Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 5,742
- 4,288
Hamjambo tafadhali? Msaada tafadhali.
1. Shule ya Kibaha Sekondari (boys, ile special) ipo mtaa gani, kata gani na tarafa gani?!!!
2. Chuo Cha st. John, tawi la st marks (pale buguruni malapa) kipo mtaa gani, kata gani na tarafa gani wakuu?!!!