daladala

Dala dala are minibus share taxis in Tanzania. Often overcrowded and operated at unsafe speeds, these minibuses developed as a response to an insufficient public transport system in the country. While the name may be a corruption of the English word "dollar", they are also referred to as thumni.Before minibuses became widely used, a truck with benches placed in the bed was the typical Tanzanian privately owned public transport. Called chai maharagwe, these were popular c. 1990.While dala dala may run fixed routes picking up passengers at central locations, they will also stop anywhere along their route to drop someone off or allow a prospective passenger to board.In contrast to most of these minibuses, in Dar es Salaam some dala dala are publicly operated as of 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam haya ndiyo yatakayokutia doa hapa Mbezi Luis Stend ya daladala

    Niende kwenye hoja Moja Kwa moja. Hii stend itakuja kusababisha mauaji na viongoz kuanza kujitetea kwa kuleta sababu na matetezi. Hizi ngaz kiunganishi cha vituo viwili vya daladala. Watakuja kufa watu. Mungu aepushie mbali. Mh charamila mkuu wetu wa DSM una viongozi wasiojali utu wa watu...
  2. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Daladala wanakera sana kuweka mafuta katikati ya safari hasa ukiwa unataka kuwahi

    Hakuna kitu nisichokipenda kama nikipanda daladala, boda au bajaji especially when kuna foleni na unataka kuwahi wao wanaingia sheri kujaza mafuta. Hivi wanashindwa kuweka full tank na kujaza kila wanapomaliza trip kuliko kujaza katikati?
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Giza limetawala Kituo cha Daladala Mbezi Mwisho, abiria wanategemea mwanga wa taa za gari

    Taa za Kituo cha Daladala cha Mbezi Luis maarufu kwa jina la Mbezi Mwisho haziwaki na hali ya Giza imetawala eneo hilo na hivyo kuhatarisha Usalama wa mali na abiria wenyewe. Mpishano wa magari unaendelea huku purukushani za watu nazo zikiendelea hivyohivyo. Kwa ninavyowaona vijana ambao...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Arusha: Usafiri wa daladala kurejea, madereva wamaliza mgomo

    Mgomo huo ulioibuka asubuhi ya leo Julai 3, 2023 baada ya madereva Daladala kudai kuingiliwa ruti na wenzao wa Bajaj, hatimaye wameyamaliza na usafiri unaratijiwa kurejea kama kawaida kuanzia asubuhi ya Julai 4, 2023. Baada ya mazungumzo hatimaye maridhiano yamefikiwa kati ya Mamlaka ya...
  5. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Daladala Jijini Arusha asubuhi hii ya Julai 3, 2023

    Madereva wa Daladala Mkoani Arusha wamegoma leo Kwa kile wanachodai kuwa ni Bajaji kufanya Kazi kama daladala. Idadi kubwa ya wanafunzi na watu wazima wamekuwa wakitembea kwa miguu na wengine wakiwa tu vituoni wakiwa hawajui cha kufanya. Mamia ya wakazi wa jiji la Arusha wakiwemo wanafunzi wa...
  6. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Hizi tabia kwenye daladala ziliniumizaga sana

    Mwanaume amesimama nyuma yako anakuelekezea mtalimbo Ingawa hali hii huwapata sana Watoto wa 17-30 years
  7. Raghmo

    JamiiForums Tanzania SoC03 Usumbufu wa daladala nyakati za jioni kisiwani Zanzibar

    Daladala ni njia muhimu ya usafiri katika kisiwa cha Zanzibar. Hata hivyo, upatikanaji wa daladala unaweza kuwa na usumbufu mkubwa nyakati za jioni kutokana na msongamano mkubwa wa abiria. Katika andiko hili, tutachunguza sababu za usumbufu wa upatikanaji wa daladala nyakati za jioni kwa kujaa...
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania Daladala za Masaki - Gerezani ni chafu, baadhi zina kunguni

    Nina uhakika andiko langu hapa Jamii Forums linaweza kuwafikia watu wengi hasa wenye mamlaka ili ziweze kuchukua hatu. Hapa Dar usafiri wa watu wengi ni Daladala, kina sisi ambao hatuna uwezo wa kununua magari usafiri huo ndio tunaoutegemea kwa kiasi kikubwa/ Kuna daladala zimekuwa na kawaida...
  9. Amina68

    JamiiForums Tanzania Taja kauli moja ya kibabe sana ambayo haikosekani kwenye daladala

    Taja kauli mojaya kibabe Sana, ambayo haikosekani kwenye daladala Mie nilikutana na moja, "We dada nipe ya nyuma yako." Hahahhahahahaha
  10. Ma Mshuza

    JamiiForums Tanzania Video: Unapanda daladala halafu unanitaka kimapenzi?

    Nami kwa kweli kama huna gari kali hata usinisemeshe. Maana tutatoka out itafika mida ya kutaka kuondoka akili yako inahama inaanza kuwaza kugombea daladala au mwendokasi. Sitakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
  11. DullyJr

    JamiiForums Tanzania Hivi Yanga huwa mnawapa nini hawa vijana mara tu wanapojiunga nanyi?

    Huyu mwehu anajua kama ujumbe huu anawafikishia watu wengi sana nchini? Asilimia kubwa ikiwa ni hawa mashabiki wa Yanga wanaopambania kuingia bure uwanjani kwa kukosa elfu tatu. Wengine ni majeruhi hadi leo na wengine wamepoteza uhai kwa ajili ya Yanga yao halafu yeye anatoka mbele waziwazi na...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kwanini Trafiki akisimamisha Daladala, anayeshuka ni Kondakta?

    Wakuu, kuna jambo nataka kujifunza leo, hivi ni utaratibu kwenye Madaladala (Hasa ya Dar) kwamba Trafiki akipiga mkono anayetakiwa kwenda kuongea naye ni Kondakta? Kwa ninavyofahamu ukisamishwa na Trafiki hautakiwi kushuka kwenye gari mpaka Trafiki aje akague anachokitaka bila wahusika wa gari...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi DalaDala za Mbagala-Kawe, Gerezani-Kawe na Buza-Kawe zinavyopata tabu kugeuza, tutegemee ajali kubwa siku moja

    GENTAMYCINE ni Mtetezi Huru wa kila Kada za Watu na leo nimeamua Kutetea DalaDala za Ruti tajwa hapo juu kwa jinsi zinavyonyanyasika wakati wa Kugeuza zikifika Kawe mwisho eneo la Masai. Kinachonisikitisha zaidi ni kuona aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla Kushindwa kulitatua...
  14. carnage21

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye kucha za bandia kuweni makini kwenye daladala

    Aloo nilichokutana nacho leo balaa, nawaombeni wadada mnaoweka hizi kucha za bandia kuweni makini kwenye sehemu zenye mkusanyiko wa watu. Leo nimekoswa kutobolewa macho kwenye daladala. Sawa tunajua mnataka muonekane warembo, ila basi jaribuni kulinda usalama wetu sisi wengine. Sio kwamba...
  15. GemMaster II

    JamiiForums Tanzania LATRA, suala la daladala za abiria kubeba mizigo ndiyo utaratibu mpya?

    .
  16. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu kuwa una wajibu wa kuzipisha daladala (mabasi ya umma)

    JE, UNAFAHAMU KUWA UNA WAJIBU WA KUZIPISHA DALADALA (MABASI YA UMMA) ZITOKE KWANZA KITUONI KABLA WEWE ULIYEPO NJIA KUU HUJAENDELEA NA SAFARI? NDIYO, ni sheria ipo. Kwamba ili kurahisisha mwenendo wa magari ya umma yanayobeba abiria maeneo ya makazi, dereva wa gari nyingine yoyote analazimishwa...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Daladala lenye safari ya kwenda Kigamboni limegonga Train hapa Kariakoo

    Daladala lenye safari ya kwenda Kigamboni limegonga Train hapa Kariakoo. Hali bado si nzuri. Uchunguzi wa Majeruhi au Vifo unaendelea. Ila wengi wapo katika hali ambazo si salama.
  18. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kuvuta sigara ndani ya daladala hata Kama umepata Arosto?

    Ni vizuri watu wakajifunza kuwa waungwana Ni Jambo Ambalo halifai Mtu kuvuta sigara ndani ya gari Jambo hili limetokea katika daladala hapa nikielekea mitaa ya visiwani maana sisi wengine hatupatani na Moshi mchafu wa sigara this is unacceptable
  19. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mnaopanda daladala mnashuhudia mengi ya ajabu

    Hellow African Jana nikikuwa na safari ya kwenda Chanika nikaona bora nitumie daldala kutokana na umbali pia folenii na marekebisho ta njia Nikiwa kwenye daladala nilikuwa nimesinzia kutokana na kuchoka tulipo fika sehemu fulani sikumbi kwasababu sio mwenyeji wa mitaa iyo nikawa nimetulia...
  20. Idofu

    JamiiForums Tanzania Hawa Wainjilisti kwenye Daladala wako sahihi kweli?

    Kwanza nikiri Kabisa Mimi ni Mkristo Kabisa! Umetokea mtindo wa baadhi ya Wainjilisti kutoa mahubiri kwenye Daladala kila Siku, sasa ninachokijua ni kuwa sisi wakristo Kuna sehemu mahususi kwa ajili ya mahubiri na Mambo mengine ambayo yanaambatana na Mambo ya kidini, Makanisani na Kwenye Jumuia...
Back
Top Bottom