Njia za kupambana na COVID-19 zinachochea ongezeko la watu Duniani

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,310
12,607
Hakuna kazi nyingine zaidi kufanya sex majumbani huko watu walikojifungia kukimbia COVID-19.

Dunia na kila nchi ijiandae na ongezeko kubwa la watu wengi waliopata ujauzito baada ya zoezi hili la kupambana na Corona kufikia tamani. Ama kuna familia zitashindwa kujifungia nyumbani kutokana na mke kusumbuliwa na shida za mimba changa.

Familia kukaa nyumbani hakuna namna watakavyozuia wasifanye ngono kila wakati 24/7 kwa siku 30, 60 au kipindi chote amri ya kujifungia nyumbani kitakapotekelezwa.

Naishauri dunia na serikali mbalimbali zijiandae pia na namna watakavyo pokea na kuhudumia wanawake na familia wenye shida za ujauzito na kujifungua, msije mkasema mlikuwa hamjui, mimi ninawakumbusha sasa.
 
Hakuna kazi nyingine zaidi kufanya sex majumbani huko watu walikojifungia kukimbia COVID-19.

Dunia na kila nchi ijiandae na ongezeko kubwa la watu wengi waliopata ujauzito baada ya zoezi hili la kupambana na corona kufikia tamani. Ama kuna familia zitashindwa kujifungia nyumbani kutokana na mke kusumbuliwa na shida za mimba changa.

Familia kukaa nyumbani hakuna namna watakavyozuia wasifanye ngono kila wakati 24/7 kwa siku 30, 60 au kipindi chote amri ya kujifungia nyumbani kitakapotekelezwa.

Naishauri dunia na serikali mbalimbali zijiandae pia na namna watakavyo pokea na kuhudumia wanawake na familia wenye shida za ujauzito na kujifungua, msije mkasema mlikuwa hamjui, mimi ninawakumbusha sasa.
Sikuwahi kufikiri kama kunabinaadamu anaweza kuwa na pumba kichwani kama hizi
Kuna mengi ya kujiulza katika mkurupuko wa posti kama hii

(a) Unaweza kutuambia mpaka sasa kanzia vifo vya kawaida mpaka vifo vya corona idadi ya asilimia ngapi ya binaadam imepungua ulimwenguni ?

( b) na unauthibitisho gani hao waliojifungia ndani nao watakuwa hai mpaka kutoweka kwa corona ?

( c) na hao watakao zaliwa watakuafa baada tu ya kuzaliwa kwa asilimia ngapi na asilimia ngapi watakua hai baada ya kuzaliwa mpaka waje kuwa ongezeko

( d) mimba ngapi zataharibika na mimba ngapi zitakua

Yapo mengi sana ya kuuliza la ajabu ni kuwa utamuona mtu hajuwi nawala hatajuwa idadi ya nywele zake kichwani mwake mpaka mwisho wa uhai wake eti anajipa uweledi wa kuelewa idadi la ongezeko au upungufu wa binaadamu ulimwenguni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndio nyie mnaoendeshwa na matukio, hakuna wa kukulaumu humu, wacha sisi tunuse matatizo kabla matatizo hayatunusa sisi
 
nilitegemea hayo ndio yatakua majibu ya maswali nilio ulizi
Lakini watu wenye afya nzuri ya akili husema "Kama huna uthibitisho au upembuzi yakinifu na unalotaka sema bora ukae kimya watakuona una busara na akili. Kuliko kusema usilo jua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilitegemea hayo ndio yatakua majibu ya maswali nilio ulizi
Lakini watu wenye afya nzuri ya akili husema "Kama huna uthibitisho au upembuzi yakinifu na unalotaka sema bora ukae kimya watakuona una busara na akili. Kuliko kusema usilo jua

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali la kipumbavu linapata majibu ya kipumbavu
 
Back
Top Bottom