Msaada wa compyuta dell

CANNY DRAMA

JF-Expert Member
May 10, 2019
416
500
Wakuu me so mjuzi wala, mzoefu wa computer na kutumia natumiaga kucheki movie, Na game, sasa kuna jamaa anauza computer aina ya Dell, lakini nilivo icheki ndani inatumia Window 7 XP, afu aiwezi kusoma CD Za DVD, Na mlango wake Ni mfumo, wa zamani hata kubadirisha uweke unao weza kusoma, DVD haiingiriani, kingine inaganda sana afu ipo slow sana.

Swali langu vipi kunauwezekano wa kuiwekea vipi vingine kama RAM Na hard disk kubwa, hili iwe vizuri, zaidi. Na je vipi kuhusu Window hiyo kuna uwezekano wa kuchange nikapiga ata 7 ya kawaida?

Vp kuhusu kuweka game kama FIFA 2020 au GTA 4 Na kuendelea?

Au inatakiwa niongezee vitu gani? Hili nieenjoy nayo kwa matumizi ya home tu,

Asante kwa kusoma, naomba maoni yenu
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,089
2,000
Wakuu me so mjuzi wala, mzoefu wa computer Na kutumia natumiaga kucheki movie, Na game, sasa kuna jamaa anauza computer aina ya Dell, lakini nilivo icheki ndani inatumia Window 7 XP, afu aiwezi kusoma CD Za DVD, Na mlango wake Ni mfumo, wa zamani hata kubadirisha uweke unao weza kusoma, DVD haiingiriani, kingine inaganda sana afu ipo slow sana,
Swali langu vipi kunauwezekano wa kuiwekea vipi vingine kama RAM Na hard disk kubwa, hili iwe vizuri, zaidi
Na je vipi kuhusu Window hiyo kuna uwezekano wa kuchange nikapiga ata 7 ya kawaida?
Vp kuhusu kuweka game kama FIFA 2020 au GTA 4 Na kuendelea?
Au inatakiwa niongezee vitu gani? Hili nieenjoy nayo kwa matumizi ya home tu,

Asante kwa kusoma, naomba maoni yenu
Kama inakuja na Xp na mlango wa CD hata sio DVD hata uongeze ram na hdd haitasaidia kitu. Hio tech ya karibia miaka 20 iliopita.

Madesktop yamejaa kibao kkoo, Mara Mia uchukue pentium ya kisasa halafu taratibu Uta upgrade baadae. Bei zake ni around laki 1 mpaka laki na nusu.
 
CANNY DRAMA

JF-Expert Member
May 10, 2019
416
500
Kama inakuja na Xp na mlango wa CD hata sio DVD hata uongeze ram na hdd haitasaidia kitu. Hio tech ya karibia miaka 20 iliopita.

Madesktop yamejaa kibao kkoo, Mara Mia uchukue pentium ya kisasa halafu taratibu Uta upgrade baadae. Bei zake ni around laki 1 mpaka laki na nusu.
sema sipo kkoo
 
Dec 31, 2020
67
95
Wakuu me so mjuzi wala, mzoefu wa computer na kutumia natumiaga kucheki movie, Na game, sasa kuna jamaa anauza computer aina ya Dell, lakini nilivo icheki ndani inatumia Window 7 XP, afu aiwezi kusoma CD Za DVD, Na mlango wake Ni mfumo, wa zamani hata kubadirisha uweke unao weza kusoma, DVD haiingiriani, kingine inaganda sana afu ipo slow sana.

Swali langu vipi kunauwezekano wa kuiwekea vipi vingine kama RAM Na hard disk kubwa, hili iwe vizuri, zaidi. Na je vipi kuhusu Window hiyo kuna uwezekano wa kuchange nikapiga ata 7 ya kawaida?

Vp kuhusu kuweka game kama FIFA 2020 au GTA 4 Na kuendelea?

Au inatakiwa niongezee vitu gani? Hili nieenjoy nayo kwa matumizi ya home tu,

Asante kwa kusoma, naomba maoni yenu
izo ni old model njooo kariakoo tukuuzie vyuma cpu/full desktop .cpu tu lak mpaka lak na nusu window 10....0714689280
 
Dec 31, 2020
67
95
Kaka mna machine za generation ya 9,10,11?-core i5,i7,i9
ndio unapata sisi ukija ofcn unaagiza machine unayotaka kwa bei rahic ndan ya masaa mawili inakua ofcn wakati ata ujamaliza soda(tunashift kutoka sehemu flani) ikifika unakagua unalipia pesa ....ndugu call 0714689280
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom