Watu 15 wamefariki na wengine 24 wamelazwa hospitali wakiendelea kupata matibabu kutokana na virusi vya ugonjwa wa Corona Zanzibar.
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Afya wa Zanzibar Mhe Nassor Ahmed Mazrui wakati akitoa takwimu za ugonjwa wa Corona kuanzia Juni 25 hadi Agosti 10.
Waziri Mazrui...
Nianze kwa kusema kuwa wenzetu ambao ni jirani zetu hapo kenya nao walianza kwa kusema kuwa chanjo ya Corona ni hiyari na sio lazima , lakini tamko lilitoka jana kutoka serikalini ni kwamba kila Mkenya ambaye ni mtumishi wa Umma lazima apate chanjo ndani ya wiki mbili zijazo na mwisho ni tarehe...
Serikali makini mna habari kwamba huku mitaani kundi la watu wanaovuta sigara wanapezana sigara kwa kuwa uchumi sio mzuri?
Mtu Winston moja wanavuta watatu sasa wameshazoea wakaona Corona hamna maana wanadai hawajaona ishara za hao washikaji zao kufa kwa wingi.
Ndugu zangu Serikali kuweni...
Umoja wa Falme za Kiarabu umerekodi maambukizi mapya 1,334 ndani ya saa 24 zilizopita huku wagonjwa 1,396 wakipona na wanne wakipoteza maisha.
Tangu kuanza kwa janga la COVID-19 watu 1,982 wamefariki dunia na idadi ya visa imefikia 695,619. Zaidi ya 80% ya watu UAE wamepata angalau dozi moja ya...
Nilitegemea wataalam wetu wa afya pamoja na washauri wa Rais waliomshauri kuagiza chanjo ya corona watakuwa mstari wa mbele kujibu hoja za askofu badala yake wamekuwa watu wa kumshambulia yeye binafsi na kumpa vitisho badala ya kujibu hoza zake kitaalam.
Katika hoja ya kwanza, Askofu gwajima...
Jambo la kheri kuwa sherehe za nane nane zimefutwa kimya kimya.
Juzi kati Mwenge wa Uhuru ulikuwa Morogoro nao kimya kimya.
Mambo ya mbuni yametufikisha hapa.
---- extracts tokea kwake Zitto Kabwe.
Kwamba tunapoteza watu si chini ya 2,000/mwezi kwa Corona. Hali hii si ya kufumbiwa macho...
Gwajima anasema viongozi na wataalamu wetu ni vigeugeu na hawafai kuongoza, Wanafanya mambo kwa kuangalia upepo na sio utaalamu
Anasisitiza wajiuzulu mapema kwenye suala la covid-19
Akihutubia maelfu ya waumini wake leo Gwajima amesema wataalamu wetu ndio hao walijenga pale Muhimbili jiko la...
Niseme tu mimi binafsi sina tatizo lolote na chanjo. Yaani kama ingekua sio huu uoga uliopitiliza wa sindano, mimi ningekua kati ya watu wa mwanzo kabisa kuchanjwa! Lakini mpaka leo bado nambwelambwela kwenda kuchanjwa kisa tu naogopa ile sindano. Kama mliona ile video ya mwanajeshi aliepelekwa...
Mnakuwa neutral sana.
Wakati tunashambuliwa mara ya Kwanza, mlikaa kimya hadi Rais alipoingilia kati kazi zenu za maombi.
Sasa Serikali inatumia Muda mwingi kueleza kisayansi jinsi Corona inavyoweza kuua watu na jinsi ya kuukwepa, lakini sisikii viongozi wa kidini wanavyotuaminisha uwezo wa...
Mahabusu na wafungwa Wana haki ya kuishi Kama binadamu wengine. Tumeona mahabusu wakifikishwa mahakamani bila barakoa, tumesikia mahabusu waliopo vituo vya polisi na Magereza wakidai hawaruhusiwi kuvaa barakao Wala kuchukua tahadhari ya corona, je waziri wa mambo ya ndani na Waziri wa afya mna...
Wakuu,
Baada ya kukaa likizo bongo kwa wiki tatu nilifanya vipimo vya Corona na kulipia ada ya malipo ya Tsh. 230,000 siku ya Jumatano tarehe 4 ili nijiandae na safari yangu iliyokuwa jana siku ya Ijumaa tarehe 6.
Cha ajabu mpaka ilipofikia lisaa limoja kabla ya muda wangu wa safari bado...
Bila kuremba, Serikali itoe maelekezo ya matumzi ya dawa hii katika kutibu Corona kama iliyvogunduliwa kule Israel kuwa inatibu corona.
"That has been known since the start of the pandemic. But that has been wilfully ignored, otherwise, the vaccine could not get its emergency approva"l...
Mengi yameelezwa kuhusu chanjo za Corona.
Kwa mujibu wa balozi wa Marekani, katika vifo vyote vitokanavyo na Corona sasa hivi huko kwao, 99% ni watu ambao hawakuwa wamechanjwa.
Angalizo:
1. Ni muhimu ikafahamika kuwa chanjo hizi si dawa ya kutibu au kuzuia mtu kutopata ugonjwa.
2. Chanjo...
Kwa mujibu wa Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la UNICEF, Mtoto mmoja kati ya wanne ndiye mwenye kutumia Vifaa vya Kidigitali na Mtandao.
Imeelezwa, Familia nyingi zimeuza mali zao au kuchukua Mkopo ili kununua Vifaa hivyo na kuwawezesha Watoto wao kuendelea na Masomo wakati huu wa Ugonjwa...
Sitaki kutia neno, Jionee mwenyewe na uchukue hatua.
UPDATE: 06 August, 2021
Waziri wa OR-TAMISEMI, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu OR-TAMISEMI kumsimamisha kazi Mwalimu Omary Abdallahemed Kwesiga ambaye ni Mkuu wa Idara ya Elimu ya Msingi Halmashauri ya Jiji la Arusha.
Aidha...
Habari wanajukwaa;
Napenda kutoa ufafanuzi kidogo kwamba
Chanjo iliyoanza kutolewa Ni covid viral living matter ambae anawekwa kwenye mwili wa binadamu Kupambana na viral aliepo mwilini,
Hivyo ,ukidungwa chanjo hiyo,ikakutana na viral aliepo mwilini tayari ana nguvu hapo ndo utasikia,kwamba...
Mitaani misiba imekuwa mingi sana. Kwingine habari za mochwari kufurika zinasikika.
Maprofesa na hata vigogo ni baina ya wahanga.
Moja ya vipimo vya uhalisia wetu kuhusiana na huu ugonjwa ni hiki hapa:
Babu Loliondo aliachwa kukusanya wagonjwa wa Corona nyumbani kwake pasipo na kuwepo...
Tuacheni kudanganya watu hii imetoka kwenye takwimu
---
Less than 1% of fully vaccinated people experienced a breakthrough infection, according to a Kaiser Family Foundation analysis of official state data.
The federal government only reports data on breakthrough infections that result in...
Tupo kwenye nyakati ngumu sana. Corona imeathiri kila nyanja ya maisha yetu. Na kwa kuwa bado hatuna uhakika na mwenendo wake, ni vyema tukaendelea kujilinda na kuepuka maambukizi.
Nasi kama wadau wa lojistiki na usafirishaji, tunaojali afya za wateja wetu, tumeamua kuchukua risk kwa niaba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.