Tuache kuwa madalali na soko la chanjo ya covid 19

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
33,483
2,000
Ni vizuri Serikali badala ya kutaka kununua chanjo ya covid 19 ambayo haijakamilisha hatua muhimu za ufanisi ni vyema ikatoa fedha kwa wanataaluma wetu waliopo nchini wafanye utafiti wa kubuni chanjo ya Ukimwi na Hatimaye Covid 19.

Itasikitisha sana tukiingizwa mkenge wa kununua au kukopeshwa chanjo ambayo ufanisi wake ni mashaka matupu.
 

UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
11,508
2,000
Yule waziri wa mambo ya nje nilidhani kaletwa kwa kazi maalumu ila naona anacheka cheka tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom