Wameendelea kutovaa barakoa.
Ni CHADEMA hawahawa walioishinikiza serikali ya awamu ya 5 itoe takwimu za kila siku za wagonjwa wa UVIKO-19.
Ni CHADEMA hawahawa walioupinga msimamo wa jemedari Hayati Dkt. Magufuli juu ya kutowekwa lockdown nchi nzima/maeneo yenye msongamano.
Kipi kilitarajiwa...
Takriban wiki ya tatu tokea Kamati maalumu ya tathmini ya ugonjwa wa Corona (COVID-19) nchini kukamilisha kazi yake na kukabidhi ripoti kwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Tume hiyo ilikuja na mapendekezo zaidi ya 19 ambapo mpaka sasa ukiondoa pendekezo ya kuagiza chanjo ya Corona ambalo serikali...
Mbowe aliutangazia umma kuwa yeye keshachanja chanjo ya Corona lakini kila anapoenda barakoa haimtoki.
Nimeangalia nchi za wenzetu pia kama ULAYA na Marekani wamechanja lakini kutwa wanavaa vibarakoa!! wana maintain social distance, kunawa maji tiririka nk.
Sasa hiyo chanjo ina kazi gani kama...
"Chanjo ya ugonjwa wa Corona ni hiari, hatolazimishwa mtu kuchanja chanjo hiyo. Tukatae uzushi kuwa mtu akichanjwa atakufa, sio kweli"
Ndugu @DrHmwinyi
Rais wa Zanzibar na M/kiti wa BLM
Mjumbe wa Kamati Kuu ya H/Kuu ya Taifa.
Mahonda, Kaskazini Unguja.
Mei 29, 2021.
Ni kwa muda sasa kumekuwa na mjadala kuhusu chanjo ya corona ambayo inawezekana kwa sababu za kisiasa, wameamua kusema kuwa ni hiyari. Ili watu wasione ubaya wa kuchoma. Lakini naomba ni waambie ikiwa ni ya hiyari, tutakula hasara
Hasara ya chanjo kuwa hiyari
Chanjo tunanunua na kuongezewa...
Maandamano yanaendelea Nchini Brazil kuhusu namna janga la COVID-19 linavyoshughulikiwa na Serikali ya Rais Jair Bolsonaro.
Katika Mji Mkuu wa Brasilia, maelfu ya watu wamekusanyika mbele ya Jengo la Bunge wakitaka Rais kufunguliwa mashtaka na kushinikiza upatikanaji wa Chanjo zaidi.
Pia...
Hebu atakayefanikiwa kumsikiliza vizuri atufafanulie anacholalamika huyu jamaa. Inaelekea chanjo ya corona imemwunganisha moja kwa moja na mtandak wa AstraZeneca(chanjo ya corona kupitia bluetooth).
Click hiyo picha umsikilize.
FACT CHECK: Fact Check-AstraZeneca’s COVID-19 vaccine does not...
Mbunge wa Geita Vijijini mh Joseph Kasheku aka Msukuma amesema Maprofesa wa Tanzania wanafeli sana na hii inasikitisha ndio maana aliwaripua bungeni.
Msukuma amesema kwa mfano tafiti za Corona zilizofanywa na maprofesa wakati wa hayati Magufuli wakitumia mapapai mbuzi, sungura, mafenesi na oil...
Tusije kushangaa kwanini Corona imekuwa kali hivi ukweli unaanza kuonyesha kwamba Corona hii imetoka kwa bahati mbaya kwenye maabara huko China.
Inawezekana walikuwa wanafanya uchunguzi wa chanjo za magojwa ya corona na bahati mbaya wakatengeneza virus na wakatoka pale na kuambukiza watu na...
Kenya inatarajiwa kupokea dozi 72,000 za chanjo ya Oxford/AstraZeneca kutoka Sudan Kusini zilizorudishwa kwa Mpango wa Pamoja wa Chanjo wa Dunia, COVAX.
Sudan Kusini imesema inarudisha chanjo hizo kutokana na kushindwa kuzigawa kwa wananchi kwa wakati kabla hazijaisha muda wake wa matumizi...
Marekani imelitaka Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhakikisha awamu inayofuata katika Uchunguzi wa asili ya Virusi vya Corona inazingatia uwazi.
Imesema awamu ya pili ya Utafiti huo lazima uzinduliwe ukizingatia uwazi, misingi ya kisayansi na vilevile uwape Wataalamu wa Kimataifa Uhuru wa...
Makaburu na mawakala wao hawataki kuamini lakini ndivyo ilivyo.
Hivi sasa inatumika nguvu kubwa kuitafuta corona hata kwa tochi nchini Tanzania bila mafanikio.
Wanalazimisha kushawishi mamlaka za juu ziseme na kukiri kuwa Tanzania kuna corona.
Wanalazimisha kubambikiza kila kifo kuwa ni cha...
Baada ya kamati ya corona iliyoundwa na Rais wetu Mh Samia suluhu kupendekeza Wantanzania kupata chanjo, Watanzania walio wengi wamepinga sana kupata chanjo ya Covid 19.
Kwa hali Hii serikali inatakiwa iangalie kwa namna nyingine kwa Maana nchi na uongonzi wake ni watu ambao ni watanzania wala...
Makamu rais wa Zimbabwe akiwa katika hospitali ya Wilkins kwa ajili ya chanjo ya kupokea chanjo ya Covid 19.
Shirikisha
Zimbabwe imegundua kesi za kwanza za aina mpya ya virusi vya corona ambavo vimeibuka nchini India, Makamu wa Rais Constantino Chiwenga alisema Jumatano, na kuongeza kuwa...
Walioleta hii ripoti ni wenye elimu kubwakubwa (Maprofesa, PhDs', Masters, Degrees) na wengineo wamo humo na inawezekana "La saba pia wamehusika kwa namna moja au nyingine, inawezekana kabisa dereva aliyewapeleka Ikulu ni Form Four Failure, ana leseni yake ya NIT akapata CONNECTION yuko pale...
Amani iwe nawe Mama yetu!
Kwa mfululizo nimekuwa nikiandika mada mbalimbali za kukushauri juu ya mustakabali wa uchumi wetu sisi Tanzania kama nchi.
Leo badala ya kukushauri, napenda sana kukupongeza kwa hatua ulizochukua dhidi ya Corona.
Moja ya sifa kuu za kiongozi mzuri ni kuwa anatakiwa...
Serikali imeongeza sehemu za kutolea huduma ya upimaji wa virusi vya corona katika viwanja vya ndege kutoka mbili mpaka 10 na kuanzisha huduma ya ulipaji kwa njia ya kielektroniki
Maboresho hayo yamefanyika siku chache baada ya abiria wanaowasili nchini kulalamika kuwa wanakaa muda mrefu...
Mimi sijui chanjo nilizopigwa enzi bado ni mtoto mchanga au chini ya miaka mitano. Chanjo ninayoikumbuka vizuri ni ile ya kichocho ambayo tulichomwa mashuleni nilikuwa shule ya msingi nimesahau darasa la ngapi ila ni Kati ya 2006-2008. Tena nakumbuka tulipikiwa wali shuleni.
Sasa chanjo ile...
Ninaomba nieleweke. Ushauri wa kwanza kabisa wa kamati ya corona ni kwamba SERIKALI ITANGAZE UWEPO WA CORONA. Kwa maneno mengine serikali IKIRI (kwa kinywa chake) uwepo wa corona! Anayeshauri hivyo tayari amevaa barakoa! Hivi tukimwuliza ni kwa nini amevaa barakoa atasemaje?
Kwa nini inatakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.