dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Dar: TMDA yakamata dawa ambazo hazijasajiliwa, zimo za Kutoa Mimba & za kuongeza Nguvu za Kiume

    MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Mashariki imekamata vifaa tiba na dawa ambazo hazijasajiliwa zenye thamani ya Sh. milioni 294.4. Bidhaa hizo zimekamatwa kufuatia ukaguzi maalum, uliofanyika eneo la Mtaa wa Kitumbini katika Kata ya Mchafukoge katikati ya Jiji la Dar es Salaam...
  2. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania 60% ya wakazi wa Dar ni wezi, hawana kazi za kueleweka na wazururaji

    Na huo ndio ukweli. 60% Ya watu wanaoishi Dar (watu wazima tu ukitoa watoto) Hawana kazi za kueleweka, kazi za kuwaweka busy masaa 10 kwa siku, ndio maana tukio likitokea mtaani ghafla unakuta watu wanajaa ghafla wengi sana na wanakaa hata saa nzima wakishangaa na kupiga umbea Hayo hayo...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania Bernard Morrison arudi Dar, aomba jezi 100 za Simba ili aende nazo Ghana

    Andiko la Bernard Morrison: "Mara nyingi tunakatishwa tamaa na wale tunaowapenda na kuwaamini. lakini wacha nifanye hadithi yangu kuwa fupi na rahisi, nahitaji vipande 100 vya jezi za simba kutoka kwa mashabiki waaminifu ili zipewe marafiki na familia nchini Ghana. "Hii ni kutokana na nyinyi...
  4. More Chances

    JamiiForums Tanzania Biashara kati ya Zanzibar na Dar

    Habari za asubuhi wapendwa Mimi ni kijana umri wangu ni 30years. Natamani kufanya biashara za kutoa bidhaa zanzibar kuja kuuza Dar Niko interested sana na biashara za Electronics. Wadau mnaofanya biashara hizi naombeni mnishauri ni bidhaa gani naweza pata kwa bei nzuri na nikaja kupiga hela...
  5. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Tsh. Milioni 700 kwa atakayempata Mchina aliyemuua mwenzake Dar

    Familia ya Fu Nannan ambaye ni raia wa China aliyeuawa Juni 11, 2022, kwa kupigwa risasi nyumbani kwake Ilala Jijini Dar es Salaam na Mchina mwenzie aitwaye Zheng Lingyao, imeahidi dau la Shilingi Milioni 700 kwa atakayefanikisha kupatikana kwa mtuhiwa huyo. Fu Nannan, aliuawa kwa risasi wakati...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Soko la papai Dar likoje?

    Jamani, ninaomba kujua biashara ya papai inaendaje kwa Dar hasa kwa mkulima. Nini uzoefu wenu
  7. E

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya 80% ya maroli yanayorudi Dar hurudi tupu

    Ni mekuwa najiuliza hii misururu mirefu ya maroli yanayorudi Dar ikiwa tupu na mingine kubebana miwili, hivi hatuna bidhaa za kupeleka bandarini? hatuna marobota ya pamba katani kahawa mahindi alizeti mashudu? ni kweli hatuna bidhaa za kuuza nje ya nchi? sie tumekuwa soko la bidhaa za nje tu...
  8. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Majambazi watatu wauawa katika mashambulizi dhidi ya Askati Dar, Juni 24, 2022

    Taarifa kutoka Jeshi la Polisi ni kuwa Majambazi watatu wameuawa baada ya kupambana na askari wa jeshi hilo wakiwa katika harakati za kutaka kupora katika duka eneo la Goba Jijini Dar es Salaam, leo Juni 24, 2022.
  9. Mayova

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya umeme kwa bei ya jumla Dar kwa bei nafuu

    Wapendwa katika bwana … naombeni mwenye kujua sehemu ambapo wanauza vifaa vya umeme kwa bei ya jumla Dar es Salaam kwa bei nafuu
  10. sir j

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Windows Installation

    Kwema wana jamvi....?? Poleni na mihangaiko ya kutwa. Kama mada hapo juu inavyojieleza, niko na install Windows 10 kwa PC yangu lakini inaniletea ujumbe kama inavyoonekana kwenye Screen short niliyoambatanisha.... Nahitaji msaada tafadhali kwa wenye utaalamu. Natanguliza shukrani zangu za...
  11. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Hapa Dar ni maduka gani yanauza office shoes original?

    Kiukweli nimechoka kununua hivi viatu vya Kariakoo unanunua leo wiki ijayo kimeachia pembene unapeleka kwa fundi huku kiatu umenunua 100k+. Naomba kujua maduka ambayo yanauza viatu original, kiatu ambacho nikinunua hata kama ni 400k lakini kinadumu kwa muda flani angalau miezi sita na...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Zoezi la uwekaji anuani za makazi ladoda kwa Dar es Salaam

    Wakati Waziri Nape akikabidhi taarifa ya utendeji wakuweka anuani za makazi. Najaribu kuwaza kwa ukubwa zaidi nini atakuwa amemwambia Waziri Mkuu juu ya alichokuwa akikifanya na utekelezaji wa shughuli nzima kwa kuthaminisha utumiaji mzuri wa rasilimali za serikali na ni tija gani...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kusafirisha mifugo (mbuzi/ng'ombe) Iringa to Dar

    Wadau salaam, Naomba connection kwa mtu yoyote mwenye uzoefu wa kusafirisha mifugo kutoka mkoani iringa kuja Dar hasa mbuzi na ng'ombe. Natafuta mdau wa kuchangia usafiri ili nilete mifugo. Kutoka Iringa kuja Dar Ahsante.
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TEMESA wakubaliana na Azam Marine kuvusha abiria Kigamboni (Ferry)

    Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) unapenda kuujulisha umma kuwa umefikia makubaliano na kampuni ya Azam marine kutoa huduma ya kuvusha abiria baina ya Magogoni na Kigamboni ili kuendelea kuwapa wananchi huduma ya uhakika wakati huu Wakala ukiendelea kufanyia matengenezo vivuko vyake...
  15. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Mwezi Aprili 2022 ilikuwa Dar, sasa Juni 2022 Padri wa White Fathers kukutwa amekufa kwenye mazingira ya kutatanisha Mbeya

    Jijini Dar es Salaam, mwezi wa nne mwaka huu Padri wa Shirika la White Fathers, Kanisa Katoliki, alitoweka na mwili wake kukutwa kwenye tank la maji akiwa hana uhai. Padri huyo alikuwa ni Raia wa Zambia. Jijini Mbeya, mwezi huu Padri mwingine wa shirika hilo hilo kutokea Malawi alitoweka na...
  16. Von Bismarck

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaribu wa kusafirisha bidhaa kutoka Zanzibar kuja Dar

    Naomba kujua utaribu wa kusafirisha bidhaa kutoka zanzibar kuja Dar, mfano Tv na baiskeli. Nategemea kuanza kuuza Tv na kukodisha baiskeli huku mkoan, hivyo nimeona kunagharama nafuu sana kupata bidhaa hiyo Zanzibar japo sijajua utaratibu upoje. Hii ni kutokana na kodi za nchi yetu ni kila...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: RC Makalla atembelelea Masoko ya Simu 2000 na Mahakama ya ndizi Mabibo

    *RC MAKALLA AFANYA MAAMUZI MAGUMU, AAGIZA MABORESHO YA KWANZA SOKO LA SIMU 2000 NA SOKO LA MABIBO - Asema hoja Za Wafanyabiashara zina uzito hivyo waboreshewe kwanza kisha kamati ya soko Na serikali wakae kupendekeza vibanda uniform rafiki kwa wafanyabiashara. - Wafanyabiashara wapongeza...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Siasa na Sarakasi za Jiji la Dar es Salaam zina raha na Hadhi yake. Tunawamiss sana Kandoro, Makonda na Yusuph Makamba

    Kwa kweli Jiji la Dar es Salaam ni jiji kubwa na maarufu sana Duniani, lina hadhi ya kipekee, siasa za kipekee, burudani na sarakasi za kipekee hasa kutoka kwa wakazi na Viongozi wa jiji hilo pamoja na Burudani zilizopo. Kuna Muda una hitajika Ubabe, Kuna muda zinahitajika ucheshi . Kuna muda...
  19. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Dar: Jamaa adaiwa kumuua mpenzi wake kisha naye kujiua kwa kunywa sumu, vidonge na pombe

    Bunaza Doto Manyanda (34) anadaiwa kumuua mpenzi wake, Happiness Mzalile Zakaria (23) kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali tumboni kisha naye kujiua, marehemu wote wakiwa ni Wakazi wa Charambe kwa Mbiku Wilayani Temeke, Dar es Salaam. Tukio hilo limetokea jana Jumatano Juni 8, 2022 ambapo...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kama upo Dar na mkeo yupo mikoani imekula kwako. Weekend hii naenda kumchakata

    Poleni wanaume wote ambao wake zenu wako mbali nanyi. Hakika mnaibiwa sana. Weekend hii ni zamu ya wanaume wa Dar ambao wake zao wako mikoani. Mmoja wa wanaume hao atachapiwa weekend hii, maana nimepata mwaliko toka kwa mkewe niende kumchakata..
Back
Top Bottom