corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    Watumishi wote wa Afya katika Mamlaka za viwanja vya ndege kujilinda wenyewe kwa kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya Corona

    Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe amewaagiza Watumishi wote wa Afya katika Mamlaka za viwanja vya ndege kujilinda wenyewe kwa kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Corona kwa kuvaa barakoa, kunawa mikono mara kwa mara kwa sabuni na maji safi tiririka. Dkt. Sichalwe...
  2. Analogia Malenga

    Boris Jonson: Sheria za kuvaa barakoa na kukaa mbali hazitakuwa lazima Uingereza

    Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Jonson amesema kuwa yeye ataendelea kuvaa barakoa katika maeneo ya watu wengiImage caption: Waziri Mkuu Boris Jonson amesema kuwa yeye ataendelea kuvaa barakoa katika maeneo ya watu wengi. Waziri mkuu, Boris Johnson, alisema alitarajia kupunguza sheria za Covid...
  3. B

    Tuwatambue wanaohujumu vita dhidi ya Covid-19 nchini

    Hatimaye serikali ya awamu ya sita ilitangaza rasmi uwepo wa ugonjwa hatari wa Corona hapa nchini. Hii ikienda sambamba na kutolewa kwa maelekezo thabiti ya hatua gani za kuchukuliwa tunaposubiria kuwasili kwa chanjo. Hatua hii ni njema kabisa ya kupongezwa na kila mzalendo na hasa kila...
  4. zimmerman

    COVID: Israel registers 501 new cases, cabinet to meet on new measures

    Habari hii hapa chini kuhusu ongezeko la maambukizi mpya ya corona huko Israeli, nchi iliyochanja raia wake wengi kiasilimia kuliko nchi nyingine yeyote duniani, inaonesha jinsi ambavyo Magufuli was all right kuhusu corona, namna ulivyo ugonjwa ambao itabidi tujifunze kuishi nao kama...
  5. beth

    Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) latahadharisha mataifa yanayolegeza masharti ya kukabiliana na Corona

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limeonya kuhusu Serikali ulimwenguni kote kulegeza masharti ya Ugonjwa wa COVID19 mapema ikisema wanaofanya hivyo wapo hatarini kulipa gharama kubwa kwa kutaka maisha kurejea kama awali. Onyo hilo limekuja kufuatia hofu juu ya Kirusi aina ya Delta ambacho...
  6. Sam Gidori

    Takwimu: Mwenendo wa Chanjo ya COVID-19 barani Afrika - Julai 2021

    Baada ya kuenea kwa maambukizi ya virusi vya corona duniani mwanzoni mwa mwaka jana, dunia ilianza kutafuta chanjo, na hadi kufikia mwishoni mwa mwaka, kampuni kubwa tano za Pfizer-BioNTech, Moderna, AstraZeneca na Johnson & Johnson zilikuwa zimetengeneza chanjo za kukabiliana na ugonjwa huo...
  7. B

    Corona: Bila Barakoa huingii stendi ya Magufuli

    Kuanzia Jumatatu bila kuvaa barakoa stendi ya Magufuli hakuingiliki tena. Hata hivyo inashangaza kwanini kuwataka wenye mabasi kuwa na sanitizers kwa ajili ya abiria. Kama ilivyo kwa barakoa, afya ya mtu ni wajibu wake mwenyewe. Hizi za kutwishana majukumu ya wengine ndiyo chanzo cha kupalilia...
  8. kavulata

    Kwanini mganga wa Hospitali Mwananyamala alimwingiza Rais chumba cha wenye Covid-19 bila kumfahamisha kabla?

    Corona ni ugonjwa hatari wa kuambukiza kwa njia ya hewa, Rais alitakiwa kufahamishwa kuwa sasa anaingia wodi ya wagonjwa wenye corona ili ajiandae kimwili na kiakili, pia ahiari mwenyewe kuingia au kutoingia wodi ile. Rais ameonekana hadharani kushitushwa kwa kujikuta katikati ya wagonjwa wa...
  9. J

    Dalili Kuu Nne za Wimbi la Tatu la COVID-19

    Madaktari Bingwa wa magonjwa ya mfumo wa upumuaji wamesema kirusi cha wimbi la tatu la ugonjwa wa Covid-19, kimekuja na mbinu tofauti na za kificho kutokana na dalili zake kuu nne. Dalili hizo zimetajwa kuwa ni: Mate kukauka mdomoni, Kupata vipele mikononi na miguuni, Kuharisha na Damu kuganda...
  10. FRANCIS DA DON

    Tetesi: Chanjo za Corona unatikiwa uchanjwe ‘Booster’ mara 3 ndio uwe na kinga, na si mara 2 kama tulivyoambiwa awali?

    Je, ni kweli kwamba baada ya kufanya majaribio kwa watu waligundua kwamba mtu anatakiwa achanjwe mara 2 ndio awe na kinga tosha, ila baada ya utafiti sasa wamebadilika tena, wanasema unatakiwa uchanjwe mara 3 ndio uwe na kinga? Kwahiyo ile kauli ya hayati kwamba tusubiri kwanza ilikuwa na mashiko?
  11. beth

    Indonesia kuchukua hatua za dharura kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya Corona

    Kufuatia ongezeko kubwa la maambukizi ambalo limepeleka Sekta ya Afya kulemewa, Rais Joko Widodo amesema Indonesia itachukua hatua za dharura ili kukabiliana na hali ya mlipuko. Kirusi Delta ambacho kilisababisha ongezeko kubwa la maambukizi India mwezi Aprili na Mei kimetajwa kusambaa katika...
  12. J

    Hatua za mabadiliko ya Virusi vya Corona

    Hadi sasa, imegundulika kuwa virusi vya Corona vimepitia mabadiliko aina 5 Alpha: Aina hii ilitambulika kwa mara ya kwanza Nchini Uingereza kabla ya kusambaa kwingine Beta: Aina hii iligundulika Desemba 2020 Nchini Afrika Kusini Gamma: Aina hii iligundulika Januari 2021 Nchini Japan baada ya...
  13. M

    Walio wa mlengo fulani kisiasa, ndio wanaokumbatia Corona maana wanaitumia kufanikisha agenda yao. Sasa wanafuata upepo tu

    Katika dunia hii kuna watu wameikumbatia sana corona na wanaitumia kufanikisha malengo yao!! Kwa bahati mbaya sana kuna mataifa mengi hasa ya kiafrika yanayocheza ngoma wasiyoielewa! Hawajui malengo ya wanaoipiga!! Kuna watu wanafurahia sana kuona mahali fulani maambukizi yameongezeka na wako...
  14. Sam Gidori

    Watu 800 wachomwa chanjo feki ya Corona

    Polisi nchini Uganda inawashikilia wahudumu wawili wa afya kwa madai ya kuhusika kuwachoma takriban watu 800 chanjo feki za corona mwezi uliopita. Mtu mmoja, ambaye ni daktari, anatafutwa na polisi kwa tuhuma za kuhusika kuwachoma watu hao chanjo katika mji wa Kampala kati ya Mei 15 na Juni 17...
  15. J

    IMF yamhakikishia Rais Samia itasaidia mapambano dhidi ya Covid 19 na kuhuisha sekta zilizodororeshwa na Corona ikiwemo Utalii.

    Ujumbe wa Shirika la Fedha duniani ( IMF) umekutana na Rais Samia Ikulu jijini Dodoma na kumuahidi kusaidia mapambano dhidi ya Corona. Kadhalika IMF itasaidia kuhuisha shughuli zilizoathiriwa na Corona ikiwemo utalii. Chanzo: ITV habari
  16. GENTAMYCINE

    Napendekeza aliyekuwa 'akimshauri' Hayati Rais Dkt. Magufuli aseme Tanzania hakuna kabisa 'Corona' asakwe popote na 'anyongwe' upesi sana

    Nina sababu Mbili tu juu ya hili ambazo... 1. Kauli ya Hayati Rais Dkt. Magufuli kusema na Kukulazimisha Watanzania tuamini kuwa hakuna Corona nchini nina uhakika huenda ikawa imepelekea Vifo vingi kuliko hata idadi ambayo tunategemea huku 'tukilainishwa' kwa neno la 'Kinafiki' kuwa ni...
  17. J

    Corona na kusuasua kwa uchumi ndio kikwazo cha kuruhusu mikutano ya kisiasa, CHADEMA kuweni waelewa

    Kwa sasa mkazo unawekwa katika kudhibiti wimbi la tatu la covid 19 pamoja na kuimarisha hali ya uchumi wetu ikiwemo kuwarejesha wawekezaji waliotukimbia. Kuruhusu mikutano ya kisiasa na ile ya Katiba Mpya kutarudisha nyuma jitihada hizi kwani Tanzania siyo kisiwa. Rais Samia yuko sahihi...
  18. J

    Rais Samia: Tanzania kuna wagonjwa zaidi ya 100 wa Corona. Chanjo itakuwa ya hiyari

    Rais Samia amesema wafanyabiashara wengi wa Kitanzania wameshachanja chanjo ya Corona wengine Dubai, SA na Nairobi. Rais amesema baraza la mawaziri limekaa na kuamua tukubaliane na chanjo na iwe ni hiyari. Serikali imeshatenga usd 470 milioni kukabiliana na covid 19. Nawasalimu kwa jina la...
  19. guzman_

    Jamani tuache masihara. Hizi pisi kali ni hatari kuliko Corona

    Leo juma3 ila mood yangu haiko sawa. Takribani miezi 8 nyuma nilifahamiana na kadada kamoja kamodo kazuri keupe ila takoless nikarusha nyavu baada ya kama wiki kakajaa. Baada ya kufahamiana sana ndo nikajua kalisoma IFM na ni yupo tu amepanga anafukuzia kazi mjini hapa. Inshort alikuwa kama...
  20. Analogia Malenga

    Rais Samia: Corona ipo, chukueni tahadhari

    Nawasihi Watanzania wenzangu tuendelee kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Korona (Uviko-19) kama tunavyoelekezwa na wataalamu wetu wa afya. Tunawe mikono kwa maji tiririka na sabuni, tutumie vitakasa mikono, tuvae barakoa na tusigusanegusane. Ugonjwa wa Korona upo.
Back
Top Bottom