corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    Afrika Kusini: Jeshi kusaidia mapambano dhidi ya Virusi vya Corona

    Serikali inawapeleka Wataalamu wa Afya kutoka Jeshini kwenye Jimbo la Gauteng ambalo ni idadi kubwa ya watu na ni kitovu cha Biashara, ili kusaidia mapambano dhidi ya Corona Virus. Afrika Kusini ambayo imeathiriwa zaidi ya mlipuko huo Barani Afrika inakabiliwa na wimbi la tatu ambapo maambukizi...
  2. beth

    Curfew to begin at 7pm in Kisumu and 12 other counties, movement restricted

    The government has reviewed COVID-19 containment measures in 13 counties within the Lake Basin region following a spike in the infection rate in the area. In a statement issued on Thursday, Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe said the dusk-to-dawn curfew shall begin at 7pm and end at 4am in...
  3. S

    Is it true that the telecast of covid-19 horrible situation in Uganda is just a propaganda?

    ABOUT THE FOOTAGE below:- In Uganda, people of Kasese almost killed health officials following their illicit move of burying an empty coffin which they claimed to be carrying the Covid-19 dead body. This came after the long lived and widespread rumours in Uganda, that the government is...
  4. M

    London: Maelfu waandamana dhidi ya chanjo ya Corona, uvaaji wa barakoa na lockdown

    Upinzani dhidi ya chanjo ya corona ñi mkubwa mno huko nchi za magharibi japo serikali zao huwa hazitangazi. Angalia maelfu wanavyoandamana mjini London. Huko watu wengi wamechanjwa na madhara yake wameyashuhudià. Halafu hapa anatokea mtu na kudai hakuna madhara!
  5. beth

    WHO: Afrika inakabiliwa na ongezeko la maambukizi ya Corona

    Mkurugenzi wa Shirika la Afya (WHO) Afrika, Matshidiso Moeti amesema Afrika inakabiliwa na wimbi la tatu la mlipuko wa COVID-19 ambapo maambukizi mapya yameongezeka kwa 30% wiki iliyoisha na vifo kwa 15%. Asilimia 76 ya maambukizi mapya yametajwa kutokea katika Nchi tano za Afrika Kusini...
  6. Miss Zomboko

    Viwango vya migogoro kote duniani vimeongezeka tangu kuzuka kwa janga la virusi vya corona

    Viwango vya migogoro kote duniani vimeongezeka tangu kuzuka kwa janga la virusi vya corona. Hii ni kulingana na ripoti ya kila mwaka ya faharasi ya amani duniani iliyochapishwa Alhamisi na taasisi ya uchumi na amani. Ripoti hiyo, inayotathmini hali ya mwaka 2020, inaonyesha kwamba mizozo...
  7. Elitwege

    Polepole: Watanzania tuendeleeni kutumia njia za asili kupambana na Corona

    Katibu mwenezi msitaafu wa CCM na mbunge wa kuteuliwa wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania bwana Humphrey Polepole amehoji ni kwa nini watanzania wanataka kuacha mbinu za asili zilizotusaidia mwaka jana kupambana na corona na tukaibuka na mafanikio makubwa kiuchumi na kijamii? Bwana...
  8. beth

    Mufti Zuberi: Ibada ya Hijja imefutwa kwa sababu ya Virusi vya Corona

    Serikali ya Saudi Arabia imefuta ibada ya hija kwa mwaka 2021 kutokana na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona. Hii ni mara ya pili kwa waumini wa dini ya Kiislamu kutotekeleza ibada hiyo kutokana na gonjwa huo ulioanza kutikisa mwishoni mwa mwaka 2019. Akizungumza na...
  9. Replica

    Polepole ataka kiwanda cha dawa za mimea kupambana na Corona, aomba kikafichwe Jeshini

    Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Humphrey Polepole leo Bungeni ameongelea suala la Covid na kusema wameambiwa Corona inaendelea. Polepole ametoa Rai kujenga kiwanda cha mimea dawa kulingana na Ilani ya CCM. Polepole amesema watu watatibiwa na kupona na mimea dawa lakini Rai yake kiwanda hicho...
  10. beth

    Shirika la Afya (WHO): Kasi ya usambaaji wa Virusi vya Corona ni kubwa kuliko ya ugawaji Chanjo

    Shirika la Afya Duniani limeonya kuwa kasi ya COVID-19 ni kubwa kuliko ile ya mgawanyo wa Chanjo, ikisema ahadi ya Mataifa ya G7 kutoa dozi Bilioni moja Nchi masikini haitoshi kwani uhitaji ni mkubwa. WHO imesema zaidi ya 10,000 wanapoteza maisha kila siku na Jamii hizo zinahitaji Chanjo hivi...
  11. beth

    Brazil: Mahakama Kuu yaamua Copa America kuendelea licha ya kitisho cha Corona

    Mahakama Kuu ya Brazil imesema Michuano ya Copa America ambayo inatarajiwa kuanza Jumapili inaweza kuendelea Nchini humo licha ya janga la Corona. Majaji wametoa uamuzi huo baada ya Mkutano wa dharura kusikiliza maombi ya kusitisha mashindano hayo kutokana na COVID19 ikielezwa yatahatarisha...
  12. Suley2019

    IMF: Tanzania lazima iweke wazi takwimu za COVID-19 ili ipate msaada wa dharura

    Tanzania inahitaji kuweka wazi data ya ueneaji kwa Covid-19 kabla ya kupata idhini ya mkopo wa dharura wa Dola 574 milioni kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa. Maamuzi hayo yanatokana hali ya kutojulikana kwa takwimu halisi za ugonjwa huo tangu Serikali ilipoacha kuziweka wazi Mei mwaka 2020...
  13. MenukaJr

    Kuhusu Corona, Serikali isiturudishe nyuma

    Taarifa ya Msemaji Mkuu wa Serikali iliyotolewa tarehe 05 June, 2021 imebainisha kwamba Rais wa JMT amepokea tayari taarifa mbili kutoka katika Kamati aliyoiunda kwa ajili ya kufuatilia na kuishauri Serikali namna ya kupambana na gonjwa la corona. Taarifa ya kwanza ilikua ni yenye maoni ya namna...
  14. Shadow7

    WHO: Dozi za Corona zilizotolewa mpaka sasa nchi tajiri 44 %, mataifa maskini 0.4%

    Shirika la Afya Ulimwenguni WHO, limesema nchi tajiri kiviwanda za kundi la G7 zina uwezo wa kutoa dozi milioni 100 za chanjo ya Corona kwa nchi maskini mwezi Juni na Julai pekee kusaidia kufikia malengo ya utoaji chanjo duniani kote katika mkutano wao wa kilele wiki hii. Mkuu wa WHO Tedros...
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    Wasafiri Uwanja wa Ndege Dar, Walalamikia utaratibu wa kupimwa corona

    Download 720 Waziri wa Afya anatakiwa kubadilisha utaratibu mbaya unaofanywa Mjini Dares-Salaam Airport. kuhusu Wageni ama sivyo Mwaka huu Tanzania itakosa wageni wengi na pato la Taifa kuhus wageni litashuka. Sikiliza hiyo video. ==== WASAFIRI katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
  16. beth

    WHO: Hatuna mamlaka ya kuilazimisha China kutoa taarifa zaidi kuhusu asili ya janga la Corona

    Afisa wa Juu wa Shirika la Afya Duniani amesema WHO haina mamlaka ya kuilazimisha China kutoa taarifa zaidi kuhusu asili ya mlipuko wa Virusi vya Corona Hivi karibuni Nadharia ya kuvuja kutokea Maabara iliyopo Wuhan kwa bahati mbaya imekuwa na mjadala mpya baada ya Wanasayansi kadhaa kutaka...
  17. beth

    Luhaga Mpina: Corona isiwe kwa wazembe kukusanya mapato ya Serikali

    Mbunge Luhaga Mpina ametahadharisha mlipuko wa COVID19 usiwe kinga kwa watu waliozembea kukusanya mapato ya Serikali kwa kisingizio cha Ugonjwa huo. Katika mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Fedha, Mbunge huyo amehoji namna Wizara hiyo inafuatilia ili kujiridhisha pale inapoambiwa sababu ni Virusi...
  18. J

    Serikali: Chanjo ya Corona iliyoruhusiwa ni kwa wafanyakazi wa Balozi na taasisi za nje, kwa Watanzania bado hatujaamua

    Msemaji mkuu wa serikali Mh Gerson Msigwa ametolea ufafanuzi tangazo la serikali linalohusu chanjo ya Corona. Msigwa amesema chanjo iliyoruhusiwa ni kwa ajili ya wafanyakazi wa balozi na taasisi za kigeni tu. Kuhusu chanjo ya Corona kwa wananchi serikali itafanya uamuzi baada ya kupitia kwa...
  19. Analogia Malenga

    DRC yakabiliwa na wimbi la tatu la maambukizi ya Virusi vya Corona

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inakabiliwa na wimbi la tatu la maambukizo ya corona, na huku kitovu kikiwa katika mji mkuu, Kinshasa, ikiwa ni moja ya miji yenye idadi kubwa ya watu barani Afrika, Waziri wa Afya Jean-Jacques Mbungani alisema Alhamisi. Kwa mujibu wa shirika la habari la...
  20. Miss Zomboko

    Mamilioni ya watu duniani huenda wakapoteza ajira kutokana na Corona

    Shirika la kazi duniani ILO limesema mamilioni ya watu ulimwenguni wamepoteza ajira zao au kupunguziwa muda wao wa kufanya kazi kufuatia janga la virusi vya Corona. Katika ripoti yake ya tathmini iliyotolewa leo shirika hilo la kimataifa limeeleza kwamba, ikiwa janga hilo halitoongezeka soko...
Back
Top Bottom