covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    WHO : COVID-19 bado tishio licha ya mafanikio ya majaribio ya chanjo

    Tedros Adhanom Ghebreyesus Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Tedros Adhanom Ghebreyesus anasema kuna kazi kubwa inayohitajika kupambana na janga la virusi vya corona licha ya kuwepo na habari nzuri wiki hii kuhusiana na mafanikio ya majaribio ya chanjo. Akizungumza kutoka Geneva...
  2. Consultant

    Corona imegeuzwa mradi wa kupiga pesa Kenya?

    Kenya kwa mara nyingine tena wamekwenda kulialia kwa IMF kuomba msaada wa bajeti (loan) ili wapambane na madhira ya COVID-19. Ikimbukwe kwamba hawa viongozi walipokea jumla ya US$ 739,000,000 mwezi wa tano tu mwaka huu Na kuonyesha msisitizo, Rais Kenyatta ametangaza night curfew upya na...
  3. Sam Gidori

    Mkurugenzi Mkuu wa WHO ajiweka karantini kwa hofu ya kuambukizwa COVID-19

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani, WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema kuwa amejiweka karantini baada ya mtu mmoja aliyepatikana na virusi vya corona kumtaja kama mmoja wa watu wa karibu waliokutana naye. "Nimeorodheshwa kama mmoja wa watu waliokutana na mtu aliyepatikana na...
  4. Geza Ulole

    Kenyan banks in big trouble over locust, Covid-19 shocks

    Kenyan banks in big trouble over locust, Covid-19 shocks A shop with various agency banking counters in Nakuru. KCB, Equity, NCBA, Co-operative Bank, DTB, Absa, StanChart and Stanbic started 2020 with by deteriorating asset quality. FILE PHOTO | NMG Summary KCB, Equity, NCBA, Co-operative...
  5. Analogia Malenga

    Uingereza na Kenya kukusanya $ 5bn kufadhili elimu baada ya Covid-19

    Waziri Mkuu wa Uingereza na Boris Johnson na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wanatarajiwa kuzindua mpango utakaosaidia kukusanyadola bilioni tano sawa na (£3.8bn) kwa ajili ya kuwasomesha watoto kutoka jamii masikini duniani. Idadi ya wanafunzi walioacha shule imeongezeka zaidi wakati wa janga la...
  6. Sam Gidori

    Guterres: Hatutakiwi kuyasahau hata maisha ya mtu mmoja aliyetutoka

    Vifo vinavyotokana na maabukizi ya virusi vya corona vimezidi watu milioni moja, kwa mujibu wa takwimu za Chuo Kikuu cha John Hopkins, huku Shirika la Afya Duniani likionya kuwa idadi hiyo inaweza kuwa ndogo zaidi ikilinganishwa na uhalisia kutokana na changamoto katika upatikanaji wa takwimu...
  7. Pundo

    GE2020 Jiji la Mwanza lasimama usiku kwa ujio wa Tundu Lissu - Septemba 25

    Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Baghosha...![emoji23][emoji23][emoji23] Siandiki waraka hapa. Kwakifupi Leo watu wa Mwanza wameamua kuonesha hisia zao za kumpenda Rais Tundu Lissu usiku huu kwa kuandamana hadi alipofikia. Maelfu ya watu hawa yanaibua hisia kali juu ya kile kinachosemwa serikali hii...
  8. N

    Positive and negative effects of Covid-19 on people all-over the world

    COVID-19 has rapidly affected our day to day life (health, social and economy, businesses disrupted the world trade and movements). This virus creates significant knock-on effects on the daily life of citizens as well as about the global economy. Dealing with the unforeseen challenges caused by...
  9. Mlenge

    COVID-19 is historical in Tanzania: Why don't USA, UK, EU and others copy from Tanzania how to fight against the Corona Virus?

    COVID-19 is historical in Tanzania: Why don't USA, UK, EU and others copy from TZ how to fight against Coronavirus? Basically the title: Here in Tanzania, COVID-19 is spoken about by using past-tense; life in Tanzania has returned to normal. The way things in Tanzania have by and large returned...
  10. Jile79

    Zaidi ya Shilingi Bilioni 44.5 za Michango ya COVID-19 zimeliwa?

    Naleta kwenu wakuu, tujiulize pamoja lakini tuitake serikali itoe mrejesho wa hizi pesa zimeenda wapi hasa? Nakumbuka Watanzania walichanga maafa ya Kagera lakini serikali haikuwajibika vya kutosha na hili likabaki kuwa doa lisilofutika miongoni mwa Watanzania. Wengine wanahisi kuwa...
  11. Sam Gidori

    Sudan Kusini kufungua shule kuanzia leo, mimba kwa wanafunzi zaongezeka

    Baada ya miezi 6 ya kukaa majumbani, wanafunzi nchini Sudan Kusini wanarejea darasani kuanzia Jumatatu, Waziri wa Habari wa nchi hiyo amesema. Hatua hiyo ya Sudan Kusini inafuatia uamuzi wa Baraza la Mawaziri kuondoa katazo lililowekwa mwezi Machi na Rais Salva Kiir la kufunga shughuli zote za...
  12. Mathanzua

    The smart Covid-19 is an AMAZING virus

    COVID-19 is the cause of every death across the World in 2020 and beyond… It’s a smart virus, highly virulent in parks, gyms, churches, schools, mosques etc.etc. It has no effect on the thousands of employees who work in mega stores worldwide like Walmart, Kmart, Home Depot, Lowe’s, Target...
  13. Yoyo Zhou

    Uongozi wa Rais Xi ulivyopambana na kufanikiwa kumshinda adui Covid-19

    Mwaka 2020 hautasahaulika katika kumbukumbu za watu kwani ni mwaka ambao umebadilisha historia ya binadamu. Watu wamelazimika kuingia vitani kupambana na adui ambaye haonekani wala hashikiki. Adui ambaye kasi yake ya kusambaa ni kubwa kuliko ilivyozoeleka. Adui Covid-19 amebadilisha utaratibu...
  14. Analogia Malenga

    Afrika kupokea dozi milioni 220 za chanjo ya Covid-19

    Majaribio ya chanjo kwa binadamu yamekuwa ikiendelea kufanywa Afrika itakayoidhinishwa. Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema chanjo ya Covid-19 itakapoaidhinishwa, Afrika itapata karibu dozi milioni 220 za awali. Sehemu ya kwanza ya chanjo hiyo itapewa wafanyakazi wa afya na makundi...
  15. Suley2019

    Marekani imetangaza kuwa haitahusika katika Mpango wa Ulimwengu unaolenga kutengeneza, kutoa na kusambaza chanjo dhidi ya COVID-19

    Kulingana na habari katika gazeti la "Washington Post", Msemaji wa White House Judd Deere amesema kuwa Marekani haitashiriki katika Mpango wa Chanjo dhidi ya Covid-19 (Covax), ambao unaratibiwa na Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO). Akisisitiza kuwa Marekani itafanya suala la chanjo peke yake...
  16. Basi Nenda

    Rais Yoweri Museveni ametangaza Jumamosi kuwa siku ya kitaifa ya maombi kwa ajili ya COVID-19

    Rais Yoweri Kaguta Museveni ametangaza muda mfupi uliopita kwamba kutokana na kufuatwa na mtu fulani aliyedai ameoneshwa na Mungu maono kwamba amwambie Museveni aandae siku ya maombi ya Kitaifa kumshukuru Mungu kulitoa Taifa katika janga la Corona ameamua siku ya tarehe 29 /8/2020 kuwa siku ya...
  17. H

    COVID-19 test ya nyumbani

    Nimesikia jinsi gani wanavyofanya test ya COVID-19/ Corona pale Ujerumani. Ni njia nyepesi unaweza kuifanya kwako nyumbani. Hapa taarifa: 1) Kwanza chukua chupa cha bia. Fungua na peleka chupa karibu na pua. Je unaweza kunusa kitu? Kama ndiyo, hii ni vizuri. Maana kupotea uwezo wa kunusa ni...
  18. eliakeem

    Kenya Police Fire Tear Gas at COVID-19 Corruption Protesters: Still Sufferings Go On Under New Constitution

    Kenya Police Fire Tear Gas at COVID-19 Corruption Protesters Demonstrators run from teargas fired by police at a protest against alleged corruption, including the theft of supplies for the fight against the coronavirus, at Uhuru...
  19. kavulata

    Simba day mnazingatia uwepo wa COVID-19?

    Sijasikia idadi ya watu wanaotakiwa kuingia kwenye tamasha la Simba day. Lakini sijawahi kusikia wizara ya afya ikisema Sasa tuache kuvaa barakoa, distancing, kunawa mikono na kunitize mikono. TFF inaruhusu mashabiki wachache kuingia viwanjani kuona mpira, je hii Ni kwa mpira tuu na sio kwenye...
  20. jmushi1

    Miujiza ya Mungu kwa Tundu Lissu, COVID-19 na Siasa za Tanzania yetu

    Wanajamvi, Kwanza kabisa, niseme kama COVID-19 ingekuwa mbaya Tanzania, Lissu asingepata huu umati wa ajabu wenye Watanzania wenye hamasa ambayo sidhani kama nimeshawahi kuiona kwenye siasa za Tanzania. Hili ni la kumshukuru Mungu! Amejibu maombi kwa namna ya ajabu kabisa! Amejibu maombi kwa...
Back
Top Bottom