covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. Memento

    Rais Samia hili la Covid-19 bado unatuchanganya kidogo, au ungeachana nalo tu?

    Rais Samia kwanza kabisa Mimi sipo upande wa CCM na naichukia sana CCM, lakini kutokana na kusema tukukosoe kwa heshima basi nitafanya hivyo kwako. Naomba nikukosoe kwa heshima kuhusu ili suala la corona. Mara nyingi umekuwa ukituoumbusha na kutuasa kuwa corona iliingia nchini mwetu na ipo na...
  2. BAK

    Rais Samia: Miji mikubwa ya Tanzania tayari imekumbwa na wimbi la tatu la Covid-19

    Rais Samia akiwa katika ziara yake mkoa wa Morogoro maeneo ya Kibaigwa amewataka wananchi wote kuchukua tahadhari juu janga la Covid-19. Katika kufafanua jambo hili Rais Samia amesisitiza kuwa wimbi la tatu la ugonjwa huu limeshaanza kutikisa katika miji mikubwa ya taifa la Tanzania. Aidha...
  3. beth

    Indonesia: Sekta ya Afya yalemewa na ongezeko la wagonjwa wa COVID-19

    Hospitali katika Kisiwa cha Java Nchini humo zinakabiliwa na uhaba wa Oksijeni, Dawa, Vitanda na Wafanyakazi wakati huu ambapo ongezeko la maambukizi ya COVID19 limepelekea Sekta ya Afya kulemewa. Imeripotiwa kuwa, Hospitali kadhaa zimelazimika kufunga huduma za dharura kutokana na kukosa...
  4. robinson crusoe

    Hizi dawa za COVID-19 ni siasa au tuna malengo gani? SUA hiki kitu gani?

    Kwa wasiwasi wangu, koo lilipokwaruza tu, nikajua COVID-19 hiyo. Nikabugia chupa langu. Hapa nilipo niko hoi kwa kuharisha usiku kucha. Ni uchafu gani tunauziwa na taasisi za serikali? Watu wa SUA bado munacheza na afya zetu kama enzi iliyopita? Ni kweli hiki ndo kiwango cha utaalamu wa chuo...
  5. beth

    Japan kutangaza hali ya dharura Jijini Tokyo kutokana na janga la COVID-19

    Japan inatarajiwa kutangaza Hali ya Dharura Jijini Tokyo ili kukabiliana na wimbi la Virusi vya Corona. Michuano ya Olimpiki imepangwa kuanza Julai 23, 2021 na itafanyika kwa wiki mbili Uamuzi wa kutangaza Hali ya Dharura unakuja baada ya ongezeko la visa. Kwa wiki kadhaa Wataalamu wa Afya...
  6. Suley2019

    Kenya's COVID-19 positivity rate at 7.9% after 400 new cases recorded, 7 dead

    Kenya has recorded 400 new COVID-19 cases from a sample size of 5,068 tested in the last 24 hours, marking a positivity rate of 7.9%. In a statement issued on Tuesday, the Ministry of Health said the total confirmed positive cases are now 186,453 and cumulative tests so far conducted are...
  7. beth

    Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) latahadharisha mataifa yanayolegeza masharti ya kukabiliana na Corona

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limeonya kuhusu Serikali ulimwenguni kote kulegeza masharti ya Ugonjwa wa COVID19 mapema ikisema wanaofanya hivyo wapo hatarini kulipa gharama kubwa kwa kutaka maisha kurejea kama awali. Onyo hilo limekuja kufuatia hofu juu ya Kirusi aina ya Delta ambacho...
  8. Sam Gidori

    Takwimu: Mwenendo wa Chanjo ya COVID-19 barani Afrika - Julai 2021

    Baada ya kuenea kwa maambukizi ya virusi vya corona duniani mwanzoni mwa mwaka jana, dunia ilianza kutafuta chanjo, na hadi kufikia mwishoni mwa mwaka, kampuni kubwa tano za Pfizer-BioNTech, Moderna, AstraZeneca na Johnson & Johnson zilikuwa zimetengeneza chanjo za kukabiliana na ugonjwa huo...
  9. Suley2019

    Covid-19: Singapore kusitisha kutoa takwimu za ugonjwa. Serikali yawataka wananchi kuishi nao kama mafua

    Serikali ya Singapore imetangaza kuwa itaacha kutoa takwimu za visa vya #COVID19 na kwamba muda umefika wa kuishi na ugonjwa huo kama mafua. Aidha, Serikali hiyo imesema itafuatilia wagonjwa waliozidiwa sana, na pia utoaji wa chanjo na ukaguzi/upimaji kwenye mipaka utaendelea. === As...
  10. beth

    Ugandans to be jailed for violating COVID-19 rules

    Ugandans who violate the Covid pandemic control restrictions may go to jail for up to two months. According to new rules released by the health ministry in a statutory document, those found operating banned businesses such as bars, night clubs, cinemas and shops selling non-food items face time...
  11. beth

    COVID-19: Urusi yarekodi idadi kubwa zaidi ya vifo tangu kuanza kwa mlipuko

    Taifa hilo limerekodi vifo 697 vya COVID-19, idadi ambayo imetajwa kuwa kubwa zaidi kuripotiwa ndani ya siku moja tangu kuanza kwa mlipuko. Aidha, Mamlaka pia zimerekodi maambukizi mapya 24,439 huku 7,446 kati ya visa hivyo vikitokea Mji Mkuu wa Moscow. Ongezeko la maambukizi limetajwa...
  12. beth

    COVID-19: Vifo Nchini India vyafikia 400,000

    Wakati jitihada za kuongeza kasi ya Chanjo zikiendelea Nchini humo, idadi ya vifo kutokana na janga la Virusi vya Corona imepita 400,000 huku Wataalamu wakionya namba halisi inaweza kuwa kubwa zaidi kwasababu vifo vingi havijarekodiwa rasmi. Hivi karibuni, maambukizi mapya India yamepungua...
  13. kavulata

    Kwanini mganga wa Hospitali Mwananyamala alimwingiza Rais chumba cha wenye Covid-19 bila kumfahamisha kabla?

    Corona ni ugonjwa hatari wa kuambukiza kwa njia ya hewa, Rais alitakiwa kufahamishwa kuwa sasa anaingia wodi ya wagonjwa wenye corona ili ajiandae kimwili na kiakili, pia ahiari mwenyewe kuingia au kutoingia wodi ile. Rais ameonekana hadharani kushitushwa kwa kujikuta katikati ya wagonjwa wa...
  14. beth

    Indonesia kuchukua hatua za dharura kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya Corona

    Kufuatia ongezeko kubwa la maambukizi ambalo limepeleka Sekta ya Afya kulemewa, Rais Joko Widodo amesema Indonesia itachukua hatua za dharura ili kukabiliana na hali ya mlipuko. Kirusi Delta ambacho kilisababisha ongezeko kubwa la maambukizi India mwezi Aprili na Mei kimetajwa kusambaa katika...
  15. beth

    WHO yaonya kuhusu wimbi jipya la maambukizi barani Ulaya

    Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ulaya, Hans Kluge amesema Wimbi jipya la Maambukizi haliwezi kuepukika ikiwa Wananchi na Viongozi hawataendelea kuwa na nidhamu Wiki iliyopita maambukizi mapya yaliongezeka kwa asilimia 10 ambapo baadhi ya vichocheo vilivyotajwa kusababisha hali hiyo ni...
  16. Suley2019

    Shirikisho la Mpira Uganda (FUFA) laitanganza Express FC kuwa mabingwa kutokana na ligi kusimama kwa Covid-19

    Shirikisho la Chama cha Soka la Uganda limemaliza Ligi Kuu ya 2020-21 na kutangaza Express FC kama mabingwa. Fufa imelazimika kuchukua uamuzi kufuatia tangazo la hivi karibuni la Rais Yoweri Museveni kupiga marufuku shughuli zote za michezo nchini humo kwa sababu ya kuwapo kwa idadi kubwa ya...
  17. The Sheriff

    Covid-19: Rwanda yafunga shule, yazuia mikusanyiko ya kijamii, muda wa kutotoka nje waongezwa

    Ofisi ya Waziri Mkuu nchini Rwanda imeamuru kufungwa kwa shule na vyuo vikuu na kuzuia mikutano na mikusanyiko yote ya kijamii, kuanzia Julai 1. Zuio la kutotoka nje kuanzia saa 1 jioni hadi saa 10 alfajiri limebadilishwa na amri ya kutotoka nje sasa itaanza saa 12 jioni hadi saa 10 alfajiri...
  18. beth

    COVID-19: Miji kadhaa Nchini Australia yaweka lockdown

    Takriban nusu ya watu katika Taifa la Australia wametakiwa kutekeleza agizo la kukaa nyumbani huko Sydney, Brisbane, Perth, Darwin, Townsville na Gold Coast Mamlaka zinafanya jitihada kudhibiti maambukizi ya Kirusi cha Corona aina ya Delta ambacho kimetajwa kusambaa kwa kasi huku Viongozi wengi...
  19. beth

    Upungufu wa Chanjo wapelekea Serikali ya Namibia kusitisha utoaji wa dozi ya pili

    Nchi hiyo imeacha kutoa Dozi ya pili ya Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19 ili kutoa kipaumbele kwa wale ambao bado hawajapata Dozi ya kwanza. Kutokana na upungufu, Serikali imesema itagawa Chanjo zilizobaki katika maeneo ambayo yameripoti ongezeko la maambukizi na vifo, na ambao wanasubiri...
  20. Kibosho1

    Madhara ya Covid-19: Club za Uchina bila wageni ni Utopolo FC tu

    tulizoea sana hizi timu zikivunja rekodi kwenye usajili. Baada ya hali mbaya kiuchumi kupitia makampuni ya udhamini wachezaji woooote wa kigeni wameondoka. Angalia kipigo zinavyopokea kwa sasa.
Back
Top Bottom