Habari wana jukwaa,
Nikiwa Kama senior member humu, ninaleta mbinu za kuhama shule au chuo ulichochaguliwa
Baada ya Tamisemi Ku allocate Majina ya vijana waliomaliza form 4 mwaka Jana 2019 vijana na wazazi wengi wamekuwa wakilalamika Sana kuhusu uchaguzi huo!
Gvt kupitia Kwa Bwa. Jafo...