crdb

  1. S

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB boresheni muonekano wa Mobile App yenu

    Kwakweli naomba niseme tu SIMBANKIG Mobile Application ya CRDB,imekosa mvuto kulinganisha na ya washindani wao wakubwa wa kibiashara ingawa mtu unapata huduma unayohitaji kupitia hiyo App. Kwa mtazamo wangu, tatizo ninaloliona linatokana na rangi wanazotumia CRDB ambazo ni nyeupe na kijani...
  2. seedfarm

    JamiiForums Tanzania Mahakama kanda ya Arusha yakubali kupokea taarifa ya CCTV camera toka Benki ya CRDB kwenye kesi ya uhujumu Uchumi ya Ole Sabaya

    Mahakama kanda ya Arusha jumatano oktoba 27, 2021 imekubali kupokea kielelezo namba 4 kama ushahidi toka kwa Afisa tehema wa CRDB tawi la kwa Mrombo bwana Geoffrey Abimiel Nko ambaye ni shahidi namba saba wa Jamuhuri Katika kesi ya uhujumu Uchumi inayomkabili Lengai Ole Sabaya. Francis Mrosso...
  3. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Head, Finance & Administration at CRDB Bank

    Job Title - Head, Finance & Administration Reporting Line - General Manager Job Summary Oversee the development and execution of an effective financial strategy to achieve optimal return on investment and to safeguard bank assets by ensuring correctness and completeness of banking transactions...
  4. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Iliyokuwa CRDB bank sasa yageuzwa kuwa Chato Club

    Hii ni tetesi mpya kutoka huko Chato, iliyokuwa benki ya CRDB sasa imegeuzwa kuwa Chato club, baada ya kifo cha hayati Magufuli. Mlioko huko ukweli ni upi?
  5. Selwa

    JamiiForums Tanzania CRDB MLIMANI CITU MMEKUWA KERO

    Hivi Jamani ni mimi mwenyewe napata shida crdb hii ya mlimani city, nimefanya hapa biasha zangu kuanzia 2011 ila naona mwaka huu kama service ni mbaya mnooooo mnooo. kutoa hela kwenye account nashindwa kufunga account ni procedure yani ni tafrani. customer service desk ni mbovu mteja unasubiri...
  6. EL ELYON

    JamiiForums Tanzania Kutoa hela UTT changamoto CRDB

    Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu WA Mbinguni. Nilikwenda kujaza fomu za UTT Benki CRDB Kwa lengo kutoa pesa yaani re purchase units. Baada ya kumaliza kujaza fomu nikaambiwa nilipie elfu 23 kwa madai kwamba ni gharama ya kumtuma fomu. Nikaelekezwa niende kwenye dirisha la teller nilipe...
  7. Rurakha

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank rekebisheni internet upande wa huduma za uwakala

    Napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa Benki ya CRDB kwa hasara mnazotupatia sisi mawakala kutokana na mtandao wenu kuwa wa hovyo kushinda benki zote Mimi ni Wakala natoa huduma za uwakala wa kifedha upande wa mabenki binafsi kutokana na uzoefu kidogo katika kazi hii, nimegundua Benki ya CRDB...
  8. hp4510

    JamiiForums Tanzania Malalamiko yangu juu ya CRDB bank

    Siku ya Leo imekuwa mbaya Sana kwangu, Nilikuwa natuma pesa Kwa bimkubwa wangu huko kijijini kwetu kwa ajili ya matibabu yake Nimetuma pesa asubuh kwa SIM banking kwenda mpesa, tangu hiyo asubuh mpaka muda huu hiyo pesa haijafika, Nimepiga simu Sana huduma Kwa wateja wanasema shida sio crdb...
  9. Black Label

    JamiiForums Tanzania Online banking kimataifa: Stanbic au CRDB?

    Naomba ushauri. Ni benki ipi yenye ufanisi zaidi kwenye kufanya miamala ya kupokea hela on line kutoka nje? Nachoangalia hapa ni uharaka wa kupata hela kutoka nje. Kuna benki huduma zao za on line wameweka vikolombwezo na rangi rangi nyingi ila ukitumiwa hela wiki inapita hazijaingia kwenye...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Naweza kuendelea kutumia akaunti ya Benki ya CRDB niliyositisha matumizi yake kwa miaka minne?

    Nina Account yangu sijaitumia sasa huu mwaka wa nne. Tafadhali, nifanyeje ili nianze kuitumia?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Yeyote aliye na mashine ya uwakala wa CRDB au NMB ambayo kwa sasa amesimama kuitumia kwa muda, Naomba anisaidie

    Wakuu, habari ya majukumu wanajukwaa,. Nakuja kwenu,Mimi nina kibanda cha MPESA eneo fulani lenye mzunguko kiasi ndani ya jiji la Dar es Salaam. Nilimekuwa nikifanya uwakala wa mitandao ya simu (Tigopesa,Airtel money na M-Pesa), kwa muda wa mwaka mmoja, nikiwa na Lengo la kuongeza uwakala wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwenu CRDB Bank

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza kuendelea kuwepo katika biashara ya fedha katika kipindi chote na kuendelea kuwa miongoni mwa Bank bora Tanzania Baada ya Kimei kuondoka Bank iliendelea kuwa strong chini ya mkurugenzi mpya aliyekuwa CRDB mwanzoni na kuondoka kwenda NMB na baadae kurudi kuwa...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Hongera Benki ya CRDB

    Mojawapo ya taasisi nchini inayofanya vizuri kutokana na uongozi ni CRDB tokea ilipoanzishwa imekuwa na mafanikio makubwa na haswa kipindi ikiwa chini ya uongozi wa ndg kimei hadi Sasa ikiwa chini ya ndg Nsekeka. Hii ni changamoto kwa taasisi nyingine katika sekta za kuhudumia wananchi ziige...
  14. mamba1

    JamiiForums Tanzania Ni benki ipi nzuri kupokelea mshahara kati ya CRDB na NMB?

    Naomba msaada kuhusu ni benki nzuri inayotoa huduma kiurahisi kati ya Nmb na Crdb naaamanisha kuwahi kutoa pesa mapema ya mshahara
  15. Kabulala

    JamiiForums Tanzania Naweza kuwashitaki CRDB ili walipe fidia kwa usumbufu na kadhia?

    Leo nimeenda Bank kuchukua pesa ambazo kabla sijaanza kuwapatia wanihifadhie tulipeana masharti. Cha kushangaza Leo nimeenda branches mbili zote walinzi wao (ambao hawakuwepo wakati nawekeana makubaliano na bank kuhusu vigezo na masharti) wakanizuia kuingia ndani kuchukua pesa zangu Kwa kigezo...
  16. Igande

    JamiiForums Tanzania CRDB wanavyotapeli Wanafunzi wa Vyuo Vikuu bila wao wenyewe kufahamu

    Habari za wakati huu Great thinkers! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Ni kawaida kwa Wanafunzi wa vyuo vikuu kutoa pesa kutoka katika account zao za benki kidogo kidogo. Huo ndio mwanya wanaotumia CRDB kuwatapeli fedha zao, kivipi? Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Ushawahi toa pesa UTT-AMIS kupitia benki tofauti na CRDB/NMB?

    Tupeane uzoefu ilikuchukua siku ngapi kuzipata kwenye account?
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwanahisa wa CRDB, sijapata gawio hadi leo

    Kikao cha Wanahisa wa CRDB kimefanyika siku za karibuni na mimi kama Mwanahisa sijaona gawio la mwaka huu unaotokana na uwekezaji tuliouwekeza kwenye Benki hii. Wenzao NMB katika kikao chao cha tarehe 4 Juni, 2021 moja ya ajenda yao ni mapendekezo ya gawio kwa kila mwanahisa ambayo ni...
  19. stakehigh

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank gets BoT’s nod for expansion to DRC

    Arusha. The Bank of Tanzania (BoT) has issued an approval for CRDB Bank Plc to extend its footprints to the Democratic Republic of Congo (DRC), it was announced here during the weekend. This is in line with the government’s desire to see Tanzanian companies expanding to other countries and reap...
  20. data

    JamiiForums Tanzania Hivi Harmonize ndio kapigwa chini na CRDB?

    Whoever knows. Is that the case? Ila poa tu, maana hili tangazo lao jipya la SimBanking ni tamu kinoma. Sasa sijui ni yale maskendo yake ya dudu la yeye au vipi? Awe makini? Au mnasemaje wadau?
Back
Top Bottom