Naomba kujuzwa jinsi ya kuhama chuo

Major shatta

New Member
May 30, 2020
2
1
Habari wanajamvi,

Ninataka kuhama chuo nikimaliza certificate (nipo certificate Diploma nataka niende chuo kingine) course ya accountancy chuo cha government.

Je, hii inawezekana na kama inawezekana taratibu zikoje?

Natanguliza shukrani zangu🙏
 
Tafuta chuo Kwanza cha serikali nenda chuoni hukohuko unskotaka uliza Kama Kuna nafasi ukipata anza process chuoni uliko!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom