China yasema Corona ilianzia Marekani na wanajeshi wa Marekani ndio walioileta China na imeua zaidi ya watu 20,000 nchini Marekani

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
24,504
28,691
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Kigeni wa China Zhao Lijian amesema kuna wasiwasi kwa asilimia kubwa kuwa Marekani kupitia Jeshi lake ndio wahusika wakuu waliopandikiza corona China na kwamba ugonjwa huo haukuanzia eneo la Wuhan,China bali ulianzia Marekani.


Source: Chinese News
download.jpeg
 
Fake news, Huyu diplomat ni bogus, kama Marekani walikuwa na huo ugonjwa tangia basi sasa hivi wangeweza kuu control vizuri, lakini ndio kwanza wametangaza national emergency,Halafu ugonjwa wa corona huwezi kuwa nao ukaufanya siri maana unaenea kwa kasi sana na lazima umma ujulishwe.

Pia Kuna tofauti kati ya China kusema na Mchina kusema
China kusema inamaanisha ni tamko rasmi la serikali limetoa hizo shutma, Huyo ni afisa wa China kapost mtandaoni wala sio Serikali ya China, Yupo pia Afisa wa Marekni alishtumu China kuwa ilitengeneza hivyo virusi ila vikawavujia

Chinese diplomat promotes coronavirus conspiracy theory
 
Wameanza kukamatana, lazima huyo kirusi amekuwa engineered maana yupo kwa wanyama miaka nenda rudi na huwa hasababishi madhara makubwa. Huu uwezo wa kuambukiza binadamu na kuleta shida yote hii kautoa wapi!?
 
Back
Top Bottom