Mimi ni mwanahisa wa CRDB, sijapata gawio hadi leo

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
1,774
2,000
Kikao cha Wanahisa wa CRDB kimefanyika siku za karibuni na mimi kama Mwanahisa sijaona gawio la mwaka huu unaotokana na uwekezaji tuliouwekeza kwenye Benki hii.

Wenzao NMB katika kikao chao cha tarehe 4 Juni, 2021 moja ya ajenda yao ni mapendekezo ya gawio kwa kila mwanahisa ambayo ni Tshs.137.00. Kama Benki zote zinafanyakazi sawa na kuwa na wateja karibu sawa mbona CRDB hawakutoa gawio mwaka huu?.

Watueleze sababu ni kwa nini hawakutoa gawio.
 
Ndinani

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
6,290
2,000
Gawio CRDB ni shs. 22 per share!
NMB gawio shs.127 per share!!
Je utendaji wa CRDB una walakini hata faida yao kuwa kiduchu hivyo kutoa gawio dogo?
 
MC RAS PAROKO

JF-Expert Member
Feb 14, 2013
584
1,000

Kiutendaji CRDB ipo vizuri zaidi ya NMB by FAR!!

Usipende namba bila kupenda hesabu
Hisa moja ya NMB ni Tsh 2,400 kwa gawio la tsh 127 ni sawa na 5% (ROI) Ungekua umewekeza 1M faida ni 50k
Hisa moja ya CRDB ni Tsh 235 kwa gawio la tsh 22 ni sawa na 9.3% (ROI) Ungekua umewekeza 1M faida ni 93k

Nadhani nimeeleweka vizuri hapo. ikiwa unahitaji kuwekeza kimbia CRDB, NMB userekali mwingi bila hivyo hata faida wanayoipata isingekuepo.
 
T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
4,261

Bora niweke zangu hela UTT, gawio kwa mwaka si ni 12% hadi 16%
 
flulanga

JF-Expert Member
Jul 1, 2016
4,666
2,000
Kiutendaji CRDB ipo vizuri zaidi ya NMB by FAR!!

Usipende namba bila kupenda hesabu
Hisa moja ya NMB ni Tsh 2,400 kwa gawio la tsh 127 ni sawa na 5% (ROI) Ungekua umewekeza 1M faida ni 50k
Hisa moja ya CRDB ni Tsh 235 kwa gawio la tsh 22 ni sawa na 9.3% (ROI) Ungekua umewekeza 1M faida ni 93k

Nadhani nimeeleweka vizuri hapo. ikiwa unahitaji kuwekeza kimbia CRDB, NMB userekali mwingi bila hivyo hata faida wanayoipata isingekuepo.
Mimi nimekuelewa sanaaa so ukinunua hisa 1 nmb nisawa na kununua hisa 10 CRDB na chenchi kubaki!!
 
MC RAS PAROKO

JF-Expert Member
Feb 14, 2013
584
1,000
Hakuna nilikolazimishwa. Kibarua chako hapo benki hakitaota nyasi kisa nimewekeza kwingine. Wewe mbona unashawishi watu wawekeze CRDB badala ya NMB
Huwa sina hulka ya kubishana, nachofanya ni kuonesha faida iliyopo kwa crdb tofauti na nmb ila kwa kuwa umeamua kuset mind yako kwamba nakushawishi ununue crdb basi nunua nmb ili uwe against na mimi then utakua umeshinda.
 
Mgumu04

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,882
2,000
Kiutendaji CRDB ipo vizuri zaidi ya NMB by FAR!!

Usipende namba bila kupenda hesabu
Hisa moja ya NMB ni Tsh 2,400 kwa gawio la tsh 127 ni sawa na 5% (ROI) Ungekua umewekeza 1M faida ni 50k
Hisa moja ya CRDB ni Tsh 235 kwa gawio la tsh 22 ni sawa na 9.3% (ROI) Ungekua umewekeza 1M faida ni 93k

Nadhani nimeeleweka vizuri hapo. ikiwa unahitaji kuwekeza kimbia CRDB, NMB userekali mwingi bila hivyo hata faida wanayoipata isingekuepo.
Mkuu samahani unasema kama mtu akiweka 1M gawio anaweza pata 50000 au 93000 hii ni kwa mwaka au mwezi?

Kama ni kwa mwaka acha tu niendelee kuuza vocha maana kwa mwaka nitakuwa na faida kubwa kuliko 50000 au 93000.
 
  • Haha
Reactions: rr3

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
5,818
2,000
Biashara ya share ni biashara ya watu wenye pesa Ila wavivu wa kuwekeza
 
MC RAS PAROKO

JF-Expert Member
Feb 14, 2013
584
1,000
Mkuu samahani unasema kama mtu akiweka 1M gawio anaweza pata 50000 au 93000 hii ni kwa mwaka au mwezi?

Kama ni kwa mwaka acha tu niendelee kuuza vocha maana kwa mwaka nitakuwa na faida kubwa kuliko 50000 au 93000.
Ni kwa mwaka, endelea kuuza vocha mkuu.
 
Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
4,494
2,000
Mkuu samahani unasema kama mtu akiweka 1M gawio anaweza pata 50000 au 93000 hii ni kwa mwaka au mwezi?

Kama ni kwa mwaka acha tu niendelee kuuza vocha maana kwa mwaka nitakuwa na faida kubwa kuliko 50000 au 93000.
Kuna namna nyingi za kufika 'mjini ' bro! Tumia unayoipenda
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom