Yeyote aliye na mashine ya uwakala wa CRDB au NMB ambayo kwa sasa amesimama kuitumia kwa muda, Naomba anisaidie

NALO LITAPITA

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
333
90
Wakuu, habari ya majukumu wanajukwaa,. Nakuja kwenu,Mimi nina kibanda cha MPESA eneo fulani lenye mzunguko kiasi ndani ya jiji la Dar es Salaam.

Nilimekuwa nikifanya uwakala wa mitandao ya simu (Tigopesa,Airtel money na M-Pesa), kwa muda wa mwaka mmoja, nikiwa na Lengo la kuongeza uwakala wa mabenk hasa NMB na CRDB.

Katikati hapa,nilipata changamoto fulani kubwa nikajikuta nimetumia sehemu ya fedha iliyokuwa ninaendelea kuiandaa kushughulikia kupata uwakala wa mabenki.

Nakuja kwenu,Kama kuna yeyote anamashine ya uwakala wa CRDB au NMB ambayo kwa sasa amesimama kuitumia kwa muda,Naomba anisaidie niwenaitumia huku nikijiandaa kushughulikia kupata ya kwangu.

Asanteni sana.
 
CRDB masharti yamelegezwa Kama unacho kitambulisho cha Nida na kama M-pesa yako kamisheni inavuka laki kwa mwezi unaweza omba mashine.
 
Tozo mpya za Miamala zitumike kutengeneza Walipa Kodi kwa hiari na fursa za kimtandao
 
Mwenye mashine ya NMb tuongee, tangu tangu nimetuma maombi benki sasa ni karibu mwaka wanasema hawajapokea mashine mpya
 
Back
Top Bottom