Akili za Magufuli: Alidai Mwanza ni Jiji na Dar es Salaam ni Mkoa

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Salaam Wakuu

Ndo Maana watu wanalalamika rais ana Mamlaka makubwa hadi kuingilia Sheria, Historia na Maisha ya watu waishije.

Yule mwenda zake alishauriana na Mke wake akaona atoe tamko kwamba Mwanza na Dodoma ni Majiji na Dar es Salaam ni Mkoa kinyume kabisa na Sheria na Kanuni za TAMISEMI na watu wakapiga Makofi.

Akadai watu wa Kimara Wabomolewe sababu hawakumpa kura na wale wa Mwanza wasibomolewe nyumba zao sababu Walimpa kura.

Haya matukio yamenifanya niutafute Wimbo wa Bob Marley wa Babylon System is Vampire.

Pia, soma:

1). Rais Magufuli: Msiwabomoleshe Mwanza, hata kama wamekosea ndio walionipa Urais

2). Rais Magufuli kuvunja Jiji la Dar es Salaam
 
Ila magufuli ki ukweli hawezi kusahaulika aisee, mpaka sasa kila mtu anatamani angelikuwepo

Maana si kwa kutoisha story zake mitandaoni,

Iwe ni stories za kijinga kama hii ama nzuri za jinsi alivyotenda kwa wema, hizi zote ni ishara za kumiss uwepo wake

JPM amenifundisha ujasiri wa kusimamia ninachokiamiani mpaka mwisho, alichokiamini ikitokea mtu anamfolea, alikuwa tayari kwa mapambano naye na mengi aliyoyaamini yamekuwa msaada kwa taifa letu
 
Salaam Wakuu

Ndo Maana watu wanalalamika rais ana Mamlaka makubwa hadi kuingilia Sheria, Historia na Maisha ya watu waishije.

Yule mwenda zake alishairiana na Mke wake akaona atoe tamko kwamba Mwanza na Dodoma ni Majiji na Dar es Salaam ni Mkoa kinyume kabisa na Sheria na Kanuni za TAMISEMI na watu wakapiga Makofi.

Akadai watu wa Kimara Wabomolewe sababu hawakumpa kura na wale wa Mwanza wasibomolewe nyumba zao sababu Walimpa kura.

Haya matukio yamenifanya niutafute Wimbo wa Bob Marley wa Babylon System is Vampire.

Pia, soma:

1). Rais Magufuli: Msiwabomoleshe Mwanza, hata kama wamekosea ndio walionipa Urais

2). Rais Magufuli kuvunja Jiji la Dar es Salaam
Tukisema alikuwa na mafilifili kichwani msiwe wabishi.
Anthony Dialo alikuwa sahihi sana, ile mutu ilikuwa gonjwa kichwani
 
Jaribu kukielewa kitu unachota kukieleza.
Mkoa Mwanza jiji ni pale mjini tu(Nafikiri ni wilaya Nyamagana) lakini usifikiri hadi huko Ukerewe,Sengerema na wilaya nyingine huko ni jiji,hapana.
Hata Dodoma jiji ni pale Dodoma mjini usifikiri hadi huko mpwapwa au kongwa napo ni sehemu ya jiji.
 
Ila magufuli ki ukweli hawezi kusahaulika aisee, mpaka sasa kila mtu anatamani angelikuwepo

Maana si kwa kutoisha story zake mitandaoni,

Iwe ni stories za kijinga kama hii ama nzuri za jinsi alivyotenda kwa wema, hizi zote ni ishara za kumiss uwepo wake

JPM amenifundisha ujasiri wa kusimamia ninachokiamiani mpaka mwisho, alichokiamini ikitokea mtu anamfolea, alikuwa tayari kwa mapambano naye na mengi aliyoyaamini yamekuwa msaada kwa taifa letu
Alichokosa ni Haiba ya uongozi tu...hakujaa hekima na busara hivyo akaangukia kwenye Ukatili
 
Ila magufuli ki ukweli hawezi kusahaulika aisee, mpaka sasa kila mtu anatamani angelikuwepo

Maana si kwa kutoisha story zake mitandaoni,

Iwe ni stories za kijinga kama hii ama nzuri za jinsi alivyotenda kwa wema, hizi zote ni ishara za kumiss uwepo wake

JPM amenifundisha ujasiri wa kusimamia ninachokiamiani mpaka mwisho, alichokiamini ikitokea mtu anamfolea, alikuwa tayari kwa mapambano naye na mengi aliyoyaamini yamekuwa msaada kwa taifa letu
Vizuri. Hata mimi pia. Je upande wa pili wa shilingi hujajifunza chochote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu utendaji wa Magufuli umefanya hata watu wengi hata waliokuwa hawataki wafikirie kuhusu maboresho ya katiba.
Yaani kwa mara ya kwanza ktk nchii hii ndio imeonekana kumbe Rais anaweza kuuza hata IKULLU na usimfanye lolote( huo ni mfano tu taf)

Hata mi naona kumhukumu JPM tunakosea katiba inaruhusu huwezi kumshitaki popote. Hata akiikodisha nchi yote kwa Elon Musk poa tu.

Back
Top Bottom