dakika

20 Dakika ("20 Minutes") is a Turkish television drama series broadcast on Star TV. This story talks about a beautiful family. A father, mother, daughter and a son that lived together in happiness and peace. One day, the police stormed in and took the mother (Tuba Buykustun) to jail. She was suspected of committing a murder and sentenced to 20 years in prison. Her husband (Ilker Aksum) tries to prove her innocence while at the same time the criminal investigator (Firat Celik) tried to find as much evidence as he can to find out the truth. But the big question is did she really commit the murder?

View More On Wikipedia.org
  1. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko sheria tano za soka kutoka FIFA, kuchezwa dakika 60, kadi za njano na mengine

    Shirikisho la mpira wa miguu ulimwenguni FIFA, lipo katika kufanya majaribio ya mabadiliko ya baadhi ya sheria ambazo huwenda zikaja kuanza kutumika siku za usoni huku lengo kuu ikiwa ni kuuboresha zaidi mchezo huo pendwa. Majaribio hayo yameanza kufanywa kwenye Mashindano ya Vijana...
  2. King Loto

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu: Kwenda la pili huwa unachukua sekunde au dakika ngapi?

    Wanaume: Eeeeh eeh😎😎😎 mimi nasema: Wape Bia. Ninaamini mko poa wakuu hii mada ilibidi ikajadiliwe kule JF Dokta lakini hili jukwa lapendwa Nguvu za kiume now days ni big deal wakuu, kama huna nguvu za kiume huna budi kuwa nazo ikiwa tu utataka kumfaidi mwanamke kunako 6 kwa 6, bila hivo...
  3. DUMEGUY

    JamiiForums Tanzania Simu ya infinix inajaa chaji kwa dakika 10

    Kampuni ya infinix wamemtumia Concept phone 2021 unbox therapy na kuizungumzia pia kushangazwa kwa kujaa chaji kutoka 0 hadi 100 ndani ya dakika 10 tu.
  4. Untaste Bug

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kutumia sabla dakika chache kabla ya tendo

    Habari wanaJF, kwa wajuzi wa mambo ntaka kufahamu kitu katika hili kama ilivo kwa title hapo juu. Yaam mke alitumia soap kujpaka maeneo yake ya siri then dakika chache akaingia kwenye tendo na mpenz wake. Maanake nini kwa kitendo hichi.
  5. yuda75

    JamiiForums Tanzania Gambo: Twambieni Hifadhi ya Burigi Chato imeingiza kiasi gani?

    MBUNGE wa Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo ameitaka Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kufanya ukaguzi wa Hifadhi zote za Taifa na kupeleka ripoti bungeni kuhusu watalii wanaotembelea kila hifadhi na kiasi cha pesa kinachoingizwa na kila hifadhi kutokana na utalii huo. Gambo...
  6. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Kwa Mchezo wa Leo, Matokeo ni 6-0 dakika ya 40 kipindi cha Kwanza

    Kwa Mchezo wa Leo, Matokeo ni 6-0 dakika ya 40 kipindi cha Kwanza, round ya kwanza! Hali ninavyoiona kuna vilio vingi upande wa timu ya Mpumzishwa! Vijana wanashambulia sana kila kona ila team mwenyeji inacheza kwa utaalam, upole, ukimya na iko well composed. Leo wamejifunga wenyewe baada ya...
  7. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Acha matokeo yaongee inahitaji jasho, machozi na damu na kujitoa mhanga kuleta matokeo na si vinginevyo

    kuna watu nawashangaa sana wanafikiria kutengeneza matokeo yanayoteka mioyo ya watu huwa ni suala la kukurupuka tu ety na mm nataka nifuate ya kwangu haiwezekani kuna watu waliletwa Duniani kutengeneza njia ili wengine wazifuate ukijifanya na wewe utengeneze za kwako huku ukiwa hauna uwezo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nisipoyasikia haya ndani ya dakika 30 tu za Hotuba yake Mama 'Dodomya' nazima Tv / Redio kwa 'Hasira'

    1. Kuwaomba Radhi Watanzania walioumizwa 2. Kuwataka waliokimbia nchi warejee 3. Mishahara Kupandishwa Maradufu 4. Kusimamisha Ubunge wa akina Mdee 5. Kuurejesha Mzunguko wa Pesa 6. Kuwasamehe wote waliofungwa kwa Chuki na Uonevu 7. Kuipongeza Simba Sports Club yangu Nasisitiza hapa hapa kuwa...
  9. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania TTCL yarejesha vifurushi vya zamani vya DATA, SMS na DAKIKA

    Katika kutii agizo la Serikali lilitolewa April 2 la kusitisha gharama mpya za vifurushi, TTCL Corporation April 3 ilianza na kukamilisha mchakato wa kurejesha gharama za zamani za vifurushi"Kaimu Mkurugenzi wa Biashara Leonard Laibu Tunapenda kuufahamisha umma wa watanzania kuwa shirika...
Back
Top Bottom