Kweli usafiri wa Bolt ni poa sana ukiwa Dar es Salaam

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Nilibahatika kuja Dar es Salaam kwa safari ya kibinafsi na mojawapo la tatizo la Dar ni usafiri. Kwenye hoteli niliyofikia nikawauliza usafiri utakaonisaidia nikiwa Dar na wakanishauri nijiunge na bolt. Kwa kweli usafiri wa bolt ni poa sana.

Unaweza kusafiri na bolt toka Sinza na kwenda katikati ya Jiji unaweza kulipa kuanzia 6,000 mpaka 8,000 wakati taxi za kawaida unaweza kulipa mpaka 20,000.

Kutoka Sinza mpaka airport nililipa 13,000 wakati taxi za kawaida ni Tshs.25,000. Kweli usafiri wa bolt una unafuu sana katika Jiji la Dar.
 
Bolt wamekulipa dollar ngapi? Sasa hakuna usafiri wa hovyo kama bolt kwanza madereva wake wamekaa kimchongo wezi wezi tu.

Natumia uber hata kama rate ziko juu nakuwa na amani na usalama wa hali ya juu. Bolt anakuja dereva mwingine mara namba za gari tofauti
 
Nilibahatika kuja Dar es Salaam kwa safari ya kibinafsi na mojawapo la tatizo la Dar ni usafiri. Kwenye hoteli niliyofikia nikawauliza usafiri utakaonisaidia nikiwa Dar na wakanishauri nijiunge na bolt. Kwa kweli usafiri wa bolt ni poa sana. Unaweza kusafiri na bolt toka Sinza na kwenda katikati ya Jiji unaweza kulipa kuanzia 6,000 mpaka 8,000 wakati taxi za kawaida unaweza kulipa mpaka 20,000. Kutoka Sinza mpaka airport nililipa 13,000 wakati taxi za kawaida ni Tshs.25,000. Kweli usafiri wa bolt una unafuu sana katika Jiji la Dar.
Kweli bora wa kuja anajielewa, wewe ni wa kuletwa, is this your first time in Dar?
 
Nilibahatika kuja Dar es Salaam kwa safari ya kibinafsi na mojawapo la tatizo la Dar ni usafiri. Kwenye hoteli niliyofikia nikawauliza usafiri utakaonisaidia nikiwa Dar na wakanishauri nijiunge na bolt. Kwa kweli usafiri wa bolt ni poa sana. Unaweza kusafiri na bolt toka Sinza na kwenda katikati ya Jiji unaweza kulipa kuanzia 6,000 mpaka 8,000 wakati taxi za kawaida unaweza kulipa mpaka 20,000. Kutoka Sinza mpaka airport nililipa 13,000 wakati taxi za kawaida ni Tshs.25,000. Kweli usafiri wa bolt una unafuu sana katika Jiji la Dar.
Hata mwanza pia ni poa sana

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Nilibahatika kuja Dar es Salaam kwa safari ya kibinafsi na mojawapo la tatizo la Dar ni usafiri. Kwenye hoteli niliyofikia nikawauliza usafiri utakaonisaidia nikiwa Dar na wakanishauri nijiunge na bolt. Kwa kweli usafiri wa bolt ni poa sana. Unaweza kusafiri na bolt toka Sinza na kwenda katikati ya Jiji unaweza kulipa kuanzia 6,000 mpaka 8,000 wakati taxi za kawaida unaweza kulipa mpaka 20,000. Kutoka Sinza mpaka airport nililipa 13,000 wakati taxi za kawaida ni Tshs.25,000. Kweli usafiri wa bolt una unafuu sana katika Jiji la Dar.
Hongera kwakufika Dar

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Honestly hata ukiwa na usafiri wako mwenyewe afu unapiga tungi I'd rather utumie Bolt au Uber. ndege JOHN 🤣🤣🤣🙊🙊 Bila hiyo nusanusa watakulaza Central Sanaaaa.

Pia ukiwa mgeni mjini hapa badala ya kutafuta kuchuniwa gari na kuambulia matusi kisa unapotea potea tu na kushangaa barabarani bora upaki gari hotelini utumie Bolt au Uber Satoh Hirosh 😁😁😁🤣🤣🤣.

Its safer and more convinient.
 
Back
Top Bottom