ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,883
- 60,915
Ukitoa mwenge vinyago wenye bei za kizungu sehemu gani nyingine nitakuta mavazi yenye arts ila bei nzuri
Hizi nguo zinanunuliwa sana na Wazungu, hivyo bei nazo zinakuwa hivyo.Ukitoa mwenge vinyago wenye bei za kizungu sehemu gani nyingine nitakuta mavazi yenye arts ila bei nzuri