GOSSO MZEKEZEKE
Senior Member
- Dec 13, 2013
- 142
- 165
Habari wanaJF.
Kuna ndugu yangu ni muajiriwa wa serikali kama msaidizi wa kumbukumbu. Ana diploma ya "Records management", Anataka mwakani ajiendelee na chuo kikuu kusoma degree ya "Human resource" .
Sasa anataka kujua endapo akiomba mkopo atapata? mwenye uzoefu wa hii kitu kwa miaka ya hivi karibuni naomba anipe uzoefu. Au afanyaje ili apate maana mshahara ni mdogo hauwezi kutosheleza.