kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Dunia itahitaji chakula, Afrika itahitaji chakula na Afrika Mashariki itahitaji chakula baada ya changamoto ya COVID 19 kuzorotesha maisha ya wakulima na wafanyakazi.
Tanzania COVID-19 ipo pia lakini sio kubwa ya kusababisha taifa lijifungie.
Kama ningekuwa miongoni mwa watoa maamuzi ningebadilisha vipaumbele haraka na kugeukia kilimo kikubwa cha kutumia zana kubwa, pembejeo, umwagiliaji na ardhi kubwa hata kama ikibidi kuibadilisha mbuga ya serengeti kuwa shamba la miwa ili tuzalishe chakula kingi na bora cha kuwalisha waliojifungia ndani.
Lakini mtu akisema hivi ataonekana mwehu sawa na wehu wengine mitaani