Ukaidi wa viongozi wa Brazil wasababisha idadi ya waathirika wa Corona kukaribia milioni moja

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,652
48,417
Viongozi wa Brazil walichukulia poa hiki kirusi, wakakaidi ushauri wa wataalam na kujichokea, leo idadi ya waathirika imegonga 960,309, ikizingatiwa hao ni waliopima ila kila mmoja wa hao inawezekana kaambukiza watano na hao watano kila mmoja ana watano wake, yaani mtandao balaa.

Hiki kitu hakitaki umang'aa, dawa ya kweli isipopatikana kinaweza kuifuta dunia.

======

Brazil on Tuesday reported a national record of nearly 35,000 new coronavirus cases in a 24-hour period, even as the government has insisted that the outbreak is under control.

The health ministry added 34,918 new cases, but Brazilian media, in collaboration with state health departments, said the figure was probably undercounted by a few thousand. The ministry also announced 1,282 additional COVID-19 deaths, bringing the total to more than 45,000 since the pandemic began.

In the number of confirmed cases and deaths attributed to the disease, Brazil now ranks second only to the U.S.

Meanwhile, Walter Braga Netto, a top Brazilian government official dealing with the response to the outbreak, said Tuesday: "There is a crisis, we sympathize with bereaved families, but it is managed."

Netto's statement is in line with President Jair Bolsonaro's consistent efforts to downplay the danger posed by the disease. The right-wing Bolsonaro, who has called the new coronavirus "a little flu" and campaigned against shutdowns, has been widely accused of endangering the public.

He has said that the economic costs of remaining in lockdown outweigh the risk to public health.

In April, Bolsonaro fired then-Health Minister Luiz Henrique Mandetta over the official's support of broad isolation measures recommended by the World Health Organization and international medical experts.

Most of the infections in Brazil have been concentrated in the heavily populated states of São Paulo and Rio de Janeiro and in the northeast.

Despite the uptick in cases, Brazil's towns and cities, urged on by Bolsonaro, have been gradually re-opening for business.

NPR's Philip Reeves contributed to this report.

Source: NPR Choice page
 
kirusi kinataka ukinyenyekee ndipo kinapunguza ukali, si unaona Kenya inavyopiga hatua vizuri, hope this weekend mnagonga 3k.
 
MK254,

Kenya mtaongoza lini Africa? Muendelee kupata misaada kutoka EU

Ni vigumu kwetu sisi kuongoza Afrika maana hatujajichokea kwa umaskini kama mlivyo, nyie huko yaani mnatia huruma kwa kweli, viongozi walishakata tamaa na kuwatelekeza, wakufa ajifie na wa kupona ashukuru. Mpo kama nyati aliyezingirwa na kundi la fisi analiwa mazima mazima yaani hata hayaruhusu afe kwanza.

Tatizo hamtulii huko kwenu, mnataka kulazimisha muingie kwenye mataifa ya watu na kuwapelekea hili balaa.
 
Ucdhani Nchi zote zinateseka na corona Kama ninyi musiokua na akili kuvimba kufanyia majaribio dawa zisizokua na uhakika kisa zawazungu huku kwetu hali shwari kabisa kwa kutumia uwezo wetu wa ndani na NIMR wanaongezewa bajeti awamu hii, TANZANIA mambo Kama hivi na usikii watu wanaugua korona baada ya kurudi Sasa jaribuni ninyi kufanya hivi Kama makaburi hajachimbwa kwa katapilla hahahaahaha

Ni vigumu kwetu sisi kuongoza Afrika maana hatujajichokea kwa umaskini kama mlivyo, nyie huko yaani mnatia huruma kwa kweli, viongozi walishakata tamaa na kuwatelekeza, wakufa ajifie na wa kupona ashukuru. Mpo kama nyati aliyezingirwa na kundi la fisi analiwa mazima mazima yaani hata hayaruhusu afe kwanza.

Tatizo hamtulii huko kwenu, mnataka kulazimisha muingie kwenye mataifa ya watu na kuwapelekea hili balaa.
Matajiri ndio wanaotoa misaada sio nyie watembeza bakuli na wakusaidiwa.
 
Hee hivi kumbe bado corona ipo aiseee bongo hata barakoa hatufahamu zilipozitupia.
 
Viongozi wa Brazil walichukulia poa hiki kirusi, wakakaidi ushauri wa wataalam na kujichokea, leo idadi ya waathirika imegonga 960,309, ikizingatiwa hao ni waliopima ila kila mmoja wa hao inawezekana kaambukiza watano na hao watano kila mmoja ana watano wake, yaani mtandao balaa.

Hiki kitu hakitaki umang'aa, dawa ya kweli isipopatikana kinaweza kuifuta dunia.

======

Brazil on Tuesday reported a national record of nearly 35,000 new coronavirus cases in a 24-hour period, even as the government has insisted that the outbreak is under control.

The health ministry added 34,918 new cases, but Brazilian media, in collaboration with state health departments, said the figure was probably undercounted by a few thousand. The ministry also announced 1,282 additional COVID-19 deaths, bringing the total to more than 45,000 since the pandemic began.

In the number of confirmed cases and deaths attributed to the disease, Brazil now ranks second only to the U.S.

Meanwhile, Walter Braga Netto, a top Brazilian government official dealing with the response to the outbreak, said Tuesday: "There is a crisis, we sympathize with bereaved families, but it is managed."

Netto's statement is in line with President Jair Bolsonaro's consistent efforts to downplay the danger posed by the disease. The right-wing Bolsonaro, who has called the new coronavirus "a little flu" and campaigned against shutdowns, has been widely accused of endangering the public.

He has said that the economic costs of remaining in lockdown outweigh the risk to public health.

In April, Bolsonaro fired then-Health Minister Luiz Henrique Mandetta over the official's support of broad isolation measures recommended by the World Health Organization and international medical experts.

Most of the infections in Brazil have been concentrated in the heavily populated states of São Paulo and Rio de Janeiro and in the northeast.

Despite the uptick in cases, Brazil's towns and cities, urged on by Bolsonaro, have been gradually re-opening for business.

NPR's Philip Reeves contributed to this report.

Source: NPR Choice page

Hakuna viongozi pale
 
Back
Top Bottom