbia DAR acheni kutusumbua kila muda mnapiga simu kuulizia

    Ndugu zetu mliopanda mabasi na kutokomea mikoani huko ebu acheni kupiga piga simu kuulizia hali ya huku, sisi sio mareporter kwaio mlivoondoka huku mlitegemea nani ataingia barabarani
  17. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Political Tension: Video, hali ilivyo asubuhi hii toka katika jiji la Dar es salaam shukrani kwa DW

    Raia bado wanasoma mchezo wa hali halisi ila mpaka mida hii mitaa inaonekana kuwa ni myeupe kabisa. Tupe update za ulipo.
  18. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Maeneo mengi ya Dar Es salaam kuna GARI CRUISER za plate Number za Mchongo zimeegeshwa kama vile kuna tukio wanajiandaa kulifanya

    Nasema hivii this time nyie wenye magari ya UTEKAJI mtafaham wajeshi wa kazi maalum uwezo wao kimedani! hao wala hawafanyi kazi kwa maelekezao ya CDF, nawaaambieni hamtaamini nyie watekaji! Pangeni tu ujinga wenu taarifa zoooteee tunazipataaaaa MNAPANGA MISHE ZETU PALE OSTERBAY POLICE...
  19. naliwe

    JamiiForums Tanzania Idadi kubwa ya Gen Z wameikimbia Dar es Salaam

    Kama afisa usafirishaji, nimeshuhudia vijana wengi wa GEN Z wakiukimbia mji wa Dar es Salaam
  20. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dar es Salaam residents flood Supermarkets in fear of the December 9 protests. Shoppers Mlimani City reports 10x more customers

    Dar es Salaam residents packed major supermarkets on Sunday as many rushed to buy essential supplies ahead of December 9, resulting in long queues and crowded aisles across the city. The rush comes even after the Tanzania Police Force announced a ban on the planned December 9 demonstrations...
Back
Top Bottom