corruption

  1. magode

    JamiiForums Tanzania Mzee mwanakijiji na Humphrey Polepole mbona mpo kimya kuhusu ufisadi wa Lugumi?

    Wanajamvi Salaam; Kwa sasa habari kubwa kwenye vyombo vya habari vyote,ni kuhusu ufisadi wa kutisha unaohusisha jeshi la police na baadhi ya viongozi akiwemo waziri wa mambo ya ndani Charles kitwanga na kampuni yake ya INFOSY. Hawa jamaa niliowataja hapo juu,tangu wakati wa kampeni...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Lugumi wapelekwa kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama!

    Hii ndio Tanzania. Hii habari imeandikwa na gazeti la mtanzania la leo na Mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Bunge, Balozi Adadi Rajabu amethibitisha mkataba huo kati ya Jeshi la Polisi na Kampuni ya Lugumi Enterprises kuwasilishwa mbele ya Kamati yake siku ya jana. =============== Njama nzito...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kuibuka sasa kwa kashfa ya LUGUMI ni mpango wa Mungu Watanzania wamjue waliomuamini na kumsifia

    Mungu ana makusudio kwa watu wake waliokuwa wameanza kulishwa matango pori kupitia vyombo vya habari kuwa amepatikana malaika tena mtenda haki asiyestahili hata kukoselewa na ukimkusoa wewe si mzalendo bali una wivu tu na chuki dhidi yake. Tumeaminishwa haangali sura,hana chama, anasimamia...
  4. chakii

    JamiiForums Tanzania Bunge latoa siku tatu kwa Jeshi la Polisi kuwasilisha mkataba wa Lugumi

    Bunge latoa siku tatu kwa Jeshi la Polisi kuwasilisha mkataba wa Lugumi wenye kiasi cha takribal Bil 37. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kamati za Bunge Aishi Hilali ili mkataba huo uweze kupitiwa tena Bunge. Chanzo: East Africa Radio.
  5. accused

    JamiiForums Tanzania Suala la LUGUMI ni mtihani mgumu kwa Rais Magufuli, akiiweza hii basi tena

    Wandugu. Wengi kwasasa tunaelewa kinachoendelea kati ya uongozi wa jeshi la polisi na kamati ya bunge (PAC) katikati akicheza Saidi Lugumi na timu yake ya vigogo. Hii Leo jeshi la polisi lilipaswa kua limewasilisha mkataba wao na Lugumi Enterprises ikiwa ni pamoja na payment trends in which 99...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa kifisadi wa Lugumi kuwasilishwa mbele ya Kamati ya Bunge leo

    Mtakumbuka ule mkataba uliozua mjadala mkubwa kati ya jeshi la polisi na kampuni ya Lugumi ambayo mtoto wa rais mstaafu Ridhiwan Kikwete amekiri kuwa na urafiki na mmiliki wake. Leo mbivu na mbichi inajulikana baada ya kuwekwa hadharani mbele ya kamati ya bunge. Kashfa hiyo inatarajiwa kukigawa...
  7. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Ndugu wana JamiiForums, Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi. Karibuni sana. MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa...
  8. Invisible

    JamiiForums Tanzania UFISADI: The Making Of IPTL

    Nimepitia baadhi ya habari na kuona kuwa hii topic ni nyeti sana na inagusa mengi, kwa nini isijadiliwe: IPTL, ANGLO LEASING YA TANZANIA ISIYOTAMKWA. GAZETI Tando la Pambazuko limebandika ripoti inayotakiwa kusomwa na kila anayeitazama kwa jicho la mapendo ... Who is this guy: Mr. Patrick...
Back
Top Bottom