computer

  1. JamiiForums Tanzania INAUZWA Computer CPU naiuza kwa bei nafuu

    Nauza CPU ya Computer kwa bei nafuu Ni Dell Vostro Ram 4 GB Hard Disk 800 GB Bei laki mbili (200,000/=) Ukinunua nakupa Keyboard na mouth bure Nipo DSM, Tabata Kinyerezi
  2. JamiiForums Tanzania Msaada: Computer yangu inakula sana bundle

    Nipo na computer yangu inatumia window 10. Tatizo kuu ni hili swala la bundle consumption. Inanyonya sana kiasi kwamba ndani ya dakika 3 nikiiacha moderm On nakuta nimetumia mbs zaidi ya 30..Kwa makadirio ya haraka ni zaidi ya mbs 10 kwa dakika. Nimejaribu kucheki kwenye setting pamoja na...
  3. JamiiForums Tanzania Ninunue desktop computer yenye specifications gani ili baadae ni upgrade mwenyewe?

    Salamu sana kwenu JF experts na sisi wengine ma newbies. Najichanga bajeti alau niwe na around 350k hivi. Kwa sasa imebakia kidogo tu ili itimie hiyo bajeti. UHITAJI ni kwamba napenda kujifunza graphics hususani video editing na design mbalimbali kwa kutumia programs za Photoshop...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Computer, Laptop na Printer ndogo sokoni

    Printer ni HP Laptop ni samsung Computer ni ONDA Bidhaa zote zilikuwa zinatumika ofisini Bei laki 7 fixed for all Location Dar es salaam Communication 0625825641
  5. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Computer na printer vinauzwa, vipo Dar es Salaam

    Bidhaa zote zipo ktk hali nzuri ZIlikuwa zinatumika ofisini Bei ni laki 7 tu Kwa mhitaji tuwasiliane kwa namba 0625825641 Karibuni sana
  6. JamiiForums Tanzania Pendekeza kitu gani nijifunze ili nipate hela

    Wakuu naombeni mnitajie maarifa ambayo kama nikiamua ku deal nayo nikayapa muda wa kutosha kujifunza katika mtandao basi nitapiga hela maana nasikia Kuna watu wanasema pesa ipo tu hewani ni wewe tu kuidownload yaani kuivuta ndo maana tunaona vijana wanakunywa tu bia na kushinda bar. Halafu...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada naomba kufahamu desktop computer ya kawaida sana kwa kazi za video editing

    Salam ndugu zanguni. Naomba kufahamu ni desktop computer yenye sifa zipi inauwezo wa kufanya kazi za kuzalisha na kuhariri picha za video, naomba kusaidiwa hili kwa wataalamu wa humu jukwaani wanaofanya kazi hizi na wasiofanya. Inatakiwa iwe ya gharama za chini kabisa kuliko zote,Nataka kujua...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Biashara ya Kuuza Computer: Laptop/dektop used

    Habari wakuu. Ni wapi zinapatikana Computer used nzuri kwa bei ya jumla? Nitapata kwa Tshs. Ngapi kwa pc 1 kutokana na specifications za computer husika? Yaani bei ya kila pc na specifications zake. Kwa wanaofahamu ma Supplier wa China na Dubai watujuze pia. Kwa mzigo wa kutoka nje gharama...
  9. JamiiForums Tanzania Basic Computer Application

    Hellow wanajamii?Habari,Ninatafuta kazi ya kufundisha soma la Basic Computer Application katika vitu vifuatavyo. 1.Introduction to Computer 2.Microsoft Word 3.Microsoft Excel 4.Microsoft Publisher 5.Microsoft Powerpoint 6.Microsoft Excel 7.Internet and email Pia nafundisha na basics of...
  10. JamiiForums Tanzania PC yangu inagoma kuleft click

    Habari za sasa hivi wakuu. Msaada PC yangu inagoma kuleft click. Kwaiyo nikahamua kutumia external mouse nayo imeanza kumisbehave inaji double click sometimes msaada jamani nashindwa kufanya kazi
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nafundisha computer Applications & Maintanance,Web Design,Bitcoin/Altacoins/tokens/cryptocurrency knowledge kwa ujumla

    Habari wana JF, Naitwa SAM. Nafundisha Computer Applications ( Computer Basics,Maintanance,Excel,Word,Power point,Publisher,Internet & Emails) & Computer Maintanance(Repair, Windows Installation, assemble and disassemble), kutengeneza website kwa kutumia wordpress au wix, hata kama hujui...
  12. JamiiForums Tanzania Ni computer (system) gani inayochukua siku nne kufanya mabadiliko? Kwanini waziri mwenye dhamana asiwajibishwe?

    Kuna watu wanaleta utetezi kua mitandao ambaayo haijabadilisha vifurishi ni kutokana na suala la programing, pia kwenye gazete wanasema inaeeza kuchukua siku zaidi ya nne, mpaka leo hii bado mitandao hiyo haijabadilisha vifurushi. 1. Je, ni kweli wataalamu wa serikali wanaamini kua system...
  13. JamiiForums Tanzania Computer and google map experts

    Kuna mtu nimempipia simu ikapokelewa lakin hakuongea nikakata simu,baada ya kukata simu ikaingia text inayoonesha. Connected,A,EXPW:ON,[URL="http://maps.google.com/maps?q=-3.379723,36.669060&t=m Nikahisi kuna mtu ametumia google map kufanya tracking ni njia ipi atakayoitumia...
  14. JamiiForums Tanzania I m a computer Engineer but I can't even hack a facebook account

    Nimeanza kwa umombo kwa title hapo juu. Nina degree ya uhandisi katika hii fani pendwa.... Nilikuwa mtu wa Mungu Sana wakati napiga security. Sasa katika eneo la ku compromise Akaunti za watu niliona natenda Dhambi. Nawaza sana watu wanaodukuana. Mimi sinauwezo wa kuhack hata Akaunti ya...
  15. JamiiForums Tanzania Tupeane maaarifa je inawezekana kutumia program za computer kwenye smartphones?

    Nmechek youtube nkaona kuna kitu kinaitwa exagear kwamba unaweza run program za computer kama virtual dj au fl studio ukaweza tumia kweny smartphone ila kwang inagoma je kun mjuzi humu anisaidie.
  16. JamiiForums Tanzania Game tano kali kama computer ina uwezo mdogo sanaaaaaaaaaaa

    Hizi game zinakubali hata kama computer yako ina RAM chini ya mb 200 1. Half life 2 2. NFS Underground 2 3. Far Cry 4. Doom 3 5. Zuma's Revenge
  17. JamiiForums Tanzania Je, kuna software ya kufuta mafaili yaliyojirudiarudia ktk computer kwa pamoja?

    Computer imejaa lakini nimegundua vitu vipo mara mbili mbili au zaidi. Yaani faili hilohilo lipo locations tofauti tofauti. Je, naweza kuserch na kufuta at once libaki file moja tu.
  18. JamiiForums Tanzania Msaada wa compyuta dell

    Wakuu me so mjuzi wala, mzoefu wa computer na kutumia natumiaga kucheki movie, Na game, sasa kuna jamaa anauza computer aina ya Dell, lakini nilivo icheki ndani inatumia Window 7 XP, afu aiwezi kusoma CD Za DVD, Na mlango wake Ni mfumo, wa zamani hata kubadirisha uweke unao weza kusoma, DVD...
  19. JamiiForums Tanzania Fix: Your Computer Appears to be Correctly Configured, but the Device or Resource (DNS server) is not Responding

    This error message is the one which appears after running a network troubleshooter on any version of Windows from Windows 7 and it indicates that there is a problem regarding your DNS server which is causing further Internet connection problems. Your computer appears to be correctly...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…