Online banking kimataifa: Stanbic au CRDB?

Black Label

JF-Expert Member
Aug 18, 2021
392
464
Naomba ushauri.

Ni benki ipi yenye ufanisi zaidi kwenye kufanya miamala ya kupokea hela on line kutoka nje?

Nachoangalia hapa ni uharaka wa kupata hela kutoka nje. Kuna benki huduma zao za on line wameweka vikolombwezo na rangi rangi nyingi ila ukitumiwa hela wiki inapita hazijaingia kwenye account!

Kati ya CRDB na Stanbic ipi bora?
 
Mkuu jaribu equity bank nadhan utojuta, kipindi Cha nyuma nilikua naitumia wapo vizuri Sana.
 
Naomba ushauri.

Ni benki ipi yenye ufanisi zaidi kwenye kufanya miamala ya kupokea hela on line kutoka nje?

Nachoangalia hapa ni uharaka wa kupata hela kutoka nje. Kuna benki huduma zao za on line wameweka vikolombwezo na rangi rangi nyingi ila ukitumiwa hela wiki inapita hazijaingia kwenye account!

Kati ya CRDB na Stanbic ipi bora?
STANDARD CHARTERED. BRANCHES DSM. MWANZA. ARUSHA.
 
Online Banking kwa bongo naona hizi bank zinazofanya poa kwenye stock market zinatuangusha labda ni kwa sababu ya watumiaji wengi lakini Hizi bank kama Absa na Stanbic zipo vizuri
 
Naomba ushauri.

Ni benki ipi yenye ufanisi zaidi kwenye kufanya miamala ya kupokea hela on line kutoka nje?

Nachoangalia hapa ni uharaka wa kupata hela kutoka nje. Kuna benki huduma zao za on line wameweka vikolombwezo na rangi rangi nyingi ila ukitumiwa hela wiki inapita hazijaingia kwenye account!

Kati ya CRDB na Stanbic ipi bora?
Kwanza crdb mpaka hiyo card iwezeshwe kufanya manunuzi online ni shughuli pevu! Utazungushwa hadi ukome!

Go with Stanbic Bank!
 
Back
Top Bottom