covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Mtalii wa Kiingereza afurahia kutokuwepo "usumbufu sumbufu" wa kujikinga na Corona Tanzania

    Mtalii mmoja raia wa Uingereza, amejirekodi video akifurahia utalii huko Zanzibar. Katika video hiyo ameonyesha kufurahia uhuru mkubwa alioupata huku Tanzania baada ya kuondoka Uingereza mwanzoni mwa mwezi January mwaka huu na Kuja Tanzania. Mtalii huyo anasema huku Tanzania hakuna cha social...
  2. The Sheriff

    Tanzania inajipima mabavu dhidi ya Covid-19; yupi atakuwa wa kwanza kusalimu amri?

    (Huu ni muhtasari wa tafsiri (isiyo rasmi sana) ya Oped iliyochapishwa na gazeti la The Citizen) Katika mtanange wa kupata chanjo dhidi ya Coronavirus unaoendelea duniani, Tanzania inaweza kujikuta katika wakati mgumu kumudu gharama, na pia ikajikuta nyuma kabisa ya foleni ya dunia kupata...
  3. Analogia Malenga

    Zaidi ya watu milioni 2 wafa kwa COVID-19

    Zaidi ya watu milioni mbili duniani wamekufa kwa ugonjwa wa COVID-19. Takwimu hizo ni kulingana na Chuo Kikuu cha Johns Hopkins. Vifo hivyo vimetokea wakati ambapo chanjo zinaendelewa kutolewa duniani ikiwa ni kampeni ya kuumaliza ugonjwa huo Huku takwimu hizo zikiwa zimetolewa na mashirika ya...
  4. Analogia Malenga

    Malawi yawapoteza Mawaziri wawili kutokana na COVID-19

    Lingson Belekanyam alipatikana na COVID-19 wiki iliyopitaImage caption: Lingson Belekanyam alipatikana na Covd-19 wiki iliyopita Malawi imepata pigo kubwa baada ya mawaziri wawe wawili kufariki dunia kutokana na COVID-19. Waziri wa habari wa Malawi, Gospel Kazako amethibitisha kuwa mawaziri hao...
  5. Analogia Malenga

    Papa Francis: Kukwepa chanjo ya Covid-19 ni mauaji ya kujitakia

    Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis ameiita hatua ya watu kukwepa kupata chanjo ya Covid-19 ni mauaji ya kujitakia akisema wale wanaokataa chanjo hiyo wanacheza na afya zao na pia maisha ya watu wengine. Kiongozi huyo mkuu wa kidini kwa upande mwingine amethibitisha kwamba binafsi...
  6. The Sheriff

    Waandishi 600 wafa kwa Covid-19

    Geneva, Switzerland (AFP). Zaidi ya waandishi wa habari 600 wamekufa kwa ugonjwa wa corona tangu Machi 1, mwaka jana, taasisi ya kutetea uhuru wa vyombo vya habari imesema ikitoa wito kwa kada hiyo kupewa kipaumbele katika chanjo. Taasisi hiyo, Press Emblem Campaign (PEC), ambayo hufuatilia...
  7. Roving Journalist

    Mwongozo wa Serikali: Kipimo cha Corona ni Dola za Kimarekani 100 kwa anayesafiri nje ya Nchi

    Salaam Wakuu, Serikali imetoa Mwongozo wa Upimaji wa Covid-19. Katika Barua iliyosainiwa na Waziri wa Afya Dokta Doroth Gwajima, Pamoja na Mambo mengine yote, imeeleza ukitaka kusafiri nje ya Nchi, gharama ya Kupima Covid-19 ni USD 100 ambayo ni takribani Tsh 230,000/=. Hii ni Pamoja na...
  8. kavulata

    Tanzania tutumie COVID-19 kutajirika katika Kilimo

    Dunia itahitaji chakula, Afrika itahitaji chakula na Afrika Mashariki itahitaji chakula baada ya changamoto ya COVID 19 kuzorotesha maisha ya wakulima na wafanyakazi. Tanzania COVID-19 ipo pia lakini sio kubwa ya kusababisha taifa lijifungie. Kama ningekuwa miongoni mwa watoa maamuzi...
  9. beth

    Rais Trump atia saini muswada wa misaada ya COVID-19

    Rais wa Marekani Donald Trump ameusaini muswada wa sheria wa dola bilioni 900, unaokusudia kutoa misaada kwa watu walioathiriwa na janga la virusi vya corona. Kwa siku kadhaa rais Trump alikataa kutia saini muswada huo tangu ulipopitishwa wiki iliyopita na bunge akiutaja kuwa fedheha. Kulikuwa...
  10. Course Coordinator

    Halima Mdee na wenzake 18 kukimbilia ACT Wazalendo?

    Siasa sio mbaya ila Wanasiasa ndio wabaya . Dada zetu walichagua njia ya moja ya kuchagua maisha tonge kwanza liende kinywani kufia chama badae. Njaa haina baunsa..muda wa akina Halima Mdee kukata rufaa Baraza kuu la CHADEMA umeisha leo ni dhahiri kuwa hawana nia ya kukata rufaa baada ya...
  11. Cannabis

    Mganga mkuu wa serikali aagiza majibu ya vipimo vya COVID-19 kutolewa baada ya saa 24

    Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameuagiza uongozi wa Maabara ya Taifa kutoa majibu ya sampuli za ugonjwa wa Covid-19 ndani ya saa 24, badala ya masaa 72 kwa hospitali zinazopeleka sampuli au kwa wananchi wanaojitokeza kupima ugonjwa huo kwa nia ya kusafiri nje ya nchi...
  12. Mathanzua

    The WHO finally admits that the PCR test produces countless false positives COVID-19 positives.But why now?

    Posted on December 20, 2020 by State of the Nation Warnings concerning high CT value of tests are months too late…so why are they appearing now? The potential explanation is shockingly cynical. Kit Knightly Off Guardian The World Health Organization released a guidance memo on December 14th...
  13. Analogia Malenga

    Watu karibu 700 wafariki kwa COVID-19 Ujerumani

    Watu 698 wamekufa kutokana na ugonjwa wa COVID-19 kwa muda wa saa 24 zilizopita nchini Ujerumani, hii ikiwa ni kulingana na taasisi ya Robert Koch inayoshughulikia magonjwa ya kuambukiza nchini humu. Idadi hiyo ni ya pili kwa ukubwa kurekodiwa kwa siku moja tangu mripuko wa maradhi hayo...
  14. Analogia Malenga

    UNICEF: Walimu wanapaswa kupewa kipaumbele katika chanjo dhidi ya COVID-19

    Majaribio ya chanjo na Pfizer na BioNtech kwa ajili ya kupata chanjo dhidi ya COVID-19BioNTech. Majaribio ya chanjo na Pfizer na BioNtech kwa ajili ya kupata chanjo dhidi ya COVID-19. Janga la corona au COVID-19 limesababisha athari kubwa katika elimu ya watoto kote duniani na kuwachanja...
  15. Sam Gidori

    SoC01 Chanjo ya COVID-19: Yote unayohitaji kufahamu

    Kampuni ya Kitabibu ya Moderna imetangaza nia yake ya kuomba kibali cha kuthibitishwa kwa chanjo yake ya COVID-19 kwa Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini Marekani. Moderna sasa inaungana na kampuni nyingine mbili za kitabibu zinazosubiri kuthibitishwa kwa chanjo zao na Mamlaka ya Chakula na Dawa...
  16. Replica

    Halima Mdee: Mimi pamoja na timu yangu (Wabunge 19) tutabaki kuwa WanaCHADEMA kindakindaki. Tutaenda kuyajenga ndani kwetu

    Wabunge 19 viti maalum kupitia CHADEMA ambao waliapishwa na Spika Ndugai kisha kufutiwa uanachama na chama chao leo wanaongea na waandishi wa habari. Tayari wabunge hao wanawake wamefika ukumbi wa Regency wakiwa wamevalia sare za CHADEMA almaarufu 'Gwanda'. Kuwa nami kukujuza watachokiongea...
  17. Mathanzua

    Let me get this straight about the COVID-19 vaccine

    COMMISSION TO EXPOSE EVIL So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the daylight; what is whispered in your ear, proclaim from the roofs. Do not be afraid of those who kill...
  18. B

    Kama mkoani au wilayani kwenu kuna mradi wa covid-19 Korona tafadhali tujulishe mnanufaikaje na huo mradi

    Wana Jamvi kama Mkoani kwenu au WIlayani kwenu kuna miradi ya kupambana na COVID19 tafadhali njoo utujuz mnanufaikaje.
  19. Lord Denning

    Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

    Amani iwe nanyi tena wadau! Nimetoka kutazama mjadala mzito unaoihusu Tanzania katika Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la EU. Napenda tu kusema yafuatayo 1. Tanzania tuna hali mbaya sana. Wajumbe wa kamati hii wameijadili vibaya sana Tanzania na wengine kupendekeza hatua kali zaidi zichukuliwe...
  20. Cannabis

    Hali yazidi kuwa ngumu Kenya dhidi ya Corona, Wabunge watatu watoa machozi baada ya kusikia shida madaktari wanazopitia

    Wabunge watatu leo nchini Kenya walibubujikwa na machozi baada ya Mtendaji Mkuu wa chama cha Madaktari Chibanzi Mwachonda kusimulia madhila yaliyowakuta baadhi ya madaktari waliopoteza uhai wao wakipambana na ugonjwa wa COVID-19. Chama hicho cha madaktari kimelalamika kuwa ukosefu wa posho na...
Back
Top Bottom