CBE Dar es Salaam kuna nini?

rangyahero

New Member
Aug 21, 2022
1
1
Kuna uwezekano mkubwa kwa wanafunzi wa CBE Dar es salaam wa mwaka 2022 waliofaulu kujiunga na vyuo vikuu hawatapata fursa hiyo. Tafadhali wenye taarifa kamili tujuzeni.
Wazazi tumelipia watoto ada miaka miwili Ili kuwapatia watoto fursa za kujiendeleza kielimu ila tunashangazwa na mwenendo wa Chuo kugoma kupeleka majina ya waliofaulu TCU Hadi dirisha la usajili linafungwa.
Serikali ya wanafunzi inaonekana haina meno ya kushughulikia tatizo hili. Je tatizo lipo kwa vyuo vyote ama ni CBE tu?
 
unaweza kuthibisha hili? unathibitishaje kuwa mpaka leo hawajapeleka majina TCU?
 
Back
Top Bottom