I m a computer Engineer but I can't even hack a facebook account

zanzibariani

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
411
500
Nimeanza kwa umombo kwa title hapo juu. Nina degree ya uhandisi katika hii fani pendwa....

Nilikuwa mtu wa Mungu Sana wakati napiga security. Sasa katika eneo la ku compromise Akaunti za watu niliona natenda Dhambi.

Nawaza sana watu wanaodukuana.
Mimi sinauwezo wa kuhack hata Akaunti ya facebook. Achilia mbali kusoma message za watu kwenye simu zao.

Kubwa zaidi ni security ya mitandao hapa Tz iko unsecured 50++ percentage...

Nije na kaushauri...someni sana security maana ulinzi ni uhai..
 
zanzibariani

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
411
500
In short our home network is naturally vulnerable, which means the responsibility falls on ourselves, the end user, to keep an eye out for signs of suspicious activity and figure out what to do if your network is hacked. To me this serious jamani
 
adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
5,642
2,000
mambo ya kuhack ni uweze kucheza na programmes au apps zinazohusika na michezo hiyo.utundu pia muhimu ofcoz km mimi sijifii ila computer sijasomea zaid ya bro wangu aliesomea indonesia huko mambo ya engeneering kufika hadi kiwango akatengeneza kompyuta yake ndo alikuwa ananifundisha..ajabu yeye sasahivi ni TEJA amekata tamaa ya maisha lakini ni kichwa moja ya hatari hadi wazungu walimpa matuzo ya kutosha
 
Mimi nilisoma Marekani.
 
KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
4,401
2,000
mambo ya kuhack ni uweze kucheza na programmes au apps zinazohusika na michezo hiyo.utundu pia muhimu ofcoz km mimi sijifii ila computer sijasomea zaid ya bro wangu aliesomea indonesia huko mambo ya engeneering kufika hadi kiwango akatengeneza kompyuta yake ndo alikuwa ananifundisha..ajabu yeye sasahivi ni TEJA amekata tamaa ya maisha lakini ni kichwa moja ya hatari hadi wazungu walimpa matuzo ya kutosha
Mkuu kutengeneza Computer kunahitaji Degree ? Ukizingatia Computer ni Mkusanyiko wa parts tofauti ambazo unanunua off the shelf unaziunganisha huitaji kwenda shule...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom