daladala

Dala dala are minibus share taxis in Tanzania. Often overcrowded and operated at unsafe speeds, these minibuses developed as a response to an insufficient public transport system in the country. While the name may be a corruption of the English word "dollar", they are also referred to as thumni.Before minibuses became widely used, a truck with benches placed in the bed was the typical Tanzanian privately owned public transport. Called chai maharagwe, these were popular c. 1990.While dala dala may run fixed routes picking up passengers at central locations, they will also stop anywhere along their route to drop someone off or allow a prospective passenger to board.In contrast to most of these minibuses, in Dar es Salaam some dala dala are publicly operated as of 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Utafiti usio rasmi: Wanaosinzia kwenye daladala wanavuta hewa chafu

    Baraza la Taifa la Uhifadhi Mazingira (NEMC), limezitaka taasisi za utafiti nchini kufanya utafiti kufuatia kuwepo kwa tafiti zisizo rasmi zinazoeleza kwamba, ukataji miti hovyo unafanya hewa ya ukaa kuongezeka na kusababisha watu wanapopanda kwenye daladala kuanza kusinzia. Akizungumza jijini...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kuitafuta miaka yangu hii ya 60 bado nikipanda Dala Dala nawapisha Wazee, ila Vijana 'mnauchuna' tu Vitini

    Ndiyo maana mnaishia tu Kuvuta Bangi, Kupewa hovyo Mimba, mnafeli hovyo Mashuleni, Akili hamna huku wengine mkipenda kuwa kama Dada zenu wakati ni Watoto wa Kiume. Nidhamu ni Ufunguo wa kila Jambo na chanzo cha Baraka Maishani hasa ikionyeshwa na Mtoto / Kijana mbele ya Wakubwa zake hata kama...
  3. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Wadada kwenye daladala

    Jamani kelele za hawa wadada et tunabambiwa ila sometime wanayatakaga wenyewe Nimekaa zangu kwenye siti mtu anakuletea kalio mpaka puani hata hajistukiii mbaya zaidi limewamba Sikutakiana lawama huku ikabidi nizuge nimelala maana sipendagi ujinga kibisa
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi EFM na Rais wa Wapanda DalaDala Wilson Oruma: Simba wamesajili vyema kuliko Yanga

    "Katika dirisha hili dogo Simba SC wamesajili vyema na kiufundi kuliko Yanga SC," Wilson Oruma Mchambuzi wa Michezo EFM na Rais wa Wapanda DalaDala (Bayankata) Tanzania nzima. Chanzo: EFM Sports Headquarters dakika chache zilizopita. Ombi langu kuu GENTAMYCINE kwa Serikali yangu ni Kujenga...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Daladala Mbezi Mwisho ni chafu sana, Mbunge wetu hawezi kujua hilo ana mambo mengi

    Jana nilifuatilia mjadala ulioanzishwa na JF kuhusu maoni ya sisi Wananchi wa kawaida kwenda kwa viongozi wetu hasa Wabunge, kwanza niwapaongeze sana kwa hicho walichokifanya na ninawashauri wakiendeleza kwa kuwa kero zipo nyingi. Binafsi naamini wanasiasa ni watu wanaofuata upepo, kuna muda...
  6. Dumas the terrible

    JamiiForums Tanzania Makondakta wa Daladala wanawanyanyasa wanafunzi, Mamlaka chunguzeni mchukue hatua

    Salamu wakuu, Poleni na changamoto za January naamini zitapita tu Kama upepo wa kisulisuli Husika na kichwa cha habari hapo juu, Katika hali ya kushangaza na kustaajabisha kama sio kukera sana ni suala la makondakta wa Daladala kuwanyanyasa wanafunzi waendapo shuleni asubuhi na jioni wakati wa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hivi mabasi ya mwendokasi yana mwenyewe? Au yanajifia kama daladala za UDA?

    Nimefika Dar es salaam nikafanikiwa kupanda magari ya mwendokasi nikajiuliza viongozi wenye dhamana wameisha DSM? Mabasi yamechoka, yanajaza abiria hadi milango haifungi, yapo machache na hakuna msimamizi serious unayemwona mwenye lengo la kuyatunza yadumu. Kwa namna mabasi haya yanavyoendeshwa...
  8. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Vituko ulivyowahi kusikia/kuona kwenye Daladala

    Kuna siku asubuhi, nilisikia mtoto alimuliza mama yake "Mama tunaenda wapi, mbona hatujaoga?" Wewe umesikia/kuona nini?
  9. Mpigamimba

    JamiiForums Tanzania Upo kwenye daladala anaingia mrembo, unatarajia atakaa vizuri kwenye siti yenu nyie wawili tu, lakini akakupa mgongo

    Nilitafakari sana kichwa cha habari hii. Nipo kwenye basi kama nivyosema hapo, nimekaa zangu siti za double nikiwa dirishani, akaingia mrembo pisi kali ya hatari. Cha ajabu ikanikalia na miracle paaa! Upandeupande. Mishavu ikiwa juu ya mguu wangu paja, nikajisogeza ili asinikalie na baadhi...
  10. Kindeena

    JamiiForums Tanzania Ajali Wazo Hill: Daladala la Mbezi Tegeta Nyuki limeparamia bajaji na pikipiki

    BREAKING NEWS: Daladala inayofanya safari zake kati ya Mbezi na Tegeta kibaoni imefeli breki katika barabara yenye mteremko mkali ya Wazo Hill. Inaelezwa kuwa daladala hiyo imevamia Bajaji pamoja na Pikipiki kadhaa. Taarifa zaidi zitakujia hivi punde. East Africa TV
  11. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Daladala bye bye hii namba C inanitosha. Asante Sana Allah

    Sasa daladala bye bye Kaa vizuri na Mungu Muda huu nipo hapa Banana Big John Katika Sheli ya Petro Africa Vijana tuishi Katika Mungu Mimi hii namba C inanitosha
  12. ommytk

    JamiiForums Tanzania TUKUTANE HAPA: Uliwahi kujikausha kwenye daladala kama umelipa nauli wakati hujalipa?

    Hili jambo gumu, sema pia ni ushujaa. Kuna siku jamaa konda anamwambia hujalipa jamaa anasema kalipa na anadai chenji. Alianzisha mtiti aisee, watu wakavu sana, ugomvi mkubwa jamaa mwisho kaondoka bila hata chenji. Wabongo aisee hatari!
  13. Rockefeller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenye daladala huko Kenya

    Habari wakuu, Leo nineona daladala imewekwa picha ya rais wa Kenya, William Ruto naamini Ruto ana ushawishi/supporters/fans/wannabes hapa Tanzania. Swali langu ni Je vipi Samia huko Kenya? Au Ni mwanasiasa gani wa Tanzania ana ushawishi huko?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Mimi nisingejipendekeza kwenda Msibani London na kupandishwa DalaDala bali ningepambania hasa Ujenzi wa hili Bomba

    Bunge la Ulaya limemwita Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kimataifa ya Mafuta ya TotalEnergies, Patrick Pouyanné kujibu madai ya Bunge la Ulaya kwamba Mradi wa Bomba la Mafuta kutoka Uganda hadi Tanga Tanzania haukuzingatia tahadhari za kimazingira na haki za binadamu. TotalEnergies ndiyo kampuni...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Jana Nimepanda Daladala la London nikapitishwa Kituo

    JANA NIMEPANDA DALADALA LA LONDON NIKAPITISHWA KITUO. Anaandika, Robert Heriel kijana Chakaramu. Yagayagayagayaga! Wazimu ukanipanda, ukanisonda nikahisi kukonda, niilikuwa zangu nimesimama stend ya Daladala huko katikati ya jiji nikiwa nimechoka, Kwa kweli shughuli za jiji hili zilinichosha...
  16. Google Diggers

    JamiiForums Tanzania Tabia mbaya makondakta daladala za Bunju kuja au kuelekea mjini

    Haina haja ya salamu. Hawa wavaa vibaya na wasema hovyo wanatabia nyingi mbovu. Hapa nielezee kidogo nauli. Wandugu kama hujui bei watakukanyaga watakutoza kiasi wanachotaka wao. Kabla mafuta hayajapanda Kwa sababu za vita ya Ukraine vs Russia nauli ilikuwa 750 kutoka pande zote za mbali. Hapa...
  17. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II

    Aibu! Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi. Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
  18. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Hivi stendi ya daladala Sabasaba Dodoma wameshindwa kuwatenganisha wauza bidhaa za sokoni na parking za daladala?

    Nashindwa kuelewa, yaani eneo la nyuma ya stendi kuna soko la vyakula, ila cha ajabu sehemu zinapopark daladala zimezungukwa kwa kupangwa nyanya, viazi, machungwa nk. Yaani njia ya kupita shida pindi unapanda daladala, hata madereva wanalalamikia hili. Pia hupelekea watu kupigana kwa kunyaga...
  19. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Huduma ya vyoo vya kulipia kwenye vituo vya daladala

    HUDUMA YA VYOO VYA KULIPIA KWENYE VITUO VYA DALADALA UTANGULIZI: Tukichukulia maisha ya mjini hasa miji mikubwa kama Dar es Salaam suala zima la mahitaji ya choo ni muhimu kwa jamii. Na karibu asilimia kubwa ya jamii ya wakazi wa mjini hasa miji mikubwa wanapata huduma ya choo. Hata hivyo mimi...
  20. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wazee walizeekaje bila kukunua magari? Kwanini tuwaachie viti kwenye daladala ili sisi tusimame?

    Creative Monster Baraza la wazee liliwahi kuomba vijana wawe na heshima kwa wazee hususani kwenye daladala pale wazee wanapokosa viti basi vijana wasimame kuwapisha wazee wakae. Ni kweli na ni swala zuri sana na la kuenzi. Septemba mosi ndani ya daladala iliyokuwa ikitokea Mbagala kuelekea...
Back
Top Bottom