Pendekeza kitu gani nijifunze ili nipate hela

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
10,955
2,000
Wakuu naombeni mnitajie maarifa ambayo kama nikiamua ku deal nayo nikayapa muda wa kutosha kujifunza katika mtandao basi nitapiga hela maana nasikia Kuna watu wanasema pesa ipo tu hewani ni wewe tu kuidownload yaani kuivuta ndo maana tunaona vijana wanakunywa tu bia na kushinda bar.

Halafu ukiwafuatilia hamna kazi wanayofanya nasikia wenyewe kifaa chao Ni computer au simu tu. Kwa hiyo nipeni mwongozo niamue kuumiza akili kwenye technology ili nipige pesa.kati ya freelancer, betting,forex, n.k.

Niko tayari kujifungia ndani nikomae usiku na mchana ili niwe master wa kuvuta pesa ili mradi sitaki tu michezo ya kifreemason.

1622708787755.png

 

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
18,269
2,000
Wakuu naombeni mnitajie maarifa ambayo kama nikiamua ku deal nayo nikayapa muda wa kutosha kujifunza katika mtandao basi nitapiga hela.maana nasikia Kuna watu wanasema pesa ipo tu hewani ni wewe tu kuidownload yaani kuivuta ndo maana tunaona vijana wanakunywa tu bia na kushinda bar halafu ukiwafuatilia hamna kazi wanayofanya nasikia wenyewe kifaa chao Ni computer au simu tu.kwa hiyo nipeni mwongozo niamue kuumiza akili kwenye technology ili nipige pesa.kati ya freelancer, betting,forex, n.k.

Niko tayari kujifungia ndani nikomae usiku na mchana ili niwe master wa kuvuta pesa ili mradi sitaki tu michezo ya kifreemason.
Unajua Kiingereza au hupendi lugha za mabeberu ?
 

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
10,955
2,000
Unajua Kiingereza au hupendi lugha za mabeberu ?
Kingereza nilikua najua shuleni ila nilivyotoka huko kuja mtaani SI ndio lomoni nyingi kwa mtaa nahisi uwezo umepungua kwenye kuongea ila inshort najua maneno mengi kwa hiyo kazi kama ya kuandika au kusoma nitafaulu nisaidie kaka
 

flulanga

JF-Expert Member
Jul 1, 2016
4,665
2,000
Afadhali hata we unatafuta mchongo upige ela
Wengine hata hizo nguvu hazipo naona giza tu
Natamani utokee muujiza nipate walau laki 2 niokoe maisha ya maza angu
Pole sana mama anatatizo gani mkuu?
 

Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
12,793
2,000
Wakuu naombeni mnitajie maarifa ambayo kama nikiamua ku deal nayo nikayapa muda wa kutosha kujifunza katika mtandao basi nitapiga hela maana nasikia Kuna watu wanasema pesa ipo tu hewani ni wewe tu kuidownload yaani kuivuta ndo maana tunaona vijana wanakunywa tu bia na kushinda bar halafu ukiwafuatilia hamna kazi wanayofanya nasikia wenyewe kifaa chao Ni computer au simu tu.kwa hiyo nipeni mwongozo niamue kuumiza akili kwenye technology ili nipige pesa.kati ya freelancer, betting,forex, n.k.

Niko tayari kujifungia ndani nikomae usiku na mchana ili niwe master wa kuvuta pesa ili mradi sitaki tu michezo ya kifreemason.
Jifunze kujipendekeza kwa mastaa kama Harmo rapa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom