Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu WA Mbinguni.
Nilikwenda kujaza fomu za UTT Benki CRDB Kwa lengo kutoa pesa yaani re purchase units.
Baada ya kumaliza kujaza fomu nikaambiwa nilipie elfu 23 kwa madai kwamba ni gharama ya kumtuma fomu.
Nikaelekezwa niende kwenye dirisha la teller nilipe...
Napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa Benki ya CRDB kwa hasara mnazotupatia sisi mawakala kutokana na mtandao wenu kuwa wa hovyo kushinda benki zote
Mimi ni Wakala natoa huduma za uwakala wa kifedha upande wa mabenki binafsi kutokana na uzoefu kidogo katika kazi hii, nimegundua Benki ya CRDB...
Siku ya Leo imekuwa mbaya Sana kwangu,
Nilikuwa natuma pesa Kwa bimkubwa wangu huko kijijini kwetu kwa ajili ya matibabu yake
Nimetuma pesa asubuh kwa SIM banking kwenda mpesa, tangu hiyo asubuh mpaka muda huu hiyo pesa haijafika,
Nimepiga simu Sana huduma Kwa wateja wanasema shida sio crdb...
Naomba ushauri.
Ni benki ipi yenye ufanisi zaidi kwenye kufanya miamala ya kupokea hela on line kutoka nje?
Nachoangalia hapa ni uharaka wa kupata hela kutoka nje. Kuna benki huduma zao za on line wameweka vikolombwezo na rangi rangi nyingi ila ukitumiwa hela wiki inapita hazijaingia kwenye...
Wakuu, habari ya majukumu wanajukwaa,. Nakuja kwenu,Mimi nina kibanda cha MPESA eneo fulani lenye mzunguko kiasi ndani ya jiji la Dar es Salaam.
Nilimekuwa nikifanya uwakala wa mitandao ya simu (Tigopesa,Airtel money na M-Pesa), kwa muda wa mwaka mmoja, nikiwa na Lengo la kuongeza uwakala wa...
Kwanza nianze kwa kuwapongeza kuendelea kuwepo katika biashara ya fedha katika kipindi chote na kuendelea kuwa miongoni mwa Bank bora Tanzania
Baada ya Kimei kuondoka Bank iliendelea kuwa strong chini ya mkurugenzi mpya aliyekuwa CRDB mwanzoni na kuondoka kwenda NMB na baadae kurudi kuwa...
Mojawapo ya taasisi nchini inayofanya vizuri kutokana na uongozi ni CRDB tokea ilipoanzishwa imekuwa na mafanikio makubwa na haswa kipindi ikiwa chini ya uongozi wa ndg kimei hadi Sasa ikiwa chini ya ndg Nsekeka.
Hii ni changamoto kwa taasisi nyingine katika sekta za kuhudumia wananchi ziige...
Leo nimeenda Bank kuchukua pesa ambazo kabla sijaanza kuwapatia wanihifadhie tulipeana masharti.
Cha kushangaza Leo nimeenda branches mbili zote walinzi wao (ambao hawakuwepo wakati nawekeana makubaliano na bank kuhusu vigezo na masharti) wakanizuia kuingia ndani kuchukua pesa zangu Kwa kigezo...
Habari za wakati huu Great thinkers!
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Ni kawaida kwa Wanafunzi wa vyuo vikuu kutoa pesa kutoka katika account zao za benki kidogo kidogo.
Huo ndio mwanya wanaotumia CRDB kuwatapeli fedha zao, kivipi?
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo...
Kikao cha Wanahisa wa CRDB kimefanyika siku za karibuni na mimi kama Mwanahisa sijaona gawio la mwaka huu unaotokana na uwekezaji tuliouwekeza kwenye Benki hii.
Wenzao NMB katika kikao chao cha tarehe 4 Juni, 2021 moja ya ajenda yao ni mapendekezo ya gawio kwa kila mwanahisa ambayo ni...
Arusha. The Bank of Tanzania (BoT) has issued an approval for CRDB Bank Plc to extend its footprints to the Democratic Republic of Congo (DRC), it was announced here during the weekend.
This is in line with the government’s desire to see Tanzanian companies expanding to other countries and reap...
Whoever knows. Is that the case? Ila poa tu, maana hili tangazo lao jipya la SimBanking ni tamu kinoma.
Sasa sijui ni yale maskendo yake ya dudu la yeye au vipi?
Awe makini? Au mnasemaje wadau?
Job Summary
Responsible to grow and manage Bancassurance portfolio and identified business opportunities for all lines of business within a unit; responsible for retention thus achieving the delivery of the Business Budget as well as ensuring sustainable, profitable business operations.
Key...
Nimekuwa nikisikiliza watu wengi wakitoa maoni yao kuhusu ile kauli ya Uhuru.
Wengi wanasema "afadhali Sasa nikafungue biashara yangu Kenya"
Unajiuliza biashara gani hiyo wewe kapuku unaenda kufungua huko? Huko siasa zao ni ngumu Sana utaweza kweli ikiwa ma-tycoon wa biashara walishindwa...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Nimekua nikisikia kutoka kwa baadhi ya watu(wateja wa benki ya CRDB) kuwa wameomba Mikopo kutoka katika benki hiyo lakini kwa muda mrefu hawajapatiwa fedha/mkopo huo lakini wameshaanza kukatwa fedha kwa ajili ya mkopo huo
Hivi karibuni...
Nina mpango wa kufungua akaunti ya akiba ili niwe nahifadhi pesa. Kisha baada ya mwaka ni draw zikiwa na interest nizifanyie wazo ambalo nitakuwa nimepanga.
Kwa wazoefu ipi ni nzuri zaidi, na je kuna tofauti gani kati ya hizo nilizotaja na Fixed Deposit Account?
Ahsante kwa msaada wenu.
Sikuwahi kujishughulisha kujua makato ya kutoa pesa kwa wakala wa CRDB. Leo nimeenda kwa wakala kutoa Tsh 120,000 nikapewa kimashine nijihudumie baada ya kuweka kadi, Nimeshtuka kuona makato ni Tsh 2,966.
Je, ATM ni nafuu zaidi ili niachane na mawakala au ni yale yale?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.